Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

Kosa la Lissu hili hapa wewe mbwa usiyeelewa
View attachment 3303639
Kama Kiingereza hakipandi tafuta mtu akutafsirie.
Tafsiri ya neno uasi katka muktadha huu ni: uhaini (treason)? au maasi (rebellion)? au mgomo (boycotting)? au upinzani/ukosoaji (dissent)? au mapinduzi (revolution)? AU vyote kwa pamoja.

Halafu, ni kina nani hao waliosema "msimamo huu unaashiria uasi ...". Na walikuwa na maana ipi hasa kati ya hizo? Bila shaka TL ataeleza maana yake halisi.

DPP na mahakama wana shughuli ya uhakika kufikia kumdhibiti TL kwa mashtaka hayo bila msaada wa Polisi.
 
Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Lissu hajakamatwa kwa kauli ya no Reforms no election bali kwa kuongelea miladi ya watu. Makaa ya mawe ni miladi ya wakubwa na ukiizungumzia kuna hatari ya kupotezwa
 
Yaan mwl Nyerere angejuaga kuna watu kama wewe asingeangaika kutafuta uhuru
Nenda kasome MEMKWA ili ujifunze kuandika kwanza kabla ya kuja humu. Nyerere kaleta uhuru na kaleta elimu bure bado unaandika kama bata anayeharisha
 
Tafsiri ya neno uasi katka muktadha huu ni: uhaini (treason)? au maasi (rebellion)? au mgomo (boycotting)? au upinzani/ukosoaji (dissent)? au mapinduzi (revolution)? AU vyote kwa pamoja.

Halafu, ni kina nani hao waliosema "msimamo huu unaashiria uasi ...". Na walikuwa na maana ipi hasa kati ya hizo? Bila shaka TL ataeleza maana yake halisi.

DPP na mahakama wana shughuli ya uhakika kufikia kumdhibiti TL kwa mashtaka hayo bila msaada wa Polisi.
Na ndiyo kazi ya Mahakama. Tuliwaambia Mwenyekiti wenu amepoka madaraka kwa Mbowe kwa kutumia hila lakini hana busara na ni MROPOKAJI.
 
Na ndiyo kazi ya Mahakama. Tuliwaambia Mwenyekiti wenu amepoka madaraka kwa Mbowe kwa kutumia hila lakini hana busara na ni MROPOKAJI.
Mkuu itakuwa heri ukiweka sawa hisia zako ili twende sambamba.

Nakumbuka enzi zile ulivyo kuwa ukikosoa utawala wa JPM kwa namna ya kueleweka kiasi chake inayoweza kujadiliwa.

Safari hii kusema kweli mitazamo yako kuhusu serikali, Rais, CHADEMA, Lissu, na mbowe haijadiliki kabisa. Tumeishia kuwaachia mashabiki na machawa waropoke wanachotaka, labda hao ndio utaelewana nao.
 
Nakubaliana nilikosoa sana utawala wa Magufuli kwa maovu yake. Lakini kwa huyu Mama alianza vizuri na ushahidi upo, lakini akina Lissu na CHADEMA ambao ni wafaidika wakubwa wa 4R zake wamemdharau. Kumbuka Lissu na Lema walikuwa wakimbizi huko Belgium na Canada. Na walikuwa wamefunguliwa makes. Mama akawasihi warudi, akafuta makes mabaya na kisha wenye fedha ambazo zilinyang'anywa na Magufuli akawarudishia.

Sasa wao wanataka kumpanda kichwani sjui kwa kuwa ni mpole?? Kweli Rais Samia ni mpole lakini madaraka aliyokuwa nayo siyo mapole.
 
Katika maamuzi ya maana yaliyofanyika na Serikali ya Rais Samia kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ni kumfungulia mashtaka Tundu ambaye alikuwa anapanga kuanzisha uhalifu ili KUKINUKISHA.

Wahenga walisema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA. Na mdharau mwiba huota tende.

Tuziache Mahakama zifanye kazi yake
Mahakama zipi mkuu!
 
Lissu na CCM Lao moja. Nia ni kuiua Chadema. Na wamefanikiwa.

Chadema wanakuwa muted for 5 good years.

2030 Tume itakua hii hii Chadema hawatashiriki tena uchaguzi
Ji-fifte faivu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Sirikali inaongozwa na nani?? Nani aliteua Tume ya Jaji Chande, Nani huwa anahutubia mapolisi watende kazi zao kwa haki, nani ana mteua mwendesha mashtaka. Nani aliyefungua mashtaka, na yupo chini ya nani, na Kalima kateuliwa na nani, na maamuzi yake yana chagizwa na nini, Nani anaweza kumwambia na hili mkaliangalie
 
View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wakati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Hakika Rais kachemka
 
Mimi mwana CCM Lissu tungemtema twende kwenye uchaguzi tuone hatauzuia vip huo Uchaguzi kwa Nguvu hipi tunajitia Uoga wenyewe
 
Tafsiri ya neno uasi katka muktadha huu ni: uhaini (treason)? au maasi (rebellion)? au mgomo (boycotting)? au upinzani/ukosoaji (dissent)? au mapinduzi (revolution)? AU vyote kwa pamoja.

Halafu, ni kina nani hao waliosema "msimamo huu unaashiria uasi ...". Na walikuwa na maana ipi hasa kati ya hizo? Bila shaka TL ataeleza maana yake halisi.

DPP na mahakama wana shughuli ya uhakika kufikia kumdhibiti TL kwa mashtaka hayo bila msaada wa Polisi.
Lissu ana kiapo gani cha Nchi Uasi ni Kuvunja kiapo
 
Sheria ipi? Kosa la lisu lipo kwenye sheria ya wapi zaidi ya kuungaunga sheria za kuvumba ili mpate kisingizio cha kubambika kesi, sasa tumia hiyo sheria haramu kumshitaki Makala kwa kosa la kuwasingizia chadema juu ya virus, ccm kwa sasa mnaongoza Nchi kienyeji kwa kukumbatia ushetani mkubwa
Sheria yenyewe huijui sasa unahangaika kumtetea mhaini Lissu kwa lipi?
 
Back
Top Bottom