Gulfstream G800 inakwenda kwa USD 72 Million, na hapo bado hujaiongezea manjonjo kuwa ya hadhi ya Raisi wa nchi. Hizo za akina Mwingira ni mitumba ya miaka ya 90, tena ni ndogo za kawaida tu.Hiyo Gulfstream ni ndege ndogo ya bei ndogo tu hata Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha lililoko pale Mwenge ,Dar es salaam anayo yake hiyo Gulf Stream.Akisafiri Huwa anaitumia
Bei yake ndogo ya kawaida sana
Kwa nini inunuliwe nyingine wakati iliishanunuliwa ndege ya Rais enzi ya Mkapa? Ile Gulfstream 550 yenye nembo ya Serikali iko wapi?Ni afadhari aendelee kutumia ndege hiyo hiyo kuliko kununua nyingine!
Ndege ya Mtume na Nabii Mwingira Gulfstream inapita bei Hadi ya ndege ya Raisi wa Tanzania sababu ni toleo la juu kuliko ndege ya Gulfstream ya Raisi SamiaShida ni ndege yenye bei rahisi au inayokidhi mahitaji?
Sidhani hata hio private jet ya huyo nabii inaifikia kwa vyovyote bei ya hio gulfstream.
Bado ni cheap USA hiyo ni ndege bei nafuu sana watu binafsi wengi USA hununua hiyo Gulfstream wako kibao sio big deal .Ni kama kwetu gari za ToyotaGulfstream G800 inakwenda kwa USD 72 Million, na hapo bado hujaiongezea manjonjo kuwa ya hadhi ya Raisi wa nchi. Hizo za akina Mwingira ni mitumba ya miaka ya 90, tena ni ndogo za kawaida tu.
View attachment 2914805
Jamaa mbona anasema ndege ya Mwigira ina bei kali sana?Gulfstream G800 inakwenda kwa USD 72 Million, na hapo bado hujaiongezea manjonjo kuwa ya hadhi ya Raisi wa nchi. Hizo za akina Mwingira ni mitumba ya miaka ya 90, tena ni ndogo za kawaida tu.
View attachment 2914805
Ndege ya Mtume na Nabii Mwingira wa pale Mwenge Dar es salaam kanisa la Efatha ni Gulfstream sawa na ndege ya Raisi Samia na ni toleo jipya kuliko hiyo Gulfstream ndege ya Raisi Ikulu na Bei ya Ndege hiyo Gulfstream ya Mwingira Iko juu kuliko hiyo ndege ya Raisi SamiaShida ni ndege yenye bei rahisi au inayokidhi mahitaji?
Sidhani hata hio private jet ya huyo nabii inaifikia kwa vyovyote bei ya hio gulfstream.
Atakuwa kashindilia huko akina Abdul na wengine wengi, mama huyu kama hamjui ni mama wa matumizi, si umeona saa tu millioni zaidi ya 100?!Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.
View attachment 2914630
Hivi ile ndege bado ipo?Kwa nini inunuliwe nyingine wakati iliishanunuliwa ndege ya Rais enzi ya Mkapa? Ile Gulfstream 550 yenye nembo ya Serikali iko wapi?
Ulitaka Kodi itumike wapiIpool sema saa 100 anaambatana watu 300....kizi city wote wana zamu....kusafiri naee
Amewnda na ukoo wake hasa wajukuuJamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.
View attachment 2914630
Lipo dar eapot, bunge wamepitisha rais anunuliwe ndege mpyaHivi ile private jet ilinunuliwa wakati wa Mkapa sijui ni Gulfstream ile ipo wapi?
Washauri wake ndio wale wale wa siku zoteJamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.
View attachment 2914630
Ndege mpya itanunuliwa tu utake usitake unaikumbuka hii kauli ya hayati Mramba? Kuwa "ndege ya Rais lazima inunuliwe hata kama Watanzania ikinunuliwa watakula nyasi"Nadhani ni bora atumie hizo za ATCL, kuliko kuanza kununua ndege mpy za viongozi. Maana sasa wameshapitisha ndege za viongozi ziongezwe; wakati Mama anakata mawingu kwa ndege ya ATCL. Sasa si itakuwa gharama mara mbili, bora tu atumie hiyo - mambo yaishe. Akiwa hana safari - ndege yetu iendelee tu kuhudumia abiria.
Huyu Mama ana mambo mengi sana ya kujifunza kwa Rais wa Zambia Comrade HH.Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake hayakuendana na faida kutokana na ubinafsi wa watu wachache.
View attachment 2914630
Bongo dili....kachukue buku saba zakoUlitaka Kodi itumike wapi
Umejuaje kuwa anaitumia Rais, maana Mwaka Jana, 2023 nilipanda hiyo kwenda Mwanza kutokea DSM
Unajitoa ufahamu sana mwamba. Inamaana kusoma hujui hata picha huoni? Weka uchama pembeni face uhalisia