Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Nyomi ambazo hazina uhalaliKwa nyomi hiyo ya Magufuli hana ratiba harafu kapita tu, basi Lisu kapata jibu sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyomi ambazo hazina uhalaliKwa nyomi hiyo ya Magufuli hana ratiba harafu kapita tu, basi Lisu kapata jibu sahihi.
Ha ha ha mahaba kwa mtekaji.Alikuwa njiani, watu walimfuata kwa mahaba yao. Huyo ni RAIS remember hata kama kwa sasa ana cheo kingine cha mgombea.
Mkuu,UDASA hii hii ya kina George K?UDASA wanaweza kutoa ufafanuzi mzuri
kumbe!Mkuu,UDASA hii hii ya kina George K?
Enzi za Prof. Chachage ile ndio ilikuwa UDASA,sasa limebaki kuwa genge la walamba viatu kupata teuzi.
Umeona ulivo mjinga wa kutupwa, sheria za uchaguz zinasemaje kuhusu ratiba ya wagombea, kwa tarifa yako leo hakutakiwa kuwepo apo kutokana na ratiba na sheria za tume ya uchaguziWewe ndo huijui katiba.
Ukomo wa raisi na majukumu yake unaendelea mpaka Raisi mpya atakapo apishwa.
Jisomee katiba kabla ya kuropoka uji uji wa chadema.
Kiongozi nadhani inahitajika utoe ufafanuzi katika mambo matatu juu ya hiki ulicho andika.Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Level play ground for all competitors.Ghosryder,
Hapo ndo wananchi wanataka katiba Mpya,kipindi hichi yeye in mgombea iltakiwa madaraka yawe chini ya judge mkuu,ili yeye akaombe tena ajira toka kwa wananchi.
Huyu ndie anataka apewe nchi kuilinda katiba.. Upuuzi mtupuJiwe amekata pumzi, na NEC hawawezi kumuuliza chochote, kisha wanaCCM wanakuambia hiyo ni tume huru.
Awamu ya kwanza ya magu imeonesha vyema kwamba hawezi kuheshimu Katiba, itoshe kusema huyu mtu hatufaiHuyu ndie anataka apewe nchi kuilinda katiba.. Upuuzi mtupu
Alitakiwa awe amekufa kabisa ,sio kuchechemea ,msaliti hatakiwi kuishi popote pale hapa dunianiMkuu hapa ndipo nilipoanza kuuchukia utawala huu. Serious kabisa walitaka kumuua binadamu mwenzao kwa sababu tu anawakosoa. Huu ni unyama...
Nikimuona Lissu anavyotembea kwa kuchechemea napata hasira sana. Yani wasitegemee kura yangu kuanzia kwa mwenyekiti wa kitongoji mpaka Rais
Matusi makubwa ni hayaKiongozi nadhani inahitajika utoe ufafanuzi katika mambo matatu juu ya hiki ulicho andika.
(1) Je Magufuli anazunguuka nchi kufanya ziara za kikazi kama raisi?
(2) Je Magufuli anazunguuka nchi kufanya kampeni kwa ajili ya uchaguzi akiwa miongoni mwa wagombea na kwa ratiba na utaratibu ulio wekwa na tume ya uchaguzi?
(3) Kwa kuwa tunarajia kuchagua viongozi waadilifu, basi ni vyema ukaweka hayo matusi wanayotukana baadhi ya wagombea ili nawengine waweze kukemea na kuwachuja mapema kabla ya october 28.
Kwahiyo unadhani ndio imesababisha Lisu apate watu kidogo leo?
Dah!! Mungu anakuonaKumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Hofu ya nini bwashee?Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni.
Maswali yangu:
Rais Magufuli alidhamiria kubaki Kigoma ili kufanya haya?
Kwanini anashindwa kuheshimu demokrasia?
Je, ingekuwa ni Tundu Lissu kamfanyia hivyo nini kingetokea?
Nini dhamira yake?
Tundu Lissu leo Kazuramimba-Uwanjani kwa mujibu wa tume
View attachment 1575244
Magufuli Leo Kazuramimba-Makao makuu ya wilaya pembezoni mwa barabara. Mkutano alioandaliwa na CCM
View attachment 1575246
Sasa kama Lisu alikuwa na watu hapo kwenye hilo eneo kuna shida gani na yeye Magu kuwahutubia wafuasi wake?
Eti?
Umefikilia na kutafakar vzr hiki ulichoandika?Kumbuka Magufuli bado ndio rais wa nchi hii, yaani aache kutekeleza mipango ya maendeleo kwa sababu kuna mmoja anayedhani anaweza kuwa rais wa nchi anaongea matusi yake! Hell no!! lazima maisha yaendelee.
Sasa kelele za nini?Lissu hawezi kukosa watu