Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Kwanini au mtafanya kama mlivyofanya Zanzibar 2015??
Atleast mnajua kuwa mkiacha sanduku la kura peke yake lifanye kazi,lolote linaweza kutokea!
Acheni kujihami 2015 sanduku la kura ndilo lilioamua nyie mmeleta za kususa mkidhani upinzani mpo peke yenu. Na hata mwaka huu pia sanduku la kura ndilo litakaloamua na mtabaki mnalialia tu.
 
Ndio maana mje mtoe hayo maelezo ili kwa pamoja tushirikiane kumjua muhalifu ni nani.

..msitufanye wajinga.

..waliohusika mnawajua, isipokuwa hakuna nia ya kuwakamata wahusika.

..mbona TL ameshafika mpaka ofisini kwa RPC wa Dodoma na hakuna kilichotokea?
 
..msitufanye wajinga.

..waliohusika mnawajua, isipokuwa hakuna nia ya kuwakamata wahusika.

..mbona TL ameshafika mpaka ofisini kwa RPC wa Dodoma na hakuna kilichotokea?
Ametumia muda gani kufika ofisini? Kadri anavyochelewa kutoa ushiriano ndivyo uchunguzi nao unachelewa au hulijui hilo mkuu?
 
Nina mashaka na uraia wako inawezekana nawe ni mmoja wapo kati ya wale pandikizi wa MABEBERU. Nenda DRC waulize M23 tulichowafanya.
Mlichowafanya wewe na Nani au unataka kiki
 
Ghosryder,

Hapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi.
Hata Marekani Trump anagombea na bado ni rais, tatizo ni tume ya uchaguzi ya kusimamia Sheria hatuna. Pia hatuna katiba ya nchi ya wananchi.
 
Unamdharau , wewe umefanya nini Tz hii
Sijamdharau,wala sina sababu ya kumdharau.ni ukweli tu ulio wazi,mabadiliko yatatokea baadae sana,kwa kizazi kingine cha upinzani,sio hiki kizazi cha kina mbowe,lissu ,zitto na wanaofana na hao.CcM ina mizizi migumu kwa sasa.miaka zaidi ya 50 wapo wao tu....zaidi bayern ligi ya ujerumani.[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu upi? We ni nani unayempangia utaratibu Rais wa nchi?
Lisu alisema katiba ya Tanzania inamfanya Rais kuwa ni Mungu hilo kauli yako inathibitisha tunataka KATIBA MPYAAA
 
Sijamdharau,wala sina sababu ya kumdharau.ni ukweli tu ulio wazi,mabadiliko yatatokea baadae sana,kwa kizazi kingine cha upinzani,sio hiki kizazi cha kina mbowe,lissu ,zitto na wanaofana na hao.CcM ina mizizi migumu kwa sasa.miaka zaidi ya 50 wapo wao tu....zaidi bayern ligi ya ujerumani.[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yako unayo leo. Hayo ya kizazi kijacho ni ya wengine. Yaishi maisha yako kwa furaha.
 
Kwenye siasa hakuna kisichowezekana. Tusubiri 2070 huko kwa watakaobahatika kuwepo. Kizazi kingine kisiasa. Sio hawa kina tundu lissu.
Basi hebu tuwaandalie Mdahalo tuzihirishe umbumbu wa Tundu Lisu kutofaa uraisi
 
Basi hebu tuwaandalie Mdahalo tuzihirishe umbumbu wa Tundu Lisu kutofaa uraisi
Tatizo sio tundu lissu kama tundu lissu,...system...urais ni taasisi pamoja na mambo mengine inahitaji watu fulani wakukubali kwenye system.ingekuwa rahisi hata lowassa leo angekuwa rais,tena kupitia kulekule ccm.kuingia ikulu sio rahisi kama unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua matusi wewe.
Kamuulize mama yako atakufundisha adabu na hutarudia kuuliza swali hilo, rubbish
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
 
Wala haishangazi, huyo ni mmoja wa wale wenye faili pale Mirembe ndio maana hafuati taratibu.
 
Back
Top Bottom