Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Kuna wachangiajii humu bado wanasifiaa kauli za meko na jambo hilo linanisikitisha sanaa ila uzuri miaka bado minne ipo siku yako na wewe utapapaswaa........ Inawezekan huyo doctor alikuwa mzee wa mitano tena haya sasa kumekucha upande wake
 
Last

BoldItalicMore options…

Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview

Font sizeText colorFont familyListAlignment
  • Align left
  • Align center
  • Align right
  • Justify text
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
SmiliesQuoteMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Vilevile hatakama alikopeshwa na serikali, je masharti ya mkopo ni lazima afanye kazi serikalini? Mbona hata akiwa hospitali binafsi anahudumia Watanzania? Anachotakiwa rais kufanya ni kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, na sio kuwatumikisha kwa nguvu na kuwazuia kufuata fursa nyingine wanazoona zinaweza kuinua maisha yao. Yeye alipoacha ualimu akagombea ubunge, kama angezuiwa, leo angekua ikulu? Asijisahau sana alikotoka. Hata alipokua waziri ktk serikali ya JK, alifanya makosa madogo madogo kibinadamu, ila rais hakumfukuza kama yeye anavodhalilisha watumishi kipindi hiki. Alimpa nafasi ya kujirekebisha. Hapa sisemi alee uzembe, ila adhabu iwe kwa lengo la kumfanya mkosaji ajisahihishe na sio kumharibia maisha yeye na wategemezi wake. Hapa watakuja wale wanaosifu kila kauli ya kiongozi bila kuitafakari. Fikiri hivi: Wewe ni daktari una watoto wanadona sekondari na vyuo na a mikopo wamenyimwa. Unalipwa na serikali labda sh. 2m/= p.m. Kisha unapata ajira sekta binafsi kwa mshahara labda 3.5m/= p.m., ukiamua kwenda huko kosa lako ni lipi? Na ile hospitali binafsi inayokuajiri ina kosa gani? Hivi siku hizi ukiwa mtumishi wa serikali huna tena uhuru wa kuacha kazi ukitaka?
Post reply

Attach files

Similar Discussions​

Share
NEdit

Nziiri

Senior Member
Messages146Reaction score106Trophy points250


WHO WE ARE​

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!
Read more...

WHERE ARE WE?​

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...

DISCLAIMER​

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...

FORUM RULES​

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.
Read more...

PRIVACY POLICY​

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.
Proceed here...



Rais Magufuli ameagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe | JamiiForums
There are more posts to display. View them?
[IMG alt="Kazitunayo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/133/133997.jpg?1470343916[/IMG]

Kazitunayo

JF-Expert Member​

Mi 5 tena
Azim Sokoine said:
Kwa sasa nchi imekua ngumu sana aisee

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Lambardi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/9/9121.jpg?1207579794[/IMG]

Lambardi

JF-Expert Member​

Mitano tena .....awamu mwisho mtajuta

Thanks Quote Reply
Report
N

Nziiri

Senior Member​

Vilevile hatakama alikopeshwa na serikali, je masharti ya mkopo ni lazima afanye kazi serikalini? Mbona hata akiwa hospitali binafsi anahudumia Watanzania? Anachotakiwa rais kufanya ni kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, na sio kuwatumikisha kwa nguvu na kuwazuia kufuata fursa nyingine wanazoona zinaweza kuinua maisha yao. Yeye alipoacha ualimu akagombea ubunge, kama angezuiwa, leo angekua ikulu? Asijisahau sana alikotoka. Hata alipokua waziri ktk serikali ya JK, alifanya makosa madogo madogo kibinadamu, ila rais hakumfukuza kama yeye anavodhalilisha watumishi kipindi hiki. Alimpa nafasi ya kujirekebisha. Hapa sisemi alee uzembe, ila adhabu iwe kwa lengo la kumfanya mkosaji ajisahihishe na sio kumharibia maisha yeye na wategemezi wake. Hapa watakuja wale wanaosifu kila kauli ya kiongozi bila kuitafakari. Fikiri hivi: Wewe ni daktari una watoto wanasoma sekondari na vyuo na a mikopo wamenyimwa. Unalipwa na serikali labda sh. 2m/= p.m. Kisha unapata ajira sekta binafsi kwa mshahara labda 3.5m/= p.m., ukiamua kwenda huko kosa lako ni lipi? Na ile hospitali binafsi inayokuajiri ina kosa gani? Hivi siku hizi ukiwa mtumishi wa serikali huna tena uhuru wa kuacha kazi ukitaka?
 
Kuna mtu aliacha kufundisha akaenda kwenye siasa nae huyo tumfanyeje????
Akajibu asiekuwa na dhambi na achakue jiwe ampige huyo daktari.
Akaongeza akasema kwa nini wakitizama kibanzi kilicho jicho la daktari ilihali jichoni mwako kuna kiboriti.......
 
Inawezekana alipata Grant sio Mkopo... Grant kuna amsharti yake
Mkataba wa grants kwa Wanafunzi wanaosoma MD na DDS kwa MUHAS uliokua unatolewa enzi za serikali ya awamu ya nne, ulikuwa unamtaka mnufaika kufanya kazi Tanzania kwa miaka mitano Mara baada ya kuhitimu chuo. Hakuna sehemu ya mkataba iliyokuwa inastate kuwa lazima kufanya kazi kwenye Taasisi ya Serikali.
 
Itoshe kusema hili zee ni taahira! Kwani mtu akiendam kufanyakazi sekta binafsi halipi mkopo? Hii akili utopolo ni ya wapi hii? Huyu mzee siyo Mtanzania huyu!
 
Mataga watakupinga. Umaskini unazidi kuwa juu kwa speed ya rocket. Tatizo ni jiwe (non-living matter).
 
Alipotembelea Tanga miaka miwili iliyopita alisema Mfanyakazi yeyote ambaye hajaridhika na mshahara aende akalime au atafute kazi ya kufanya,sasa mtu ameona kipato chake hakitoshi akaenda private unamfuatilia wakati wewe umebana mapato lakini kwenu kunachanua kila siku huu ni uhuni.
 
Kazi kutetea ujinga!!
Kama rahisi ivyo nenda kawaambie hao private wachukue new graduates tu wawape wao hizo practice skills, wamejaa mitaani mpaka wengine wanaona bora wakalime.

Yaani watu wapatie ujuzi serikalini halafu wakishafikia hatua za kuaminika wengine wavune.

You ppl are not serious.
 
Mbona wanasiasa wanakula hela za serikali za kila siku mnawaacha. Si jana kasamehewa alonunua gari la anasa na zahanati hazina ambulance.
Kwa hiyo ndiyo maana nyinyi na Wanasiasa mmeaamua kutuibia sisi Wananchi!?
 
,,,,,,,hii inatwa psychological phobia of leadership,,,,,isitoshe there is no permanent situation in life.Tuzidi kuwaombea viongozi wetu kwa Mungu.
 
Inategemea na aina ya mfanyakazi, daktari ni precious serikalini kwa sasa.

Wawe wazalendo serikali inajitahidi inavyoweza kuboresha maslahi yao but the resources are limited.
 
Kwani huko hosp binafsi anatibu wasomalia??

Hospitali ya Milembe inatibu watu gani, mbona wengine imewaacha mitaani?
Yeye kaiba bingwa wa upasuaji jk anazurura nae tu,wakti maelfu ya wananchi wanahitaji huduma ya huyo bingwa
 
Sipati picha jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia baada ya kusikia hii kauli kiukweli wanasiasa wengi peponi watapita hiviii subirini tu muda utaongea
Peponi ya wapi?..!!!
 
Wapo wengi madaktari wanazurura na vyeti vyao akawachukue hao wafanye uzalendo anaoutaka,ajabu hao hao madaktari wanaozurura ,kila siku anawaambia wakajiajiri hizi kauli hazina tija kwa taifa huru.
Kwanini private isichukue hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…