Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Well; of course....

Well of course for what?

Is she not among Tanzanian elite who failed into international arena?Huyu hana lolote na katutia sana aibu UN!Sikumbuki kama alileta mradi wowote mkubwa nyumbani TZ alipokuwa mtu wa pili kw amadaraka UN!Huyu na Prof Tibaijuka ni maarufu wao tu hamna lolote walilotupa!

Kumchagua huyu kuwa MBUNGE ni kutuongezea tu gharama zaidi zisizo na tija kwa watz!
 
Hongera sana dr.migiro,dunia ingetushangaa kutoitumia hazina ya uwezo na uzoefu wako,ninampongeza sana mh.rais kwa uteuzi huu ,nataraji kukuona ukiongoza moja ya wizara muhimu katika nchi.
 
asingelikuwa amelikoroga Bi -Kiloboto ... ccm wangelikuwa mamechukua hatua dhidi ya mafisadi.....kama wangelikuwa wameongeza ajira kwa vijana na kama wangelikuwa wametimiza ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania.....
 
Huyu mama anatia huruma kweli,alionyesha kachoka sana,siasa zenyewe hawezi,sasa mwacheni apate ahueni.we kufukuzwa UN usichanganyikiwe kwa nini.

Ni kweli Kilasi,wanataka kuleta yale ya bungeni kuwapa kinamama,yaani WaTZ inabidi tuamke,nchi inaenda pabaya
 

Umena eeh!
 
Maandalizi ya URAISI-2015 kwa hoja ileile kuwa safari hii "tumpe mwanamke" kama ilivyokuwa kwa spika wa Bunge.
Swali ni je,Watanzani wako tayari kuongozwa na Raisi mwanamke kwa kigezo hicho hicho cha "safari hii tumpe mwanamke"....???

Eee Mungu wa Mbingu na Nchi tuwezeshe tupate Katiba inayotokana na sisi Wanaichi na si itokanayo na utashi wa vyama vya siasa,maana bila hivyo kiongozi wa Nchi atakuwa anafanya vyovyote vile anavyotaka na haya ni majanga kwa Taifa la Tanzania.................!!!!!!!!
 
Ahsante mkuu kwa quote yako maana hawa jamaa wanaficha ficha ilikumlindia heshima.Ni mambo yao ya kulindana wakati mtu alikuwa na poor performance UN.Huyu ata kuwa mzigo mzito kweli
 
nchi ya mashushushu,maendeleo na ubunifu ni ndoto-watawala mashushushu eti "wapinzani" mashushushu
 
Agenda ni moja!
Huyo Makamba ndiyo hafai kabisa.Umesha julikana uwezo wake.simply hawezi.Mi siyo mdini sana lakini htuwezi kurudia kosa la Jk.wala siyo siri hawa jamaa wana wekana wenyewe.Tukikosea tena nchi itakuwa ya kiislamu.wanamipango mizitosana
 
watz ni watu wa ajabu sana hata ujinga tunapongeza tu.kufikia uchaguzi mkuu bado kama miaka miwili tu,kumpa ubunge ni kuliongezea taifa gharama zisizo za lazima. nafasi yake ndani ya chama ilikua inamtosha sana.
 
Tuna mshukuru Mungu hata hatua hii tuliofikia.Maana maccm walikuwa hawataki katiba kufanyiwa marekebisho hata nucta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…