Watoto wako na wa wengine watafundishwa na nan?Hapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wako na wa wengine watafundishwa na nan?Hapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.
Ameahidi lini na wapi!??Kuna watu tulishapanda madaraja kitambo tangu zaidi ya mara mbili enzi za JK! Hivyo hatutishiki kabisa. Na mwaka huu ameahidi muda huu atapandisha madaraja.
Hilo ndilo jambo tunalotaka. Siyo mambo ya kununua ndege kila siku.
vipindi 24 kwa mwezi?!!! nilijua idadi hiyo ni ya wiki. kumbe ualimu raha sana ee!Mkuu chukua hao wanafunzi,ambapo ikama inasema kuwa kila mwalimu ahudumie watoto 45 , kwa idadi hiyo ya watoto 250 ukigawanya kwa walimu 6 unakuta kila mwalimu anapaswa kuhudumia watoto 41 ,kwa ikama inavyotaka utagundua kuwa walimu katika shule hiyo wamezidi na wanapaswa kupungua ili ikama ya idadi ya watoto 45 izingatiwe.
Kwa huo mfano ulioutoa ngoja na Mimi nikupe wa kwangu,hapa ninapofundisha Mimi shule yangu ina watoto 320 na idadi ya walimu 24, ikiangalia ikama na idadi ya vipindi unakuta kila mwalimu anahudumia watoto 13, na kwa mwalimu mwenyewe vipindi vingi kwa shule hii ni vipindi 12 ,wakati ikama inataka kila mwalimu awe na vipindi 24 kwa mwezi,huoni hapa kuwa kuna ziada ya walimu zaidi ya 5-9?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu nao hawajitambui. Watoto waliosomea ualimu wamejazana mitaani hawana ajira halafu unamualika mtu aliyegoma kuwapa ajira wakati kuna uhaba wa walimu nchini!
Wacha hii mialimu iendelee kutumika tu kisiasa haina mtu wa kumlaumu maana haijitambui.
Umeshindwa kuwa muungwana. kwani hukusikia risala inazungumzia upungufu wa walimu?
Dhubutu, shule ya mingi mpaka form 6Hivi chama cha "walimu" hakiwahusu walimu wa vyuo vikuu.
Na wao wa vyuo vikuu wana chama chao???
Km hawana inafikirisha
Walimu wa chuo kikuu hawajiiti walimu.. Wanajiita WAHADHIRI.Hivi chama cha "walimu" hakiwahusu walimu wa vyuo vikuu.
Na wao wa vyuo vikuu wana chama chao???
Km hawana inafikirisha
Sometimes huwa sipendi hata mtoto wangu afundishwe na mwalimu, lakini haiwezekani kwa sababu hata akiwa mwanajeshi au daktari akifundisha ataitwa mwalimu. Kinachokela zaidi hata ukiacha ualimu jamii na wanafunzi wako wataendelea kukuita mwalimu whether you like it or not.
Nakwambia leo hata wangeambiwa pale wacheze bila mdundo wangefanya kwa manjonjo, madaha, bashasha na nderemoooo! kama watu wasio na shida. These are teachers! Hongera sana walimu.
The facts is:: Brain ya mwalimu lazima iwe partly dormant au partial dormant! Otherwise huwezi dumu kwenye ualimu au kufurahia maisha ya ualimu especially government teachers. Ukitaka kujua ukweli waulize wote waliotajwa hapo kwanini waliacha ualimu. Je, jamii iliwahitaji wawe wabunge au wao wenyewe walichoka na maisha ya ualimu. Wangapi wakiacha au tumbuliwa hizo position zao watarudi tena kufundisha. Therefore, ualimu sio wito ni kazi ya walio na kiwango kidogo/pass za chini kwenye mitihani ya mwisho na wenye kipato kidogo.
Hofu yangu kizazi hiki kinakwenda kuact kama hao wapiga makofi kwa sababu walimu ndiyo wanaumba mitazamo/ attitude ya watoto wetu!!!!
Kuna kazi ukilipwa mshahara mzuri unaweza endelea na kazi hiyo hiyo lakini kwa ualimu wa tz ni tofauti ukweli ni kwamba siku walimu wakilipwa mishahara mizuri wengi wataacha kazi kwa sababu watakuwa wamepata kianzio sababu majority of the teachers are not teachers!
Ombi tusiwafundishe watoto wetu wadogo kupiga makofi bila sababu. Kuna tabia ya wazazi wanapokuwa wadogo umri wa kukaa, tambaa hasa simama na kutembea huwafunza watoto wa kupiga makofi bila sababu ya msingi inawezekana haya tunayoyaona sasa ni matokeo yake.
Mchawi wa walimu ni walimu wenyewe!
Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Sometimes huwa sipendi hata mtoto wangu afundishwe na mwalimu, lakini haiwezekani kwa sababu hata akiwa mwanajeshi au daktari akifundisha ataitwa mwalimu. Kinachokela zaidi hata ukiacha ualimu jamii na wanafunzi wako wataendelea kukuita mwalimu whether you like it or not.
Nakwambia leo hata wangeambiwa pale wacheze bila mdundo wangefanya kwa manjonjo, madaha, bashasha na nderemoooo! kama watu wasio na shida. These are teachers! Hongera sana walimu.
The facts is: Brain ya mwalimu lazima iwe partly dormant au partial dormant! Otherwise huwezi dumu kwenye ualimu au kufurahia maisha ya ualimu especially government teachers. Ukitaka kujua ukweli waulize wote waliotajwa hapo kwanini waliacha ualimu. Je, jamii iliwahitaji wawe wabunge au wao wenyewe walichoka na maisha ya ualimu. Wangapi wakiacha au tumbuliwa hizo position zao watarudi tena kufundisha. Therefore, ualimu sio wito ni kazi ya walio na kiwango kidogo/pass za chini kwenye mitihani ya mwisho na wenye kipato kidogo.
Hofu yangu kizazi hiki kinakwenda kuact kama hao wapiga makofi kwa sababu walimu ndiyo wanaumba mitazamo/ attitude ya watoto wetu!!!!
Kuna kazi ukilipwa mshahara mzuri unaweza endelea na kazi hiyo hiyo lakini kwa ualimu wa tz ni tofauti ukweli ni kwamba siku walimu wakilipwa mishahara mizuri wengi wataacha kazi kwa sababu watakuwa wamepata kianzio sababu majority of the teachers are not teachers!
Ombi tusiwafundishe watoto wetu wadogo kupiga makofi bila sababu. Kuna tabia ya wazazi wanapokuwa wadogo umri wa kukaa, tambaa hasa simama na kutembea huwafunza watoto wa kupiga makofi bila sababu ya msingi inawezekana haya tunayoyaona sasa ni matokeo yake.
Mchawi wa walimu ni walimu wenyewe!
Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Sorry mkuu ni kwa wiki not kwa mwezivipindi 24 kwa mwezi?!!! nilijua idadi hiyo ni ya wiki. kumbe ualimu raha sana ee!
Kuna neno nataka niandike kwa wanaokosoa walimu ila
Wahadhiri. Hahahaha. Baasi kuingilika hawa ki siasa ni ngumu. Ndio maana hawana chama chenye mbwembwe km hiki halafu wenyewe hawaelew km wanatumikaWalimu wa chuo kikuu hawajiiti walimu.. Wanajiita WAHADHIRI.
😂😂😂
🙏🙏🙏
Mtakua mnafundisha vijijin nyie maana kwa hyo idadi ni darasa moja mjiniMkuu chukua hao wanafunzi,ambapo ikama inasema kuwa kila mwalimu ahudumie watoto 45 , kwa idadi hiyo ya watoto 250 ukigawanya kwa walimu 6 unakuta kila mwalimu anapaswa kuhudumia watoto 41 ,kwa ikama inavyotaka utagundua kuwa walimu katika shule hiyo wamezidi na wanapaswa kupungua ili ikama ya idadi ya watoto 45 izingatiwe.
Kwa huo mfano ulioutoa ngoja na Mimi nikupe wa kwangu,hapa ninapofundisha Mimi shule yangu ina watoto 320 na idadi ya walimu 24, ikiangalia ikama na idadi ya vipindi unakuta kila mwalimu anahudumia watoto 13, na kwa mwalimu mwenyewe vipindi vingi kwa shule hii ni vipindi 12 ,wakati ikama inataka kila mwalimu awe na vipindi 24 kwa wiki,huoni hapa kuwa kuna ziada ya walimu zaidi ya 5-9?
Sent using Jamii Forums mobile app