Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

"Uongozi huu wa CWT ambao unamaliza muda wake umejenga uhusiano mzuri sana na Serikali nanayoiongoza. Na hili nasema kwa Dhati bila upendeleo" Mh. Magufuli.

Walimu bana
[emoji23][emoji23][emoji23]cwt chama Cha hovyo kupita vyote hapa Tanzania
 
Slowly
ulivyoelemishwa na walimu hao wakakutoa tongotongo na mafua na kujikojolea darasani leo unawatukana
 
Unataka umaarufu wakati sisi walimu tunaumia mno
 
Hapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.
Uwe na adabu bas, mbona hivyo?
 
aise huu uzi hausogei kabisa aise, watu wanaview tu na kuchomoka, nimeamini watu wana chuki na magufur aise! ungekuwa wa lissu hapa ungekuwa unakimbilia buku,
Chakushangaza hata wapambe wakuu wa jiwe hawaonekan kabisa, wapi mayala, biayetu kwenye huu uzi!! kweli amechokwa aise! tundu njoo umalize mchezo.
 
Walimu tulisha laanika....

Hivi hiyo mishahara waliongezewa kina nani!?

Au viongozi wa CWT..
 
Ahaaaa umenichekesha sana.mm in mwl shuleni kwangtupo walm 6 wanafn 700 drs 3 wako 155 wanakaa chini.
 
HUYU RAIS WA CWT ANAVYOONGEA PUMBA TOO MUCH TALKING LAKINI ANATEMA
tumekwama wapi watanania watumishi wa uma bil bila miaka mitano hata mia nyongeza ya mishahara nyie mnapongeza tuuuuu du hatariiii
Hao siku zoteee nawawashangaaaa cjui tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…