tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kwani halipi mkopo?yeye kamchukua bingwa wa upasuaji jk aliekua anahudumia wagonjwa lukuki sasa hivi anamuhudumia yeye pekeeKama ilivyo Kukopa ni harusi na kulipa iwe harusi pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani halipi mkopo?yeye kamchukua bingwa wa upasuaji jk aliekua anahudumia wagonjwa lukuki sasa hivi anamuhudumia yeye pekeeKama ilivyo Kukopa ni harusi na kulipa iwe harusi pia
LastHuu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Vilevile hatakama alikopeshwa na serikali, je masharti ya mkopo ni lazima afanye kazi serikalini? Mbona hata akiwa hospitali binafsi anahudumia Watanzania? Anachotakiwa rais kufanya ni kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, na sio kuwatumikisha kwa nguvu na kuwazuia kufuata fursa nyingine wanazoona zinaweza kuinua maisha yao. Yeye alipoacha ualimu akagombea ubunge, kama angezuiwa, leo angekua ikulu? Asijisahau sana alikotoka. Hata alipokua waziri ktk serikali ya JK, alifanya makosa madogo madogo kibinadamu, ila rais hakumfukuza kama yeye anavodhalilisha watumishi kipindi hiki. Alimpa nafasi ya kujirekebisha. Hapa sisemi alee uzembe, ila adhabu iwe kwa lengo la kumfanya mkosaji ajisahihishe na sio kumharibia maisha yeye na wategemezi wake. Hapa watakuja wale wanaosifu kila kauli ya kiongozi bila kuitafakari. Fikiri hivi: Wewe ni daktari una watoto wanadona sekondari na vyuo na a mikopo wamenyimwa. Unalipwa na serikali labda sh. 2m/= p.m. Kisha unapata ajira sekta binafsi kwa mshahara labda 3.5m/= p.m., ukiamua kwenda huko kosa lako ni lipi? Na ile hospitali binafsi inayokuajiri ina kosa gani? Hivi siku hizi ukiwa mtumishi wa serikali huna tena uhuru wa kuacha kazi ukitaka?Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Azim Sokoine said:
Kwa sasa nchi imekua ngumu sana aisee
Vilevile hatakama alikopeshwa na serikali, je masharti ya mkopo ni lazima afanye kazi serikalini? Mbona hata akiwa hospitali binafsi anahudumia Watanzania? Anachotakiwa rais kufanya ni kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, na sio kuwatumikisha kwa nguvu na kuwazuia kufuata fursa nyingine wanazoona zinaweza kuinua maisha yao. Yeye alipoacha ualimu akagombea ubunge, kama angezuiwa, leo angekua ikulu? Asijisahau sana alikotoka. Hata alipokua waziri ktk serikali ya JK, alifanya makosa madogo madogo kibinadamu, ila rais hakumfukuza kama yeye anavodhalilisha watumishi kipindi hiki. Alimpa nafasi ya kujirekebisha. Hapa sisemi alee uzembe, ila adhabu iwe kwa lengo la kumfanya mkosaji ajisahihishe na sio kumharibia maisha yeye na wategemezi wake. Hapa watakuja wale wanaosifu kila kauli ya kiongozi bila kuitafakari. Fikiri hivi: Wewe ni daktari una watoto wanasoma sekondari na vyuo na a mikopo wamenyimwa. Unalipwa na serikali labda sh. 2m/= p.m. Kisha unapata ajira sekta binafsi kwa mshahara labda 3.5m/= p.m., ukiamua kwenda huko kosa lako ni lipi? Na ile hospitali binafsi inayokuajiri ina kosa gani? Hivi siku hizi ukiwa mtumishi wa serikali huna tena uhuru wa kuacha kazi ukitaka?Chukwuemeka Takpo said:
Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Click to expand...
Mkataba wa grants kwa Wanafunzi wanaosoma MD na DDS kwa MUHAS uliokua unatolewa enzi za serikali ya awamu ya nne, ulikuwa unamtaka mnufaika kufanya kazi Tanzania kwa miaka mitano Mara baada ya kuhitimu chuo. Hakuna sehemu ya mkataba iliyokuwa inastate kuwa lazima kufanya kazi kwenye Taasisi ya Serikali.Inawezekana alipata Grant sio Mkopo... Grant kuna amsharti yake
Mataga watakupinga. Umaskini unazidi kuwa juu kwa speed ya rocket. Tatizo ni jiwe (non-living matter).Jamaa anachoweza ni usimamizi tuu , Ila Sera za uchumi jamaaa ni wa hovyo mnoo, na watanzania wasitegemee lolote Kwa huyu jamaaa...wataendelea kuwa maskini wa kutupwa kadri atakavyoendelea kuwa madarakan....
Kuajiri hatak, kuongeza mishahara hatak , wanaojaribu kujinasua anawagonga nyundo ...., Kwenye kujiajiri huko sasa utitiri wa Kodi mpaka unavuja jasho....
Na still anawatukana wahisani hadharani
Alipotembelea Tanga miaka miwili iliyopita alisema Mfanyakazi yeyote ambaye hajaridhika na mshahara aende akalime au atafute kazi ya kufanya,sasa mtu ameona kipato chake hakitoshi akaenda private unamfuatilia wakati wewe umebana mapato lakini kwenu kunachanua kila siku huu ni uhuni.Tatizo lako wewe uelewi hata kwanini serikali inafanya aina fulani za investment.
Serikali inajukumu la kugharamia ‘merit goods’ maana yake nini serikali isiposomesha, kujenga shule, kutoa huduma za afya na uwekezaji mwingine wenye faida za jamii watakaofaidika ni wachache wenye hela.
Sasa serikali imekusomesha kwa faida ya jamii maana yeye ndio mtoaji huduma pia kwa watanzania maskini tulio wengi.
Mtu anatakiwa akaitumikie jamii ambayo inamuhitaji kama sababu za kusomeshwa kwake na kupewa experience. Anafika huko anaona hakufai sijui amepewa offer yenye maslahi mapana zaidi yule aliyekutengeneza unamuona fala.
Na unadhani Drs are entitled to that wakati kupata replacement yake ni shida.
Magufuli yupo right hapa huyo daktari ateme hela ya serikali tena anaondoka bila ya kujali kama kuna mtu wa-ku replace nafasi; halafu mnataka achekewe.
Kama rahisi ivyo nenda kawaambie hao private wachukue new graduates tu wawape wao hizo practice skills, wamejaa mitaani mpaka wengine wanaona bora wakalime.Kazi kutetea ujinga!!
Kwa hiyo ndiyo maana nyinyi na Wanasiasa mmeaamua kutuibia sisi Wananchi!?Mbona wanasiasa wanakula hela za serikali za kila siku mnawaacha. Si jana kasamehewa alonunua gari la anasa na zahanati hazina ambulance.
Inategemea na aina ya mfanyakazi, daktari ni precious serikalini kwa sasa.Alipotembelea Tanga miaka miwili iliyopita alisema Mfanyakazi yeyote ambaye hajaridhika na mshahara aende akalime au atafute kazi ya kufanya,sasa mtu ameona kipato chake hakitoshi akaenda private unamfuatilia wakati wewe umebana mapato lakini kwenu kunachanua kila siku huu ni uhuni.
Kajihalishia mkuuMitano tena!
Masikini sipati picha huyo doctor huko aliko ana hali gani muda huu... Pengine hii taarifa wameipata familia yake kabla yeye hajaipata
Yeye kaiba bingwa wa upasuaji jk anazurura nae tu,wakti maelfu ya wananchi wanahitaji huduma ya huyo bingwaKwani huko hosp binafsi anatibu wasomalia??
Hospitali ya Milembe inatibu watu gani, mbona wengine imewaacha mitaani?
Wapo wengi madaktari wanazurura na vyeti vyao akawachukue hao wafanye uzalendo anaoutaka,ajabu hao hao madaktari wanaozurura ,kila siku anawaambia wakajiajiri hizi kauli hazina tija kwa taifa huru.Inategemea na aina ya mfanyakazi, daktari ni precious serikalini kwa sasa.
Weee anaelewa vzr tu mbna anasemaga mtaani kugumu ,sema yey anajitoa ufahamu tu.Tutamaliza lakiniMzee hajagundua tu kuwa watu wanahali mbaya mtaani
Ukiona hadi wafanyakazi wanaikimbia serikali jitafakali
Peponi ya wapi?..!!!Sipati picha jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia baada ya kusikia hii kauli kiukweli wanasiasa wengi peponi watapita hiviii subirini tu muda utaongea
Kwanini private isichukue hao?Wapo wengi madaktari wanazurura na vyeti vyao akawachukue hao wafanye uzalendo anaoutaka,ajabu hao hao madaktari wanaozurura ,kila siku anawaambia wakajiajiri hizi kauli hazina tija kwa taifa huru.