Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Ni kweli, nimekushukuru kwa kulileta jamvini. Ni andiko muhimu sana lenye twist and turnsShukurani mkuu. Shukurani zaidi kwa muandishi aliyefanya kazi jubwa.
Watu wasije kufikiri Kiranga ndiye huyo muandishi saa. 😆😆
Mimi nilikuwa natafuta andiko la wanazuoni kuhusu huu mgogoro, nikakutana nalo hili.
Nimelisoma lote, limechambua mgogoro kirefu.
Natamani sana lingeandikwa kiswahili wengi walisome kwa utuo!
Kilichonifurshisha ni jinsi wasomi wanavyojichanganya pia halafu lugha inavyoleta utata '' sphere of Influence''
Lakini pia Utawala wa 'Anglo-German' kisha British! Tanganyika chini ya League then UN
Ni andiko Tamu sana!
Hili linanikumbusha pia kisiawa cha ''Latham'' kati ya Tanganyika na Zanzibar
Kwa muda mrefu kimekuwa Tanganyika hadi Samia alipokirudisha Zanzibar alipokuwa Rais wa JMT
Ukisoma hilo andiko la Michigan, kwa sheria za kimataifa , kwanza, ilibidi kufuata text na si map .
Pili, mzozo hauwezi kutatuliwa na upande mmoja. Sasa kwetu sisi Zanzibar ipo, hakuna aliyesima kwa masilahi ya Tanganyika kwasababu haipo! Sijui ni sheria gani imetumika kuamua kwamba kisiwa hicho ni cha Zanzibar.
Ikiwa limefanyika kwa kauli ya Rais, ipo siku tutakuwa na tatizo mbeleni
JokaKuu Mag3