Maswi tena!
Mliomchagua Kikwete mmetuponza sana watanzania.
Nakiri kumtopenda huyu raisi kwa kiwango cha juu sana.
Ebu Sasa Tuambieni Wana CCM; Tuseme Kwa Bahati Mbaya Magaufuli Akabahatika Kuupata Urais wa JMT, Je Walioteuliwa Jana na JK
Atarecall uteuzi Huo.Hii Sasa Ni Too Much, Nadhani JK Anajaribu Kucheza na Psychology/Bongo za Wapiga Kura. Wapiga Kura Ebu Jitokezeni
Tuwaonyeshe CCM ya Kwamba Rais Uchaguliwa na Wananchi na Sio Kuteuliwa na Viongozi wa CCM.Kesho Pigeni Kura za hasira
Tujinasue Na Minyororo Hii ya Kujiona Wanyonge kwenye Nchi yetu.
Ninawasiwasi Na Uchaguzi Huu..Tutaweza Kumaliza Vibaya Kwani Kuna Kila Dalili za Wagombea Kutofika salama.../ Uchaguzi Huu Ni
Mkali na Upepo Unavuma Kulekea Upande wa Lowassa/Ukawa. Je Itakuwaje Mh. Lowassa Akishinda, na je atakubali wateule wa jana Waendelee na Nafasi zao.
Kesho sio Mbali Tutajua Mbivu na mbichi...
busara ipi iliyokiukwa hapo?,,,,tatizo la bavicha bana ni ushabiki uliopitiliza,,,sasa hapa jk amekiuka busara ipi hasa?hebu tufafanulie....
tatizo lingine la bavicha ni wivu wa kike,,,,,
Alikuwa mkurugenzi wizara hiyo wakati JK akiwa waziri. Anajua michongo yote ya wawekezaji ambao ni kwa manufaa ya JK si ya nchiOmar chambo ni mpiga dili mkuu alikuwa wizara ya uchukuzi akashindwana na mwakyembe Leo kapelekwa kwenye gesi
huyu jamaa ahamini kama kesho anafungasha viragoo//////// hapa makomeo anaenda kuwa bawaba tu ila mlango ni jk
huyu jamaa ahamini kama kesho anafungasha viragoo//////// hapa makomeo anaenda kuwa bawaba tu ila mlango ni jk
Maswi tena!
Mliomchagua Kikwete mmetuponza sana watanzania.
Nakiri kumtopenda huyu raisi kwa kiwango cha juu sana.
wataendelea kuwepo,,,unafikiri rais mpya anaanza kuondoa wafanyakazi kazini,,,itachukua kama miaka 2,kabla rais mpya hajaweka watu anaowataka yeye,,sio jambo la kuapishwa leo na kuanza kuondoa makatibu tawala,,etc
Yote yanafanywa kwa mujibu wa sheria.
Jamani kipande aliyekua Mkurugenzi TPA akafukuzwa na Sitta kwa ufisadi na Maswai wa nishati na madini akatimuliwa kwa kashfa ya ESCROW.Hii ni dhihaka kwa Watanzania.haa haa ulaji. na maghufuli atafanya hivohivo tena kwa kasi ya ajabu. dawa ni kesho kuchagua lowasa...