Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Mkuu hapo utamuonea sasa jiwe lipo ikulu Mzee apumzike wapi sasa je angeweka na kigodoro kabisa juu ya jiwe hapo si unaona kabisa kalalia jiwe tupu sasa inaleta picha gani mbaya? Af hamna hata mbongo mmoja aliekufa kwa korona sasa shida nn
Kila mda korona korona , wabongo ni wafata upepo Sana
 
Kile kitendo angefanya mwananchi wa kawaida hata isingekuwa gumzo sana kama hivi ila kwakuwa ni mzee basi inaonekana ni jambo la ajabu na fundisho kwa wengine ilihali ni mtu tu wa kawaida kama walivyo binadamu wengine.

Tuache kukuza vitu vidogo na kutumia kama sehemu ya mifano muhimu ya kuiga.

Mkuu tuandalie na uzi wa Waziri wa maliasili Dr. Hamis Kigwangalla akiwa gym ili iwe funzo kwa wasiopenda kufanya mazoezi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Mkuu anarefresh mind

japo kuna picha moja pozi ya kisukuma kwelikweli😅
 
Waziri mkuu wa Australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haileti picha nzuri kwa nani? Akili za kugelezea nazo ni mzigo.

Maisha ndo haya haya, kuondoka tutaondoka tu, iwe kwa korona au kingine. Hivyo maisha lazima yaendelee. Unachukuwa tahadhari lakini maisha yako yakiendelea. Bata za kujumuika na watu wengi, sio afya. Bata kama hizo za upweke, juu ya mawe, RUKSA 😜
 
We jamaa kwani huwa husomi thread za wenzako mkuu. Kuna ulazima gani kufungua uzi mkuu, hizi picha zimetumwa sana humu jf tangu jana
 
Back
Top Bottom