Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Biden kaingia kwa siri kubwa sana huko Ukraine hata maafisa wa white house wengi wao walikuwa hawajui kama kuna safari ya rais Kenda Ukraine...US nao wamekuwa waoga sasahivi ..wamedhihilisha wazi kuwa wanamuogopa Urusi
Uoga upi wakati alikuwa live anaongea na waandishi wa habari???

Kwani alipomaliza alitoweka ghafla kama mchawi??? Si ulimwengu wote ulijua yuko huko???
 
Kwani hao maafisa wakisema hawajui kuhusu hio safari kumbe wanajua, hao BBC watawafanya nini????

Hiyo ni kitu rahisi tu mbona.
 
ok nilisema baadhi ya
Umeipata wapi hiyo ya kuwa hata baadhi ya maafisa wa white house hawajui.
fuatilia bbc habari online Leo.... tatizo mmezoea kupakuliwa taarifa.....
 
Uoga upi wakati alikuwa live anaongea na waandishi wa habari???

Kwani alipomaliza alitoweka ghafla kama mchawi??? Si ulimwengu wote ulijua yuko huko???
tunaonglea jinsi alivyopanga safari ya kwenda huko na jinsi alivyofika huko... alienda kwa siri sana.....
 
Tuwambie mara ngapi kwamba Amerika hana ubavu wa kupigana vita ya ana kwa ana na Urusi.

How many times must we repeat ourselves kwamba Russian Federation is not some Banana Republics - HIMARS mlizo kuwa mnazipigia debe hapa zimeishia wapi - hata vifaru vya Ujerumani na Uingereza vitatiwa kiberiti - USA wanajua vizuri jinsi ya latest Kornet AT misiiles zilivyo so effective ndio maana wanabuni visinginzio vya kuchelewesha kupeleka Abram TANKS huko Ukraine sitashangaa wakisita kupeleka kifaru hata kimoja wakiona vifaru vya Ujerumani na Uingereza vikiteketezwa na jeshi la Urusi.
 
Inamaana US wamechunguza nakuona hiyo sehemu sio hatari kwa rais wao?

Mimi ningekuwa Putin ningetuma kitu kitue pembeni kidogo tu just for winning!.
Kuna nchi yoyote duniani ambayo ishawahi kumuwekea vikwazo marekani?
Rusia na China tunaambiwa zina majeshi makubwa na silaha kali lkn kwanini zinawekewa vikwazo? Kwanini wasigome km kweli wapo na ubavu kushinda Marekani?
Kama mtu anakuwekea vikwazo, utaweza kumudhuru? Thubutu
Russia atapigwa achakae
 
Kwanini Marekani anamuwekea vikwazo Urusi? Yeye kama nani?
Kwanini Urusi asimuwekee vikwazo Marekani?
Kama nchi ikikuwekea vikwazo na vikatiki basi hauna uwezo wa kumpiga huo ndiyo ukweli.
Kuna nchi ilishawahi kumuwekea vikwazo Marekani?
Kama Russia ameshindwa kuichukua Ukraine mpk sasa hivi, hana ubavu wa kupigana na Marekani. Hata China analijua hilo ndiyo maana wanawekewa vikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…