Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa akili yako timamu unategemea kutakuwa na jipya leo?kualikwa kwa JPM na even asingealikwa there is no difference
Majibu kamili yatapatikana mara baada ya hiyo hotuba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako timamu unategemea kutakuwa na jipya leo?kualikwa kwa JPM na even asingealikwa there is no difference
5 years hakukuwa na jipya unategemea leo kutakuwa na nini kipya ?Majibu kamili yatapatikana mara baada ya hiyo hotuba yake.
hakuna jipya mkuu5 years hakukuwa na jipya unategemea leo kutakuwa na nini kipya ?
Teaching job in Tanzania is a verified poverty grave , wajanja wote wanahama huko , wenye low IQ ndo wanabak,, JPMwenyewe alipakimbia , na kiuhalisia Hana la kuwasaidia, hakuna namna kuwa mwalimu unajiandaa kufa maskini tuu , 99% ya nyumba za walimu hazina rangi ,..... Muuza maembe ana chance ya kutoboa cse yeye anaupgrade mwalimu utaapgrade vip wakata mda wako unanyonywa to the maximum, na mshahara upo limited , kinachofuata ni kufight kupata nyongeza hewa ....Wewe nawe unajiona una IQ kubwa kumbe hata kwenye kisoda tu haijai! Kwa hiyo unataka waulizie kuhusu maisha yako wewe na familia yako kama mnakula walau milo mitatu kwa siku, au?
Ujuaji mwingi kumbe kiazi tu! Ungekuwa unaelewa maana ya Working Class usingeandika huu ugoro wako. Unategemea Mfanyakazi anaye endesha maisha yake kwa kutegemea mshahara aombe nini kutoka kwa Mwajiri wake zaidi ya hiyo nyongeza ya mshahara, kupandishwa madaraja, mazingira bora ya kufanyia kazi, mafao yao kutoka kwa wakati, nk?
By the way, kuna mtu amekuzuia kuuza hayo maembe yako? Na mwisho wa siku atakaye kuja kuyanunua hayo ni maskini mwenzako au ni huyo huyo mwalimu?
Niliandika 'zaidi ya 250'Mkuu chukua hao wanafunzi,ambapo ikama inasema kuwa kila mwalimu ahudumie watoto 45 , kwa idadi hiyo ya watoto 250 ukigawanya kwa walimu 6 unakuta kila mwalimu anapaswa kuhudumia watoto 41 ,kwa ikama inavyotaka utagundua kuwa walimu katika shule hiyo wamezidi na wanapaswa kupungua ili ikama ya idadi ya watoto 45 izingatiwe.
Kwa huo mfano ulioutoa ngoja na Mimi nikupe wa kwangu,hapa ninapofundisha Mimi shule yangu ina watoto 320 na idadi ya walimu 24, ikiangalia ikama na idadi ya vipindi unakuta kila mwalimu anahudumia watoto 13, na kwa mwalimu mwenyewe vipindi vingi kwa shule hii ni vipindi 12 ,wakati ikama inataka kila mwalimu awe na vipindi 24 kwa mwezi,huoni hapa kuwa kuna ziada ya walimu zaidi ya 5-9?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi si ndiyo hua tunajichanga ili vijana waliohitimu form 6 au vyuo na hawana ajira watufundishie watoto? Na si serikali ikakatazaIla mkuu, sisi wazazi/walezi tumefanya nini ili hao waalimu waajiriwe!!? Maana wanaoathirika ni watoto wetu. Vita ya elimu si ya waalimu pekee.
Mkuu Kwani ni fani ngapi watu wamesoma na hawana ajira,watu wa sheria,community deve'nt, international rela.nk ije kuwa hao walimu,?
Mkuu Serikali imesema hakuna nafasi za ualimu kwa walimu kwa sasa ,je unawataka iwaajiri wapi ikiwa hakuna nafasi?
Tuache lawama ambazo haziwezi kubadili ukweli wa mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Teaching job in Tanzania is a verified poverty grave , wajanja wote wanahama huko , wenye low IQ ndo wanabak,, JPMwenyewe alipakimbia , na kiuhalisia Hana la kuwasaidia, hakuna namna kuwa mwalimu unajiandaa kufa maskini tuu , 99% ya nyumba za walimu hazina rangi ,..... Muuza maembe ana chance ya kutoboa cse yeye anaupgrade mwalimu utaapgrade vip wakata mda wako unanyonywa to the maximum, na mshahara upo limited , kinachofuata ni kufight kupata nyongeza hewa ....
5 years hakukuwa na jipya unategemea leo kutakuwa na nini kipya ?
Kwani Kabudi nae pia anashida ya kiingerenza au ameambukizwa na boss wakeWakuu pitieni na KTN news Kenya mda huu huko youtube palamagamba kabudi anaongea huko Kenya kwenye mkutano anaongea kwa kingereza na kiswahili, kwa kingereza kile naona wakenya wanakufa kwa kicheko aibu naona mimi
Low iq imekuwezesha na wewe kuandika hayoHapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.