I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Ningefurahi kama ungeeleza bayana mantik ya hoja yako kwa ufupi kama hutojali 🐒Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata itilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.
View attachment 2914630
Kwa hiyo tubaki tunangalia tu kama mawe Kodi zetu zikitumika vibaya?kiukweli akuna jombo utafanya likaachwa kukosolewa.
Unajitoa ufahamu sana mwamba. Inamaana kusoma hujui hata picha huoni? Weka uchama pembeni face uhalisiaUmejuaje kuwa anaitumia Rais, maana Mwaka Jana, 2023 nilipanda hiyo kwenda Mwanza kutokea DSM
Ipool sema saa 100 anaambatana watu 300....kizi city wote wana zamu....kusafiri naeeHivi ile private jet ilinunuliwa wakati wa Mkapa sijui ni Gulfstream ile ipo wapi?
RetiredHivi ile private jet ilinunuliwa wakati wa Mkapa sijui ni Gulfstream ile ipo wapi?
MhhHii nchi mlipa kodi ni mtumwa anatwishwa mzigo mzito sana.
Niwie radhi Mkuu Kwa maoni yangu.Unajitoa ufahamu sana mwamba. Inamaana kusoma hujui hata picha huoni? Weka uchama pembeni face uhalisia
Dah! Inasikitisha sana.Ipool sema saa 100 anaambatana watu 300....kizi city wote wana zamu....kusafiri naee