Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Tupe msitari unao taja neno Tz,kenya Ufaransa, ndani ya Bible.
Ya kwamba siku hizi sheria za kimataifa zinaongozwa kwa mujibu wa vitabu vya dini?
Akikupa nishtue bro, nipo palee
 
Kwahiyo unabisha ww huendeshwi kama mbuzi na CCM?
Hata ungekuwaje hufiki hata 000000000000%ya macron.

Mm simzidi chochote Netanyau bali yeye anashutumiwa kwa matendo na ukatili wake kama Hitra ,Musolin,mobotu,walivyo shutumiwa kwa uovu wao.
Unamzidi akili netanyau tena sana tu 90%
 
Yaani mtu uliye panga chumba na sebule na unaendeshwa kama mbuzi na ccm , unamuita kiongozi wa taifa kubwa kijeshi na kiuchumi kuwa ni mpuuzi?😀😀😀😀😃😀😃.
Mkuu si tuliambiwa Israel ni nchi ya ahadi mbona Macron anasema Israel imetetokea kwa maamuzi ya UN?

Ina maana UN wasingepitisha hayo maamuzi Israel isingetokea?
 
Wapi nchi ya mafilisti imetajwa na muumba wa yote? Leo ndio unaujua ubinadamu?
Kama wapalestina hawana haki ya kuwa na taifa kwa sababu hawakutajwa na mungu.
Nyinyi watz mme tajwa kwenye kifungu gani cha vitabu vya dini mpaka mkawa na taifa?

Mm ubinadamu ninaujua tangu kuzaliwa kwangu na ndio maana sijawahi huunga mkono maovu yanayo fanywa dhidi ya binadamu wenzangu.
Alafu maswali yangu hujanijibu vipi hiyo nchi ya ahadi ingekuwa ni TZ ww ungekubali kuwapatia akina Netanyau mali zako zote alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?
 
Duuh,
Nimekuwekea andiko la Imam mwenye akili kubwa bado unabisha wewe ustaadh njaa?!!!

Hilo eneo siyo la hao wahuni.
Umekaririshwa uongo, uzushi, ujinga..

Wewe ndiye mgonjwa wa akili Og basi!!!

View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=HGI55hMPKkpA_2rsuZeRyg&s=19

Tiyari umesha panic,moja wapo na dalili zinazo kuonesha kuwa una ugonjwa wa akili ni kuanza kejeli za kidini badala ya hoja.
Una tatizo kubwa sana la kisaikolojia na kama una watoto basi wana hasara ya kuwa na baba mpumbavu kama ww.
 
Wewe ndo mgonjwa mno maana unalazimisha uongo, ni wapi nimetaja dini?!!

Jikite kwenye hoja
 
Wewe ndo mgonjwa mno maana unalazimisha uongo, ni wapi nimetaja dini?!!

Jikite kwenye hoja
Narazimisha uongo gani?
Ya kwamba Israel haikuundwa kwa azimio la umoja wa mataifa mwaka 1947?
Ya kwamba Israel haiwanyanyasi wapalestina?
Ya kwamba ww hufurahii mauaji ya watoto wa kipalestina kwa misingi ya chuki za kidini?
 
Ya kwamba ww una uchungu na Israel kuliko Ufaransa iliyo shiriki kuliunda taifa hilo na mpaka sasa inashiriki kulilinda?
Uwo uchungu ungeuamishia kwenye nchi yako iliyo jaa mambo ya hovyo ingekuwa Jambo la maana sana.
Una Moyo sana wa kuwajibu walokole ndugu Pole sana
 
Narazimisha uongo gani?
Ya kwamba Israel haikuundwa kwa azimio la umoja wa mataifa mwaka 1947?
Ya kwamba Israel haiwanyanyasi wapalestina?
Ya kwamba ww hufurahii mauaji ya watoto wa kipalestina kwa misingi ya chuki za kidini?
🚮 🗑 🚮
 
Hahaha, kwanza ncheke😆
Humu ni mwendo wa I'd feki tuu, hata nikijieleza kuwa sipo hivyo ulivyosema utabisha, so haisaidii kitu!

Sasa wee MAAMUMA wa Buza kwa Mpalange unayeshindia kikombe cha kahawa na kashata moja kutwa nzima huku ukicheza bao na kuibia wenzio kwa chuma ulete, unamzidi nini Netanyahu unayemshutumu humu kila uchwao?!!!
Kitendo cha kukujua buza na kwa mpalange tu tushajua aina yako ya maisha.
 
Kama wapalestina hawana haki ya kuwa na taifa kwa sababu hawakutajwa na mungu.
Nyinyi watz mme tajwa kwenye kifungu gani cha vitabu vya dini mpaka mkawa na taifa?

Mm ubinadamu ninaujua tangu kuzaliwa kwangu na ndio maana sijawahi huunga mkono maovu yanayo fanywa dhidi ya binadamu wenzangu.
Alafu maswali yangu hujanijibu vipi hiyo nchi ya ahadi ingekuwa ni TZ ww ungekubali kuwapatia akina Netanyau mali zako zote alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?
Changamoto ni moja wakristo bado hawawajui wayahudi vizuri tabia zao za kudanganya na kubadili vitu vile vitabu vyao vyote wayahudi wakijipenyezea mistari yao ili wasije buguziwa wakianza uovo wao wanajificha kwenye kivuli cha mistari yao ya kihuni walichomeka humo. Hakuna taifaa Mungu linaweza kutenda wanavyowatendea binadamu wengine, mtu unamnyima chakula mtoto mdogo na unaua mama yake ambae atamjal huo uovu na ukatili wa kiwango gani
 
Back
Top Bottom