Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Tumia akili vizuri kama unazo, Zanzibar sio nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Imekaa poa tu,alimradi umepata offer kutoka kwa mtu mwengine...Tafsir ya Hijja ni pana sana. Mi huwa nacheki zaidi Quran na Hadithi , Just imagine huna kazi , una madeni na huna pesa ya kuhudumia familia ila kuna dili la kupelekwa hijja for free!
Unaenda Makka na kurudi home kwenye maisha ya msoto na dhambi zinaendelea kufanyika maana mtu maskini anafanya dhambi nyingi!
hiyo imekaaje sheikh!
Waturudishie tanganyika yetuWatenganishe dini zao na Serikali. Muungano huo kwa watanganyika una faida zipi hasa ikiwa bei za vitu zimetofautiana hapa na kule Zanzibar?
Mambo ya ndani ya Zanzibar sio mambo ya Mungano..Wakati anakodisha visiwa hakusema ataenda kuongea na serikali ya JMT, kwanini kuanzisha mfuko wa waislam wa zanzibar kwenda hijja anataka kuongea na serikali ya JMT?
Kwanini asichukue hizo hela alizokodisha visiwa akawapa waislam wa zanzibar waende hijja?
Huu mfuko unapata pesa nyingi kutoka nchi za kiarabu ndio mana Tanganyika umeung'ang'ania..Kwann huo mfuko usianzishwe hukohuko misikitini
Wakriso sio mfuko tu munao mpaka ubalozi wa vatikan munao hapa
Nani kakudanganya?!!Tumia akili vizuri kama unazo, Zanzibar sio nchi.
Iachieni ZANZIBAR,Zanzibar nchi yenye waislam wenguWaturudishie tanganyika yetu
lakini yeye sio Rais wa Muungano, kama ni hivyo usemavyo, kwa nini awatetee waisilamu wa Bara?Kama zazibar itawekewa mfuko huo na waislamu wa bara pia watahitaji huo mfuko ilihali ni wengi kuliko waislamu wa Zanzibar
Hizo gesi na mafuta vya Tanganyika viko wapi mbona hatuvioni huku?Hayo malikimbizo Yana tokana na Nini mbona Kuna tetetesi kwamba wanapata 4% mapato kutoka kwenye gesi na mafuta kutoka Tanganyika ilihali gesi na mafuta sio suala la muungano?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nani kakudanganya?!!
Siyo kubomoa tu.. na kuyateketeza kwa moto 🙄Kwani wao kwa mapato ya Serikali yao wameshindwaje?
Ni kwamba kodi zetu wakristo zianze kuchangia waislam kwenda hija ilhali wao huwa wanabomoa makanisa Zazibar
Hizo fedha hazifai kwendea hijja maana baadhi zimetokana na faida za mauzo ya vileo.Hiyo pesa ya mfuko wanataka iwe suala la Muungano ili Hazina / Bank Kuu watoe pesa
Hija ni jambo la muungano? Kwenye articles of the union ? Kama kasema hivyo kuna kitu anakitafuta au kallewa na kuvimbiwa madarakaNimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
TUfahamishe Vatican ni nchi amaKuwa na ubalozi wa Vatican hapa na serikali kuanzisha mfuko wa hija kwa waisilam vina uhusiano gani?
Ndio ni nchi kwa hiyo?TUfahamishe Vatican ni nchi ama