Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Akikupa nishtue bro, nipo paleeTupe msitari unao taja neno Tz,kenya Ufaransa, ndani ya Bible.
Ya kwamba siku hizi sheria za kimataifa zinaongozwa kwa mujibu wa vitabu vya dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikupa nishtue bro, nipo paleeTupe msitari unao taja neno Tz,kenya Ufaransa, ndani ya Bible.
Ya kwamba siku hizi sheria za kimataifa zinaongozwa kwa mujibu wa vitabu vya dini?
Unamzidi akili netanyau tena sana tu 90%Kwahiyo unabisha ww huendeshwi kama mbuzi na CCM?
Hata ungekuwaje hufiki hata 000000000000%ya macron.
Mm simzidi chochote Netanyau bali yeye anashutumiwa kwa matendo na ukatili wake kama Hitra ,Musolin,mobotu,walivyo shutumiwa kwa uovu wao.
Duuh,Netanyau kaja pale mwaka 1960 wakati wapalestina wana maelfu ya miaka wanaishi hapo.
Mkuu si tuliambiwa Israel ni nchi ya ahadi mbona Macron anasema Israel imetetokea kwa maamuzi ya UN?Yaani mtu uliye panga chumba na sebule na unaendeshwa kama mbuzi na ccm , unamuita kiongozi wa taifa kubwa kijeshi na kiuchumi kuwa ni mpuuzi?😀😀😀😀😃😀😃.
Kama wapalestina hawana haki ya kuwa na taifa kwa sababu hawakutajwa na mungu.Wapi nchi ya mafilisti imetajwa na muumba wa yote? Leo ndio unaujua ubinadamu?
Duuh,
Nimekuwekea andiko la Imam mwenye akili kubwa bado unabisha wewe ustaadh njaa?!!!
Hilo eneo siyo la hao wahuni.
Umekaririshwa uongo, uzushi, ujinga..
Wewe ndiye mgonjwa wa akili Og basi!!!
View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=HGI55hMPKkpA_2rsuZeRyg&s=19
France to Israel is a piece cake.Israel unauwezo wa kupambana na Ufaransa?
Labda tuwaulize wafuasi wa taifa teule wanaweza wakatujibu.Mkuu si tuliambiwa Israel ni nchi ya ahadi mbona Macron anasema Israel imetetokea kwa maamuzi ya UN?
Ina maana UN wasingepitisha hayo maamuzi Israel isingetokea?
Wewe ndo mgonjwa mno maana unalazimisha uongo, ni wapi nimetaja dini?!!Tiyari umesha panic,moja wapo na dalili zinazo kuonesha kuwa una ugonjwa wa akili ni kuanza kejeli za kidini badala ya hoja.
Una tatizo kubwa sana la kisaikolojia na kama una watoto basi wana hasara ya kuwa na baba mpumbavu kama ww.
Narazimisha uongo gani?Wewe ndo mgonjwa mno maana unalazimisha uongo, ni wapi nimetaja dini?!!
Jikite kwenye hoja
Una Moyo sana wa kuwajibu walokole ndugu Pole sanaYa kwamba ww una uchungu na Israel kuliko Ufaransa iliyo shiriki kuliunda taifa hilo na mpaka sasa inashiriki kulilinda?
Uwo uchungu ungeuamishia kwenye nchi yako iliyo jaa mambo ya hovyo ingekuwa Jambo la maana sana.
EU yote inamwaandama maana kila kinachofanywa na Netanyahu hata hao eu wanaona aibu kila wakimsitiri hasitirikiMbona Macron anamuandama sana Netanyau,kuna nini kinasababisha mtifuano kati yao?
🚮 🗑 🚮Narazimisha uongo gani?
Ya kwamba Israel haikuundwa kwa azimio la umoja wa mataifa mwaka 1947?
Ya kwamba Israel haiwanyanyasi wapalestina?
Ya kwamba ww hufurahii mauaji ya watoto wa kipalestina kwa misingi ya chuki za kidini?
Kwamba Tanganyika ilipatikana kwa kukusanya watu kutoka pande zote za Dunia kwa amri ya kikao cha mabeberu au? Hivi kuna watu vichwa vyenu vimebeba nini wenzetu???Hakuna tofauti maana hata nchi zetu zilipatikana kupitia kikao cha mabeberu Berlin huko, lakini hiyo haiwezi kutufanya misukule yao
Jibu hoja ww mjonjwa wa Akili.🚮 🗑 🚮
Kitendo cha kukujua buza na kwa mpalange tu tushajua aina yako ya maisha.Hahaha, kwanza ncheke😆
Humu ni mwendo wa I'd feki tuu, hata nikijieleza kuwa sipo hivyo ulivyosema utabisha, so haisaidii kitu!
Sasa wee MAAMUMA wa Buza kwa Mpalange unayeshindia kikombe cha kahawa na kashata moja kutwa nzima huku ukicheza bao na kuibia wenzio kwa chuma ulete, unamzidi nini Netanyahu unayemshutumu humu kila uchwao?!!!
Mipaka ya Tanganyika uliitengeneza wewe?Kwamba Tanganyika ilipatikana kwa kukusanya watu kutoka pande zote za Dunia kwa amri ya kikao cha mabeberu au? Hivi kuna watu vichwa vyenu vimebeba nini wenzetu???
Changamoto ni moja wakristo bado hawawajui wayahudi vizuri tabia zao za kudanganya na kubadili vitu vile vitabu vyao vyote wayahudi wakijipenyezea mistari yao ili wasije buguziwa wakianza uovo wao wanajificha kwenye kivuli cha mistari yao ya kihuni walichomeka humo. Hakuna taifaa Mungu linaweza kutenda wanavyowatendea binadamu wengine, mtu unamnyima chakula mtoto mdogo na unaua mama yake ambae atamjal huo uovu na ukatili wa kiwango ganiKama wapalestina hawana haki ya kuwa na taifa kwa sababu hawakutajwa na mungu.
Nyinyi watz mme tajwa kwenye kifungu gani cha vitabu vya dini mpaka mkawa na taifa?
Mm ubinadamu ninaujua tangu kuzaliwa kwangu na ndio maana sijawahi huunga mkono maovu yanayo fanywa dhidi ya binadamu wenzangu.
Alafu maswali yangu hujanijibu vipi hiyo nchi ya ahadi ingekuwa ni TZ ww ungekubali kuwapatia akina Netanyau mali zako zote alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?
Ndo ujue kuna watu wanajiita wasomi ila usomi wao ni bure kabisa. Wakiambiwa Israel hii ni ya mchongo wanatokwa na mapovu.Mkuu si tuliambiwa Israel ni nchi ya ahadi mbona Macron anasema Israel imetetokea kwa maamuzi ya UN?
Ina maana UN wasingepitisha hayo maamuzi Israel isingetokea?