Rais kutumia ndege ya abiria badala ya ndege yake binafsi, nani mshauri wake?

Private jet Ile ni nzima Kweli?

Kwann imeachwa ghafula?
 
Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.

Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.

Sitashangaa ikipata itilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.

View attachment 2914630

Haya mambo yaliasisiwa kutokea kipindi cha nabii jiwe.
 
Msafara wa saa 100....unakuwa watu 300 shangazi wajomba majirani....wote wenda Dubai shopping hisani mama wanu....khaaaa mama wanu banaaaa.....kweli Africa Rahisi ni miungu watu
 
Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.

Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.

Sitashangaa ikipata itilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.

View attachment 2914630
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
 
Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.

Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.

Sitashangaa ikipata itilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.

View attachment 2914630
Nilifikiri ametumia ndege ya nchi nyingine. Hayo mawazo yako ni udumavu wa fikra. Hebu watu muwe wazalendo ukampende mkuu wa nchi yako.
 
Huyo mama yenu ni mzalendo kwa nchi yake? Au kwa kuwa ni mwenyekiti wenu mnabaki kujikombakomba kwake mpate teuzi. Sikutegemea kama nawewe ni mdumavu wa fikra kama mimi tu. Karibu kundini.
 
Hivi ile private jet ilinunuliwa wakati wa Mkapa sijui ni Gulfstream ile ipo wapi?
Hiyo Gulfstream ni ndege ndogo ya bei ndogo tu hata Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha lililoko pale Mwenge ,Dar es salaam anayo yake hiyo Gulf Stream.Akisafiri Huwa anaitumia

Bei yake ndogo ya kawaida sana
 
Shida ni ndege yenye bei rahisi au inayokidhi mahitaji?
Sidhani hata hio private jet ya huyo nabii inaifikia kwa vyovyote bei ya hio gulfstream.
 
Uwezo wa huyu mama wa kufikiri ni mdogo sana sana.
Hapigi hesabu Wala hawazi !
CCM tupeni mgombea 2025!
 
Hiyo Gulfstream ni ndege ndogo ya bei ndogo tu hata Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha lililoko pale Mwenge ,Dar es salaam anayo yake hiyo Gulf Stream.Akisafiri Huwa anaitumia

Bei yake ndogo ya kawaida sana
Punguza ujuaji
 
Back
Top Bottom