Kwa huyu mkulu wetu anapenda sana sifa hizo.kama sivyo angewakemea mapema wanao msifia kupitiliza.Upo Sahihi kabisa
Mtukufu ni mwenyezi Mungu pekee kwa upande wa Dini zote.
Ipo siku magufuli ataitwa Jehova na atachekelea tu.
Hovyo snMkuu hiyo ndio njia ya kula na mtu apenda sifa
Wii tek ka rech okoko.Ja kamageta
Okoko bende yudore sani rwath?Wii tek ka rech okoko.
Wewe ni punguani.
Niambie maana yoyote ya "mtukufu" nnje ya "Utakatifu wa Mungu".
Niambie maana ya kusujudu nnje ya "kumsujudia Mungu Baba,Yehova".
Vichogo wana asili ya kupenda sifa na kutukuzwaHili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.
Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.
Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!
Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Nyerere alikuwa hapendi kujikweza! Hayo ni mambo ya magufuli!Kwa hili tuwe fair..Marais Nyerere na Mwinyi waliitwa hivi pia bila kuzuia. Ni Rais Mkapa ndiye aliyekuja kukataa kuitwa hivyo. Naandika hivi kwa lengo la kuweka historia sawa tu.
Kwani hana binti?Ndio maana Magufuli alimsifu sana huyu mbunge kwa kumuita handsome...na hata angekuwa na binti angempa!
Pimbi fulani hivi!Unyenyekevu hutokana na malezi bora, unyenyekevu haushurutishwi. Mbunge wangu amefanya lililo jemaView attachment 1711542
Machiegni WaturiJa kamageta
Utakuwa rika yangu Mr HamatanUmesema uwongo. Mwalimu Nyerere alikataa kabisa kuitwa mtukufu au mheshimiwa. Yeye ndiye Rais aliyesababisha viongozi wote waitwe NDUGU.
Mimi niliwahi kusoma risala mbele ya Mwalimu Nyerere nikiwa mwanafunzi darasa 5, kiongozi wa chipukizi, kila aya nilianza na NDUGU RAIS.
Sawa my mate Odhiombo. Tuna kazi ya kuwaelimisha vijana wanaotaka kupotoshaUtakuwa rika yangu Mr Hamatan
Hata Mimi nilijiuliza hilo swali.Kwani hana binti?
Kumuita MTUKUFU linaweza kuonekana kama jambo la kawaida, ila hadi kumsujudia, ni LAANA! Ni dhahiri huyo bwana ni muoga wa maisha, kwa upeo wake wa kutojiamini anahisi kujipendekeza kwa mwadamu ambae hawezi kuongeza hata nukta 1 ya maisha yake, dhahiri ana upungufu kwenye fikra zake.Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.
Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.
Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!
Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Binafsi nakushangaa wewe unayetegemea Magu akatae utukufu. Hata hivyo huyo Mtemvu hakufika 100% ya akitakacho Magu kuhusu kuabudiwa. Yeye anataka kila mtu nchi hii amwimbe yeye, amwabudu yeye, amsikilize yeye, kila kitu ni yeye!Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.
Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.
Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!
Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Kwa hiyo na yeye ni Beberu? Maana naona unamfananisha na heshima wanayopewa mabeberu.Hujwahi kuwa na hisia chanya kwake hata siku moja. Majaji wanaitwa 'Your Lordship' hujawahi kulalamika. Malkia wa Uingereza anaitwa 'Her Majesty', 'Her Royal Highness', 'Your Royal Highness' hujawahi kuhoji. Kusujudu hiyo ni tafsiri yako yenye fikra hasi siku zote.
Hata huyo aliyemwita mtukufu analikuwa na lake jambo namna bora ya kuliwasilisha ijapokuwa hadhi yake aliikweza sana hata hivyo haikuwa lazima amkemee mbunge kwa kuwa ni mwakilishi wa wananchi hata huyo aliyeitwa mtukufu hivyo isikuume kiasi cha kukukosesha hata usingizi ewe mwanasiasa wa kudandia unayeandika ukiwa nje ya mipaka ya nchi.
Mtukufu Iddi Amini, Mtukufu Hitler, Mtukufu Mobutu, N.K. Nashukuru sasa tunaye rafiki wa hao niliowataja.Ndugu yangu duniani napo kuna watukufu. Hilo lisikuumize kichwa.
Walikuwepo watukufu hapo kale kidogo japo kwa sasa hawaitwi tena watukufu. Mfano Mtukufu Ali Hassani Mwinyi, Mtukufu Daniel Arap Moi....n.k
Bb johnthebaptist