Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Kukitenganisha Chama Cha Walimu Tanzania na Serikali ya Nchi hiyo ni sawa na kutaka Kulitenganisha Tendo Zuri la Ndoa la Mume na Mke wake.
 
Teaching job in Tanzania is a verified poverty grave , wajanja wote wanahama huko , wenye low IQ ndo wanabak,, JPMwenyewe alipakimbia , na kiuhalisia Hana la kuwasaidia, hakuna namna kuwa mwalimu unajiandaa kufa maskini tuu , 99% ya nyumba za walimu hazina rangi ,..... Muuza maembe ana chance ya kutoboa cse yeye anaupgrade mwalimu utaapgrade vip wakata mda wako unanyonywa to the maximum, na mshahara upo limited , kinachofuata ni kufight kupata nyongeza hewa ....
 
Niliandika 'zaidi ya 250'

Ila hata kama ni 250 kama ulivyopigia hesabu. So unachomaanisha mwalimu mmoja atafundiha darasa 1? Masomo yote? Mkuu mimi naamini serikali kutoajiri ni swala la kipesa zaidi kuliko nafasi.

Nilifaulu shule fulani hivi kijijini ndani ndani. Shule ilikua na walimu 3 na walitakiwa kufundisha kuanzia form 1 mpaka 6. Mpaka naondoka pale hakukua na ajira mpya.

Kisha kuna shule kama Kibasilailijaza walimu si mchezo
 
Ila mkuu, sisi wazazi/walezi tumefanya nini ili hao waalimu waajiriwe!!? Maana wanaoathirika ni watoto wetu. Vita ya elimu si ya waalimu pekee.
Wazazi si ndiyo hua tunajichanga ili vijana waliohitimu form 6 au vyuo na hawana ajira watufundishie watoto? Na si serikali ikakataza
 
Hawa ndiyo waalimu bana, wakati wa uchaguzi wanakuwa wa thamani na wapendwao baada ya uchaguzi......
 

Ni kweli hao ambao hawana ajira wakaangalie maflyover, ili waone jinsi nchi hii ilivyo tajiri.
 

Jipe moyo! Utashinda. Na endelea tu kuamini hivyo hivyo ya kwamba Walimu wote Tanzania ni MASKINI na wenye IQ ndogo.
 
5 years hakukuwa na jipya unategemea leo kutakuwa na nini kipya ?

Asipokuja na jipya mbona Crdb tayari wameshusha asilimia za mikopo ya Wafanyakazi mpaka 14%! Baada ya uchaguzi wa mwaka huu 2020, sidhani kama atatokea mfanyakazi wa kulalamikia kutopandishwa daraja au kuongezewa mshahara!

Wengi tutaendelea tu kujiongeza zaidi.
 
Wakuu pitieni na KTN news Kenya mda huu huko youtube palamagamba kabudi anaongea huko Kenya kwenye mkutano anaongea kwa kingereza na kiswahili, kwa kingereza kile naona wakenya wanakufa kwa kicheko aibu naona mimi
Kwani Kabudi nae pia anashida ya kiingerenza au ameambukizwa na boss wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…