Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Kaingia kwa siri sana hata baadhi ya mafisa wa white House walikuwa hawajui kama jamaa katua Ukraine.. USA nao wamefikia hatua ya kuficha siri za safari za raisi kukwepa hujuma kutoka kwa urusi.....
Kwa hiyo kwa uelewa wako hii ndio safari ya kwanza ya rais wa US, kuwa ya siri?!!sasa kama putin ni kidume c jamaa alikuwa live kiev ameshindwa nini kushambulia?!!
 
Biden kaingia kwa siri kubwa sana huko Ukraine hata maafisa wa white house wengi wao walikuwa hawajui kama kuna safari ya rais Kenda Ukraine...US nao wamekuwa waoga sasahivi ..wamedhihilisha wazi kuwa wanamuogopa Urusi
Naona upo hapo na hao baadhi ya maofisa mkipiga mihogo na jwisi.
Putin ataenda lini yale maeneo anayodai kayakamata na yapo chi ya udhibiti wake? Maana sasa hivi anajihisi kuwa na amani akiwa ardhi ya nchi nyingine kuliko hata akiwa Moscow.
 
Ficha ujinga kwa kukaa kimya
 
Kuna watu eti ndio wameweka hii link. Hivi pro russia huwa ni wendawazimu au? Mtu mwenye akili anaita hii ndio source kweli?
Kwa hiyo bro huamini kwamba katika medani ya vita wababe Huwa wanawasiliana before escalations!!ata kule Syria umeshasikia Marekani na Urusi wamerudhiana risasi licha ya kuwa wote wapo kule na wansapport pande mbili tofauti?bAta Israel kabla ya kushambulia Syria Huwa wanaomba approval ya Urusi kwanza, Hilo hujui?
 
Kama utakuwa umesikiliza taarifa ya habari ya DW leo jioni wamesema hivi Marekani iliitaarifu Urusi juu ya ujio wa Biden nchini Ukrain sasa nadhani twende sambamba
... Putin was informed that the big boy was coming; just to let him know that the US was visiting Ukrain; "FYI".
 
Lazima malengo ya urusi yatumie
Yatimie wapi from 72 hrs to one year.Mrusi ile miezi miwil ya mwanzo wangetakiwa watimize malengo kwa sababu Ukraine hakuwa na kitu chochote sasa anatimizaje malengo na silaha na misaada kedekede anapata kwa walionunua hii vita
 
Waulize kama kuna nchi imeshaweka vikwazo kwa US.
 
Yatimie wapi from 72 hrs to one year.Mrusi ile miezi miwil ya mwanzo wangetakiwa watimize malengo kwa sababu Ukraine hakuwa na kitu chochote sasa anatimizaje malengo na silaha na misaada kedekede anapata kwa walionunua hii vita
Anataka akae miaka 20 kama alivyokaa NATO pale AFGHANISTAN
 
Marekani inazidi kuchochea vita iendeleee badala ya kushawishi mazungumzo inapeleka silaha nyingi zaidi!!!
Marekani wanachochea vita kwa sababu wao hawaaoni leo ,wanataka kujua Urusi ana nini kwanza ,na kutwa anajua atakuwa busy ana focus kwenye vita tu
 
Kuna watu wameumia kuona Kyiv inaendelea simama

Dictator kajificha chumbani kwake
Wanajipa matumaini kuwa Washngton iliwa alert Moscow.Mimi nilidhani jeuri ya Putin tungeiona hapo sasa,maana kataarifiwa kabisa.Matokeo yake kaufyata kimya
 
Dada bado tu hujaipata nikuekee nukuu ya WH kwenyewe huko kwa sulivan cjui ndio nani yule

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka nimeishaipata,sasa nikuulize ni kipi kimemfanya Putin akaufyata na kupisha mwenye nguvu kuvinjari mitaa ya Kyiv bila wasi wasi kabisa? Huoni ulikuwa wasaa mzuri kabisa wa Putin kuionyesha US kuwa yeye hajaribiwi?
 
Anajikakamua tu hapo,ukimpima pressure hapo inasoma 200/100...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…