Utaratibu upi? We ni nani unayempangia utaratibu Rais wa nchi?Kumbuka kuwa nje ya kura, Magufuli ni binadamu kama wewe na mimi, hakuzidi na wala hanizidi chochote. Aheshimu taratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
UDASA wanaweza kutoa ufafanuzi mzuriJiwe amekata pumzi, na NEC hawawezi kumuuliza chochote, kisha wanaccm wanakuambia hiyo ni tume huru.
Hata Lisu akienda mahali ambako Magufuli anafanyia mkutano, hakutakosa watu wanaotaka kumwona. Magufuli aheshimu taratibu.Alikuwa njiani, watu walimfuata kwa mahaba yao. Huyo ni RAIS remember hata kama kwa sasa ana cheo kingine cha mgombea
Nyie si mliikataa katiba mpya bungeni eti kisa haina serikali 3!! au mmesahau, tulieni sasa Rais anatekeleza majukumu yakeHapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi..
Naona kwako Rais ndiye mungu wako. Jielimishe ili uukamilishe ubinadamu wako.Utaratibu upi?? we ni nani unayempangia utaratibu Rais wa nchi??
Katika uchaguzi huu kuna kanuni zilizokubaliwa na vyama vyote. Msimamizi wake ni Tume ya uchaguzi. Moja ya Kanuni hizi ni ile inayomkataza kutoa ahadi yoyote ya kutoa msaada wa kimaendeleo, ajira, fedha n.k. katika kipindi hiki. Amevunja kanuni na angeadhibiwa ila bahati yake tume ni yake, kaiteua yeye na inamsikiliza yeye.We bwege kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna chizi mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake!!! Hell no!! lazima maisha yaendelee
Usimtaje Mungu burebure, jenga hojaNaona kwako Rais ndiye mungu wako. Jielimishe ili uukamilishe ubinadamu wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
soma vizuri katiba sasa halafu urudi humu utuambie madaraka ya Rais yanakoma kwa vigezo gani??Uhuru na haki na moja ya jukumu kubwa nanalopaswa kuhakikisha ni kulinda haki za msingi za kikatiba
Hata Firauni alikuwa na ubabe na dharau lakini siku ilipowadia wana wa Israel waliondoka utumwani Misri.Ndio raha ya kuwa mgombea lakini hapohapo rais wa nchi ,ameonyesha bado ana mamlaka hata kama kwa sasa ni kipindi cha mpito kikatiba( kipindi cha uchaguzi)
Sasa basi anaweza kuwaagiza hata wenye mamlaka ya uchaguzi (tume), vyovyote anavyotaka yeye.
Tunaongea kila siku kwamba huu uchaguzi ni kukamilisha tu ratiba ili kuondoa lawama, Rais ataendelea kuwa Magufuli. Hapo tayari ubabe na dharau vimeshatumika.mjiandaae kisaikolojia tu na matokeo.
Watu wanauwana ili watutawaleNi hatari Mimi sipend CCM kwa kigezo kimoja tu kwa Nini wampige Lissu risasi kwa Nini walitaka kumpoteza mwenzao ili Hali mungu akatuleta wote dunian?
Sawa ,lakini baadae sana...huwenda tusiwepo wa kizazi hiki,kwa Tanzania nayoijua mimi.kwasasa hapana ni kuburuzwa tu kwa kwenda mbele.Hata Firauni alikuwa na ubabe na dharau lakini siku ilipowadia wana wa Israel waliondoka utumwani Misri.
Haka kawimbo kanasisimua sana kusikiliza.