Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Kila mda korona korona , wabongo ni wafata upepo SanaMkuu hapo utamuonea sasa jiwe lipo ikulu Mzee apumzike wapi sasa je angeweka na kigodoro kabisa juu ya jiwe hapo si unaona kabisa kalalia jiwe tupu sasa inaleta picha gani mbaya? Af hamna hata mbongo mmoja aliekufa kwa korona sasa shida nn

