Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.Magufuli
 
Wewe ndo huijui katiba.
Ukomo wa raisi na majukumu yake unaendelea mpaka Raisi mpya atakapo apishwa.
Jisomee katiba kabla ya kuropoka uji uji wa chadema.
Umeona ulivo mjinga wa kutupwa, sheria za uchaguz zinasemaje kuhusu ratiba ya wagombea, kwa tarifa yako leo hakutakiwa kuwepo apo kutokana na ratiba na sheria za tume ya uchaguzi
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Kiongozi nadhani inahitajika utoe ufafanuzi katika mambo matatu juu ya hiki ulicho andika.
(1) Je Magufuli anazunguuka nchi kufanya ziara za kikazi kama raisi?
(2) Je Magufuli anazunguuka nchi kufanya kampeni kwa ajili ya uchaguzi akiwa miongoni mwa wagombea na kwa ratiba na utaratibu ulio wekwa na tume ya uchaguzi?
(3) Kwa kuwa tunarajia kuchagua viongozi waadilifu, basi ni vyema ukaweka hayo matusi wanayotukana baadhi ya wagombea ili nawengine waweze kukemea na kuwachuja mapema kabla ya october 28.
 
Kwahiyo unadhani ndio imesababisha Lisu apate watu kidogo leo?
 
Alitakiwa awe amekufa kabisa ,sio kuchechemea ,msaliti hatakiwi kuishi popote pale hapa duniani
 
Matusi makubwa ni haya
1.Jeipiemu kujenga uwanja Chatu.
2.Ongezeko la makato ya Bodi ya Mikopo
3.Lissu akatukana tena kuwa hakuna nyongeza ya mishahara
4.Hakuishia hapo akatukana tena kuhusu serikali kuzuia fao la kujitoa.
5.Huyu mwanamatusi lissu anazidi kutukana kuhusu ukosefu wa ajira
6.Matusi yaliendelea mpka kufikia hatua ya kuhoji faida na hesabu za ndege
KWA MATUSI HAYO HAPO JUU,NASHAURI LISSU ASHITAKIWE KWA WANANCHI NA MUNGU TUONE KAMA ATAPEWA PEPO AU LAH
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Dah!! Mungu anakuona
 
Hofu ya nini bwashee?
 
Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Umefikilia na kutafakar vzr hiki ulichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…