Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Marekani wamefanya ufyongo mwingi na kuvurunda sana uchaguzi wao huu, asikwambie mtu. Pole sana. Kila ulichokitaja negative kinasadifu US maradufu. Umefumba macho nini???
 
Bado hawafai ule ukamilifu mliowapa baada ya nyinyi kushindwa.Kwahiyo madai ya Trump kuhusu wizi wa kura unayazungumziaje..?
 
Marekani wamefanya ufyongo mwingi na kuvurunda sana uchaguzi wao huu, asikwambie mtu. Pole sana. Kila ulichokitaja negative kinasadifu US maradufu. Umefumba macho nini???
Marekani hakuna cha polisi kuwakamata mawakala wagombea Ubunge kufukuza watu kulinda kura zao, uchaguzi wao upo kivingine hata kama kuna dosari si kama mapungufu ya uchaguzi magumashi wa Tanzania
 
Anaiogopa Dar, hata Mange alipoitisha maandamano alijificha Dodoma.
Nyie watu tumeshawachoka maneno yenu mtandaoni..! Mbona kila mnachomwombea mnakwama..!? Tushawachookaaa...! Jifunzeni..!
 
Bado hawafai ule ukamilifu mliowapa baada ya nyinyi kushindwa.Kwahiyo madai ya Trump kuhusu wizi wa kura unayazungumziaje..?
Wizi wa huko hauna polis kuua watu Zanzibar wala polis kukamata wagombea ubunge mawakala siku ya uchaguzi kama Tanzania, wizi wa Tanzania ni wa wazi hata kipofu kaona
 
Nyie watu tumeshawachoka maneno yenu mtandaoni..! Mbona kila mnachomwombea mnakwama..!? Tushawachookaaa...! Jifunzeni..!
Umewachoka na nani? Jichoke mwenyewe huko ulipo
 
Wizi wa huko hauna polis kuua watu Zanzibar wala polis kukamata wagombea ubunge mawakala siku ya uchaguzi kama Tanzania, wizi wa Tanzania ni wa wazi hata kipofu kaona
Kimsingi siioni point yako hapa. Hoja yako ni sawa na kusema,mwanamke anaejiuza casino sio malaya,Ila yule anaejiuza mabarabarani ndo malaya.

Wizi ni wizi bila kujali namna ambayo umefanyika. Hata kama hawakutumia police kama unavyodhani bado ni wizi tu.
 
Anaapia nini- kama ni Biblia au kur'an vimeandika usiibe sasa hiyo mikono si itakuwa inatetemeka akishika kimojawapo??
 
Kuchapa kazi ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Unajisikia raha sana kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge siyo? Unasikia raha kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa kafara CAG?
CAG alistaafu kwa mujibu wa sheria. Trilioni 1.5 ziko well-accounted for. Uwanja wa Chato ni sehemu ya maendeleo kama ule wa Dodoma I Airport ama JNIA na KIA.

Wenye kesi mahakamani ni wale mafisadi, wauzaji wa madawa ya kulevya, na wahujumu uchumi mliozunguka Tanzania nzima mkidai mngeshika dola wakati uleee eti mngeanzisha mahakama za rushwa na uhujumu uchumi.

Au mlikuwa mnawadanganya Watanzania ili tu mpate ridhaa ya kwenda kuchota ruzuku??? Hiyo ndiyo tofauti mojawapo kubwa kati ya mchapakazi, mzalendo JPM na nyie wababaishaji. Maneno mengi, hakuna matendo.
 
Hii nayo ni habari?!!!! Ndio zile mala MALAWI ni nchi ya kwanza, afrika kufungua ubalozi Jerusalem!!! So what?!!
 
Chama cha Demoghasia & Maombolezo asante sana mkuu kwa jina zuri la chama cha manyumbu!
 
Na ndio Rais wa kwanza hatamaliza miaka 10 katika utawala wake.
Mlianza kusema hatamaliza miaka 5, baadae mkasema ataishia kuwa rais wa mhula mmoja
Sasa hivi mnasema hatamaliza miaka 10.

Nafikiri hadi 2025 mtaendelea na porojo hivi hivi badala ya kupigania tume huru ya uchaguzi
 
Hivyo magufuli anaapa ili aiheshimu Katiba ipi? Je, ni hii aliyoisigina kwa miaka mitano iliyopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…