kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Sio kweli Kama wana mahaba wamfuate nyumbani kwake Dodoma , mwambieni aache maigizoAlikuwa njiani, watu walimfuata kwa mahaba yao. Huyo ni RAIS remember hata kama kwa sasa ana cheo kingine cha mgombea.
Hakuna usiku usiopambazukaSawa ,lakini baadae sana...huwenda tusiwepo wa kizazi hiki,kwa Tanzania nayoijua mimi.kwasasa hapana ni kuburuzwa tu kwa kwenda mbele.
Ngumu sana matoto ya Mafisadi ni mengi mno yaani sijui tufanyeje tu.Leo Magufuli ametuthibitishia kuwa vurugu wanazofanyiwa wapinzani zinafanywa law baraka zake na maelekezo anafanya yeye.
Pia Rais Magufuli leo amethibitisha kwamba uchaguzi huu si lolote kwake hata kama atashindwa atang'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu.
Leo pia imethibitisha kuwa Magufuli anataka kubadili katiba ya nchi abaki kuwa rais wa Miller.
Ni wakati sasa wapinzani waache kunadi ilani waanze kunadi mapinduzi ya kumuondoa madarakani kabla hata ya tarehe 28 October.
Bora unyamaze tu kuficha ujinga wako ukikaa kimya unaonekana msomi ukitamka neno tunapata mashaka kama ulisomaUtaratibu upi?? we ni nani unayempangia utaratibu Rais wa nchi??
Rais wa nchi ana kibali cha kuvunja Sheria za uchaguzi? Hiyo mipango ya maendeleo alikuwa wapi Siku zote hadi wakati wa kampeni?Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kwenye siasa hakuna kisichowezekana. Tusubiri 2070 huko kwa watakaobahatika kuwepo. Kizazi kingine kisiasa. Sio hawa kina tundu lissu.Hakuna usiku usiopambazuka
Huo mchakamchaka wenyewe anakimbiaje!!!?Haka kawimbo kanasisimua sana kusikiliza.
Mnufaika wewe hatushangai.Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Weka hii comment kama reference baada ya October 28Kwenye siasa hakuna kisichowezekana.tusubiri 2070 huko kwa watakaobahatika kuwepo.kizazi kingine kisiasa.sio hawa kina tundu lissu.
Noted!Weka hii comment kama reference baada ya October 28
Natawaliwa na nani mimi niko huru naenda popote, nafanya chochote so far sivunji sheria, sijawekewa Lockdown kama anavyotaka LissuHata watoto wa wagufuli hawana kihelehele kama wewe kapuku unaeishi kwa buku 7 kutetea uendelee kutawaliwa
Inawezekana sana kwa wiki mbili sasa Magufuli amekuwa akihubiri ubaguzi kwenye mikutano yake huko mkoani Mara, Mwanza, kagera, Geita na Kigoma.Ngumu sana matoto ya Mafisadi ni mengi mno yaani sijui tufanyeje tu.
Mnaokula kupitia CCM wavivu wa kufikiri sana.Kwenye siasa hakuna kisichowezekana.tusubiri 2070 huko kwa watakaobahatika kuwepo.kizazi kingine kisiasa.sio hawa kina tundu lissu.
Kupita sio ishu. Ni hicho alichokifanya.Angepita wapi sasa?
Hata wewe unaweza amka kesho huna miguu you can't stay fresh forever usimcheke disable hajapenda kuwa ivyo hujafa hujaumbika nakuombea mungu akusikie akupe ata kilema cha uti wa mgongo uje kutamba tena hapa.Huo mchakamchaka wenyewe anakimbiaje!!!?