Naona leo umeshindwa kusema tu unaunga mkono wa Mhe. Rais. HahahahahaKama ilivyo Kukopa ni harusi na kulipa iwe harusi pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona leo umeshindwa kusema tu unaunga mkono wa Mhe. Rais. HahahahahaKama ilivyo Kukopa ni harusi na kulipa iwe harusi pia
Ila jpm ,pesa si hukopeshwa ,na hata akiwa private anaendelea na kulipa deni Kama kawa japo kulimaliza ni mbinde Wana bill kubwa Sana,ili jpm awabane vizuri ,Basi nifyema kuwafutia maden yao huko ,walipokopa wakati wa masomo maana fani yao hugusa maisha yetu moja KWA moja ,then wabane ,vinginevyo tuwaachie uhuruView attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
Mkuu unaafikiana na hiki chuma kwa hili? [emoji30]Jakaya alisema Daktari anaeona maslahi madogo Serikalini atafute sehemu nyingine kwa roho safi tu akazodolewa,sasa kinekuja chuma ukihama Serikalini tunakufata huko huko ulipo tunakufutia leseni na ki hospitali hicho tunakitia Kufuli
Siyo tunakoelekea bali tangu awali ndivyo ilivyokuwa. Unasomeshwa na serikali; ukihitimu unafanya kazi serikalini au kwenye shirika la umma kufuatana na utakavyopangiwa, kwa miaka mitano kipindi ambacho kinachukuliwa kinatosha kufidia gharama za kukusomesha. Ukitaka kwenda kwinginepo kabla ya utumishi wa miaka mitano ulikopangiwa, ruksa lakini ulipe gharama za kukusomesha. Mtu 'objective' hawezi kukosoa hilo. Agizo la JPM katika bandiko hili linafuata kanuni hii.Tunakoelekea mikopo itawekwa masharti ya "lazima kufanya kazi serikali"
Tangu tuingie "uchumi wa kati" maajabu hayaishi nchini mwetu!! Yeye mwenyewe kakimbia 'njaa' halafu anapata ujasiri wa kuwatafuta wenzake warudi kwenye dhiki na taabu!Anatafuta Dr. aliyekimbia hospital kufuata masilah na mazingira bora ya kazi,anayetoa maagizo yeye pia alikimbia ualimu na kwenda kuwa mkemia kwa kufuata masilah Mazur, licha ya kusomeshwa na serikali buree bila hata kurejesha sh. huku hata nauli na MIKATE wakipewa buree.Mtoa maagizo hajaridhika hapo akaacha ukemia akaingia kwenye siasa kula kwa mrija Sasa, amesahau alipotoka. HAPO NANI NI MZALENDO?
Wewe unasemaje?Naona leo umeshindwa kusema tu unaunga mkono wa Mhe. Rais. Hahahahaha
Kwani akiajiliwa private huo mkopo hawaukani!?View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
Hakuna mtu asiyependa hela, udaktari unasoma miaka mitano tena kwa shida, halafu uongezee mwaka wa kukaa kama intern, halafu uende ukasomee uwe mbobezi, sio chini ya miaka miwili.Mfano.. narudia huu ni mfano..
Wewe ni dokta bingwa wa moyo.
Seriaklini unalipwa 2mil alafu private unaambiwa utalipwa 8mil!
Je utakubali kazi ya private ya 8mil au utaendelea serikalini ambapo unalipwa 2mil?
Nadhani kwa mara ya kwanza, leo umegundua mzee wako kuna wakati mihemko inamzidia kiasi cha kushindwa kuidhibiti!!JPM bado ni mtumishi wa umma, amehama idara tuu hajaenda ACT [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtumishi namba1 wa serikali
Kwani huko hospital binafsi anatibu watu wa taifa gani? Si ni watanzania. Watu wengine bhana....!Tunakoelekea mikopo itawekwa masharti ya "lazima kufanya kazi serikali"