Acheni kujihami 2015 sanduku la kura ndilo lilioamua nyie mmeleta za kususa mkidhani upinzani mpo peke yenu. Na hata mwaka huu pia sanduku la kura ndilo litakaloamua na mtabaki mnalialia tu.Kwanini au mtafanya kama mlivyofanya Zanzibar 2015??
Atleast mnajua kuwa mkiacha sanduku la kura peke yake lifanye kazi,lolote linaweza kutokea!
Ndio maana mje mtoe hayo maelezo ili kwa pamoja tushirikiane kumjua muhalifu ni nani.
Ametumia muda gani kufika ofisini? Kadri anavyochelewa kutoa ushiriano ndivyo uchunguzi nao unachelewa au hulijui hilo mkuu?..msitufanye wajinga.
..waliohusika mnawajua, isipokuwa hakuna nia ya kuwakamata wahusika.
..mbona TL ameshafika mpaka ofisini kwa RPC wa Dodoma na hakuna kilichotokea?
Unajua wewe Mimi cjuiWewe unadhani ni risasi za aina gani zilizotumika kumpiga huyo mshikaji wenu na zilitokea umbali gani?
Mlichowafanya wewe na Nani au unataka kikiNina mashaka na uraia wako inawezekana nawe ni mmoja wapo kati ya wale pandikizi wa MABEBERU. Nenda DRC waulize M23 tulichowafanya.
Wewe na huyo mtalii wa kibelgiji.Mlichowafanya wewe na Nani au unataka kiki
Na kama Lisu ndie angesimama na kuanzia mkutano barabarani, tume ingeshatoa hukumu, polisi wangekuwa nae ndani akiisaidia polisi.Nafikir wewe usiyejua inch inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria.
Hata Marekani Trump anagombea na bado ni rais, tatizo ni tume ya uchaguzi ya kusimamia Sheria hatuna. Pia hatuna katiba ya nchi ya wananchi.Ghosryder,
Hapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi.
Sijamdharau,wala sina sababu ya kumdharau.ni ukweli tu ulio wazi,mabadiliko yatatokea baadae sana,kwa kizazi kingine cha upinzani,sio hiki kizazi cha kina mbowe,lissu ,zitto na wanaofana na hao.CcM ina mizizi migumu kwa sasa.miaka zaidi ya 50 wapo wao tu....zaidi bayern ligi ya ujerumani.[emoji23][emoji23]Unamdharau , wewe umefanya nini Tz hii
Lisu alisema katiba ya Tanzania inamfanya Rais kuwa ni Mungu hilo kauli yako inathibitisha tunataka KATIBA MPYAAAUtaratibu upi? We ni nani unayempangia utaratibu Rais wa nchi?
Maisha yako unayo leo. Hayo ya kizazi kijacho ni ya wengine. Yaishi maisha yako kwa furaha.Sijamdharau,wala sina sababu ya kumdharau.ni ukweli tu ulio wazi,mabadiliko yatatokea baadae sana,kwa kizazi kingine cha upinzani,sio hiki kizazi cha kina mbowe,lissu ,zitto na wanaofana na hao.CcM ina mizizi migumu kwa sasa.miaka zaidi ya 50 wapo wao tu....zaidi bayern ligi ya ujerumani.[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hebu tuwaandalie Mdahalo tuzihirishe umbumbu wa Tundu Lisu kutofaa uraisiKwenye siasa hakuna kisichowezekana. Tusubiri 2070 huko kwa watakaobahatika kuwepo. Kizazi kingine kisiasa. Sio hawa kina tundu lissu.
Lussi yupi huyo unaemzungumzia?Kwani Lussi alizuiliwa kuendelea na kampeni zake?
Tatizo sio tundu lissu kama tundu lissu,...system...urais ni taasisi pamoja na mambo mengine inahitaji watu fulani wakukubali kwenye system.ingekuwa rahisi hata lowassa leo angekuwa rais,tena kupitia kulekule ccm.kuingia ikulu sio rahisi kama unavyodhani.Basi hebu tuwaandalie Mdahalo tuzihirishe umbumbu wa Tundu Lisu kutofaa uraisi
Mbona naishi kwa furaha zote ,kwasababu najua upinzani hauwezi kuchukua nchi mpaka ntakapokufa.huenda nikafa leo au miaka hata 50 ijayo.Maisha yako unayo leo. Hayo ya kizazi kijacho ni ya wengine. Yaishi maisha yako kwa furaha.
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Nyie jiliwazeni tu na tafiti za vijiweni..
Tulieni dawa iwaingie msije mkavunja sindano naona inawaingia taratibuWewe na huyo mtalii wa kibelgiji.
Mkuu huyo mgombea mpya auLussi yupi huyo unaemzungumzia?