Gulfstream G800 inakwenda kwa USD 72 Million, na hapo bado hujaiongezea manjonjo kuwa ya hadhi ya Raisi wa nchi. Hizo za akina Mwingira ni mitumba ya miaka ya 90, tena ni ndogo za kawaida tu.Hiyo Gulfstream ni ndege ndogo ya bei ndogo tu hata Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha lililoko pale Mwenge ,Dar es salaam anayo yake hiyo Gulf Stream.Akisafiri Huwa anaitumia
Bei yake ndogo ya kawaida sana