Rais huwa hatangazi Utalii

Rais huwa hatangazi Utalii

So for the past 60 years dunia bado haijui vivutio vyetu siyo?? Kama till now hawajui tuna vivutio vya utalii watakuwa wanajua tuna nini hasa? Mbona mna hoja nyepesi sana aisee??
 
Angefanya Biden mngesifia! Watanzania baadhi tunapenda kukosoa kila kitu. Ndiyo Rais wetu kaanzisha safari. Royal family ya British iliwahi kutangaza vivutio vya utalii vya nchi yao.

Anachokifanya Rais Samia akiwa ni mwanadiplomasia namba moja ni kuendelea kuionyesha dunia Tanzania ilivyo na utajiri na kuongeza uaminifu zaidi kwa watalii na wawekezaji#Tumuunge mkono Rais. Royal Tour.
Biden hawezi kufanya hayo mambo, yuko busy sana na mambo mazito ya nchi hasa kwa kuzingatia taifa lake ni super power. Hakuna taifa liliondelea ambao Marais wake wanafanya hivyo
 
Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.

Na Kwanza hata kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii. Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.

Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa, watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.

Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.

Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanzania nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?

Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji? Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.

Rais ataenda Location zote na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.

Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Bado hujaamini ni namna ya kupiga hela ndefu za ma bilioni, utaambiwa filamu ilitumia tril 3
 
Wewe unaandika kwa uzoefu wako wa Rais yupi?
 
Nchi imekuwa ya watu wa hovyo hovyo tu.. Nyerere na Kikwete walikuwa wanajulikana duniani Sana, lakin hawajahi kufanya huu ujinga...
 
Maendeleo ni endless process. Soda Cocacola ina miaka mingapi? Mbona bado wanai promote? Hivi kabisa unaamini kazi ya kutangaza vivutio vyetu imeisha sasa tulale tusubiri season ya utalii kila mwaka?

Halafu Rais ktk hii Royal Tour anakwenda mbali zaidi ya yale tuliyozoea. Serengeti, Ngorongoro nk. Anaibua hadi fursa za Uwekezaji. Tumuache Rais afanye kazi.

Hivi Morocco , Egypt na South Africa ambao ndiyo three leading countries kwa watalii wengi wanafanyaje mpaka wanafanikiwa?? hatuwezi kwenda kujifunza huko?? Hivi ile ya Kigwangala na kutumia wasanii ilifikia wapi? wewe ulipata mrejesho?? Mimi niliishia kuona queries za CAG kuhusu matumizi mabaya ya fedha kwenye hiyo promotion ya akina Steve Nyerere hahaaaaaaaaaa
 
Jamani tusikalili, muacheni Mama aitangaze Tanzania. Nina uhakika Tanzania itajitangaza kupitia yeye.
Hakuna kitu kama hiki. Anatumia pesa zetu za tozo vibaya ... Ni bora tu angechukua likizo akaamua kutembelea vituo vya utalii tungemwelewa.
 
Biden hawezi kufanya hayo mambo, yuko busy sana na mambo mazito ya nchi hasa kwa kuzingatia taifa lake ni super power. Hakuna taifa liliondelea ambao Marais wake wanafanya hivyo
Sisi hatujaendelea kama Marekani ndiyo maana Rais wetu anatumia approach hii tofauti tukimbie kimaendeleo. Kwa hiyo hii ni approach mpya ya Rais wetu. Tuiunge mkono. Maana ingefanywa na lord/bwanyenye la Ulaya tungesifia. Tukubali vyakwetu.
 
Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.

Na Kwanza hata kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii. Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.

Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa, watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.

Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.

Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanzania nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?

Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji? Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.

Rais ataenda Location zote na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.

Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Ni kosa kubwa sana lililofanyika mpaka sasa
1. Rais kutangazaza vivutio vya utalii wakati waziri wa utalii na waziri wa mambo ya nje pamoja na maofisa waandamizi kuendelea kuwepo ofisini
2. Kutangazia ulimwengu kwamba Tanzania ina rasilimali fulani ikiwemo madini kwa kuwapeleka wazungu warekodi wenyewe jikoni (kosa la kiusalama na uchumi)
3. Je, mi kweli wazungu hawafahamu kwamba mlima Kilimanjaro uko Tanzania?
4. Je, wenyeji wa mkoa ambao mlima Kilimanjaro upo ambao pia ni wasomi wazuri na baadhi yao wako nje ya nchi kikazi au kibiashara hawautangazi uko kwao au wenyewe ndio kujitambulisha wako Kenya?
5. Jitihada zilizokuwa zimefanyika za kulinda mgodi wa Mererani na kudhibiti usafirishaji wa madini pasipo kupitia STAMICO umekwamijwa na nini hadi ufanyike mpango kutangaza ulimwenguni?
6. Je, ni kweli kwamba wazungu hawafahamu kwamba Tanzania kuna dhahabu Mwanza, Geita, Shinyanga, Morogoro, Singida na Mara?
7. Je, ni kweli wazungu hawafahamu kwamba Tanzania kuna madini ya Almasi na kwamba yanachimwa Mwadui na Maganzo Shinyanga pamoja kwa wenyewe ndio waanzilishi wa ugunduzi huo kama Dr.John Thoburn Williams msomi wa wa PhD ya jiolojia (raia wa Kanada alizaliwa 1907 na kufariki 1958) akaita mgodi kama Williamson Diamond Mines mwaka 1940 haitoshi kuwa utambulisho thabiti kwamba madini hayo yapo eneo gani Tanzania na kwa kiwango gani Carrat) wakati mpaka kiwanda cha kukatia walisaidia kukijenga huko Iringa (Tancut Almasi). Je, huyu Joseph Temba mtanzania aliyejipatia bonge la Almasi lenye thamani kubwa (
The nation of Tanzania has acquired its latest billionaire after a small-scale miner in Shinyanga region sold his diamonds for about one million dollars four points equivalent to Tsh. 3 billion.
The 512-carat diamond was discovered by small-scale miner Joseph Temba two weeks ago in the Maganzo area in Shinyanga.
Mr. Temba thanked the Ministry of Mines and the Mining Commission for the guidance and management of its Diamonds and the clear sales guidelines) hatangazi ukweli wa uwepo wake Tanzania?
8. Je, ni kweli wazungu hawajui tamaduni za kitanzania kuanzia Zanzibar na Tanzania bara kwa kipindi chote cha miaka 60 iliyopita?
9. Gharama za kutengeneza filamu hiyo na kuitangaza ni kiasi gani, nani atalipia na kwanini wazungu wakodiwe kutengeneza matangazo hayo wakati Tanzania inawataalamu wa kutosha kwa kazi hiyo?
10 Mji mkongwe wa Mikindani Mtwara ndio ulitakiwa utangazwe sana pamoja na kuwa walioujenga ni wajerumani na waarabu kwa nyakati tofauti
11. Mapango ya Amboni Tanga kulikoje?

TANBIHI: Wajerumani wana kumbukumbu ya kila mali iliyokuwepo Tanzania (ramani wanazo) zikionesha madini, maliasili (Selous) ambako hadi sasa kuna gari lililoharibika ambalo alilitumia mwindaji maarufu Fredrick Selous lipo limehifadhiwa nje ya geti la kuingilia hapo Mtemere. Morogoro mjini kuna dhahabu lakini watu wamekatazwa kuchimba kwa kisingizio wanachafua maji bwawa la Mindu kwa sumu ya Zebaki (milima Mindu na Mguuwandege Mkundi) yote ina madini ya dhahabu.
 
Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.

Na Kwanza hata kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii. Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.

Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa, watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.

Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.

Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanzania nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?

Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji? Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.

Rais ataenda Location zote na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.

Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Mbongo typical akili ni za kibongo typical. Unawaita magaidi kuanzia rais mpaka mawaziri.

Kwenda locations ndio utalii wenyewe ndio strategies zenyewe na zitazaa matunda mazuri. Kule mererani kaenda kuwahakikishia kuwa Tanzanite ni mali ya Tanzania, wewe unataka strategies zipi zaidi ya hizi zenye kusema ukweli?.

Kumbuka kuwa Rwanda na wenyewe wamefanya mbinu kama hizi hizi na kwa sasa zinawasaidia, sio kila kitu kipo ndani ya uwezo wa kichwa chako kuweza kufikiria sawa sawa.
 
Ukweli ni huo lini rais akatangaza utalii, wao walipe celebraties wa nje wakubwa watangaze vivutio vyetu, wahakikishe hospitality industry inakua imara mgeni akija atamani kurudi tena, wafanye mambo kisasa na kuhakikisha wanarob duniani makongamano na mikutano ya kimataifa iwe hosted hapa Tanzania,
Kipindi hicho hicho angefanya mnayependa kumsifu na kuuona wa maana, rais kagame wa nchi jirani
Watu kama nyinyi mngekuwa mstari wa mbele kusifu
Akili zenu zulivyobonyea kwa chini
 
Mbongo typical akili ni za kibongo typical. Unawaita magaidi kuanzia rais mpaka mawaziri.

Kwenda locations ndio utalii wenyewe ndio strategies zenyewe na zitazaa matunda mazuri. Kule mererani kaenda kuwahakikishia kuwa Tanzanite ni mali ya Tanzania, wewe unataka strategies zipi zaidi ya hizi zenye kusema ukweli?.

Kumbuka kuwa Rwanda na wenyewe wamefanya mbinu kama hizi hizi na kwa sasa zinawasaidia, sio kila kitu kipo ndani ya uwezo wa kichwa chako kuweza kufikiria sawa sawa.
Kagame hajawahi kuingia field na kuanza kutangaza utalii kwa mtindo huu.

Hakuna mtalii atakayekuja kutalii bila kumwona yule aliyetangaza kwa mantiki hiyo mheshimiwa rais yuko tayari kuacha majukumu yake awe anaambatana na watalii kuthibitisha kilichomo kwenye fkamu badala ya wasaidizi wake walioteuliwa na kulipwa kwa kazi hiyo?

*Msiwe mnapuuza maoni ya wananchi wanapowapa changamoto kutokana na uamuzi mnaofanya bila taathimini ya uhalisia kwa kupima matokeo CHANYA dhidi matokeo HASI.
 
Kagame hajawahi kuingia field na kuanza kutangaza utalii kwa mtindo huu.

Hakuna mtalii atakayekuja kutalii bila kumwona yule aliyetangaza kwa mantiki hiyo mheshimiwa rais yuko tayari kuacha majukumu yake awe anaambatana na watalii kuthibitisha kilichomo kwenye fkamu badala ya wasaidizi wake walioteuliwa na kulipwa kwa kazi hiyo?

*Msiwe mnapuuza maoni ya wananchi wanapowapa changamoto kutokana na uamuzi mnaofanya bila taathimini ya uhalisia kwa kupima matokeo CHANYA dhidi matokeo HASI. uju
Tatizo la mtanzania changamoto zinakuwa zimejaa sana ujuaji mpaka unashindwa kuweka mipaka kati ya changamoto za kweli na kejeli.

Kagame kazi yake inajulikana na ipo ndani ya youtube, hivyo unapomuongelea kama rejea yako nadhani unaukumbuka ukweli huo.

Muacheni Mama afanye anavyoona inafaa kufanyika. Hizi nongwa hazimsaidii mtu yoyote.
 
What do you expect from a Bogus One [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji3516]
 
Tatizo la mtanzania changamoto zinakuwa zimejaa sana ujuaji mpaka unashindwa kuweka mipaka kati ya changamoto za kweli na kejeli.

Kagame kazi yake inajulikana na ipo ndani ya youtube, hivyo unapomuongelea kama rejea yako nadhani unaukumbuka ukweli huo.

Muacheni Mama afanye anavyoona inafaa kufanyika. Hizi nongwa hazimsaidii mtu yoyote.
Wewe utapiga kelele hapo kwa maandishi lakini matokeo yakijidhihiri utatokomea kusikojulikana........akukosooaye ndiye anayekutakiwa mema sio anayekusifia bila kukoonesha upande wa pili wa shilingi athari zikoje
 
Tufafanulie hii approach inavyofanya kazi ili tuiunge mkono.
Sisi hatujaendelea kama Marekani ndiyo maana Rais wetu anatumia approach hii tofauti tukimbie kimaendeleo. Kwa hiyo hii ni approach mpya ya Rais wetu. Tuiunge mkono. Maana ingefanywa na lord/bwanyenye la Ulaya tungesifia. Tukubali vyakwetu.
 
Mbongo typical akili ni za kibongo typical. Unawaita magaidi kuanzia rais mpaka mawaziri.

Kwenda locations ndio utalii wenyewe ndio strategies zenyewe na zitazaa matunda mazuri. Kule mererani kaenda kuwahakikishia kuwa Tanzanite ni mali ya Tanzania, wewe unataka strategies zipi zaidi ya hizi zenye kusema ukweli?.

Kumbuka kuwa Rwanda na wenyewe wamefanya mbinu kama hizi hizi na kwa sasa zinawasaidia, sio kila kitu kipo ndani ya uwezo wa kichwa chako kuweza kufikiria sawa sawa.
Mabepari wanunuzi Tanzanite ambao wengi wao watakufa bila kukanyaga Tanzani hawajali Tanzanite inatoka wapi, wanachojali ni bei tu.

Kwa nini mnafikiri Rwanda ni taifa la maana saana kuigwa katika kitu chochote cha kimaendeleo? Hamuoni aibu taifa kubwa na la heshima kama hili kuiga jambo lolote kutoka kwa taifa dogo, maskini na linaloendeshwa kidhalimu ?
 
Back
Top Bottom