Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu

Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano

Tumia akili vizuri kama unazo, Zanzibar sio nchi.
 
Ime Imekaa poa tu,alimradi umepata offer kutoka kwa mtu mwengine...

Dini ya Kiislam,sheria ya kwenda Kuhiji ni ruksa kwa wale wenye uwezo

lakini haikusema kama umepewa offer halafu huna chakula nyumbani hiyo offer uiache
 
Mambo ya ndani ya Zanzibar sio mambo ya Mungano..

Mikopo na misaada kutoka nchi za nje ni mambo ya Mungano

NGO za kiislam zinatoa misaada ya mfuko wa Hijja lakini hazifiki Zanzibar direct,zinafikia kwenye serikali ya Mungano,..

Hizo ndio pesa Mwinyi anazozizungumzia
 
Kama zazibar itawekewa mfuko huo na waislamu wa bara pia watahitaji huo mfuko ilihali ni wengi kuliko waislamu wa Zanzibar
lakini yeye sio Rais wa Muungano, kama ni hivyo usemavyo, kwa nini awatetee waisilamu wa Bara?
 
Huwa kuna shida fulani kwa tawala za awamu za namba shufwa za JMT
 
Kwani wao kwa mapato ya Serikali yao wameshindwaje?

Ni kwamba kodi zetu wakristo zianze kuchangia waislam kwenda hija ilhali wao huwa wanabomoa makanisa Zazibar
Siyo kubomoa tu.. na kuyateketeza kwa moto 🙄
 
Hija ni jambo la muungano? Kwenye articles of the union ? Kama kasema hivyo kuna kitu anakitafuta au kallewa na kuvimbiwa madaraka
Uraisi mtamu ukiupata usipokuwa mwangalifu utajiona kama Mungu Raisi wa Sri lanka
 
asiwasahau na wakristo. Huenda hija Israel, Vatican, na sehemu zingine duniani zenye history ya dini. Mfuko huo usiwe wa kusaidia waislam tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…