Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

Naomba niongee kitu ambacho kipo mitaani na mtazamo wa watu wengi ikiwemo Mimi, Rais Magufuli anapendea na anakubalika sana. Hapa nimetoa mtazamo, maoni na matarajio ya wengi lakini maoni ya wachache kama yako yaheshimiwe.
????!!!!!!
 
Alafu sijui wachaga tulimfanya nini?
ubaguzi aliuanzisha mwanae bashite kwa wachaga siku ya msiba wa Mengi.
Wachaga wengi ndio walianza kuchukia ccm na kuamua chama cha wachaga ni chadema. Of cause watu wakageneralise wachaga wote ni chadema. Ukweli wapo wachaga ccm na wanampenda magufuli. Kwa sasa idadi imeongezeka sana huenda cdm uchaguzi ujao wasiambulie kitu.wachaga ni watu wajanja wenye akili asije mtu akadhani atawageuza mtaji wao kisiasa kutumia ukabila.
 
Ngoja tusali kwanza tuepushiwe kikombe hiki
The right attitude is, “God, I believe You’re going to bring me out, but in the meantime, I’m asking You to come into this struggle in my health, come into this loss that I’m going through, come into this depression that’s trying to stop me.”
 
Hayo ni maneno ya kuudhi sana kiongozi kama huyo kusema
Dah...Kuna mawazo mabaya sana juu ya wachaga...Kuna wakati kuna kampuni moja ya kigeni waliniomba niwatafutie wafanyakazi wazalendo kwa ajili ya mradi wao hapa nchini...sifa ya kwanza walitakiwa wasiwe wachaga....nilishangaa sana[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Alafu sijui wachaga tulimfanya nini?
ubaguzi aliuanzisha mwanae bashite kwa wachaga siku ya msiba wa Mengi.
[/QUOTE
Yeyeto mwenye chuki Na waliofanikiwa lzm aanze Na kaskazini
 
Jana aliongea maneno ya kipumbavu sana. Pia kuwatukana watendaji wakuu wa wizara hadharani tena ukipeleka matusi hayo kwa jamii ili iyapokee ni kiwango kikubwa cha ulimbukeni. Yani sijui kwanini Rais wa nchi unakuwa na mdomo mchafu kiasi kile!
Malezi,
 
Naomba niongee kitu ambacho kipo mitaani na mtazamo wa watu wengi ikiwemo Mimi, Rais Magufuli anapendea na anakubalika sana. Hapa nimetoa mtazamo, maoni na matarajio ya wengi lakini maoni ya wachache kama yako yaheshimiwe.
Kwann anaogopa uchaguzi, hadi ukimbia Na mpira
 
magu anakubalika sana acha porojo aisee, nimekatiza mikoa mingi kila kona nikidadisi naambiwa jamaa amekaza ila yupo freshi anapiga kazi. wanasema kweli amekaza ila wanamkubali, kwa ujumla anakubarika sana, amini usiamini ndio hivyo
Watanzania ni watu wenye wivu na roho mbaya. Ukitaka kufanya jambo zuri au kuendelea zaidi ya ulipo utalogwa au utaandamwa na kila aina ya visa kutoka kwa watanzania.

Nimegundua kuwa watanzania wanaomkubali Magufuli ni wale waliotupwa kwenye umaskini na wanaoona kuwa amefanikiwa kuzidisha umaskini kwa kila mtu. Siku hizi hata barabara za hilo vijijini hazipitiki tena na hakuna anayeziangalia. Labda ndicho walichotaka. Kusiwe hata na mtu wa kupita na gari?

Watanzania inabidi wabadilike sana na kwa haraka kama kweli wanataka maendeleo. Marekani kwa mfano uchumi ukiwa mbaya kwa watu hata rais hawamchagui. Huku mtu anaua kila kitu ndipo anakubalika zaidi? Panahitaji tafakari ya kina.
 
hahahha mkuu Vibe la anko Magu huku uraiani si la kitoto,mbowe na chadema siku hizi wanaonekana kama raia wa .

Ntafutie Rais aliyekuwa anajaza watu barabarani(sio kwenye mikutano rasmi)kwa kipindi ambacho sio cha kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utawala unachukia sana wachaga. Hiyoo jiwe anafikiri kutubagua ndo wasukuma watakua na maendeleo.

Amuulize nyerere kuusu wachaga ndo ataelewa Kilimanjaro ilikuwa iwe inchi.

Wachaga ata tusipofanya kazi miaka mitano wasukuma hawatakaa waweze kutufikia. Mnavyozidi kutubagua ndo jinsi tunavyozidi kuendelea.
 
Huyu hakufaa kuwa Rais , na kama uliwahi kumuamini hata mara moja basi una uwezo mdogo sana ! Mbona alionyesha hawezi kuwa Rais tangu mapema !
 
Mkuu nakupa offer ya lunch Leo, you summarised it well.
 
magu anakubalika sana acha porojo aisee, nimekatiza mikoa mingi kila kona nikidadisi naambiwa jamaa amekaza ila yupo freshi anapiga kazi. wanasema kweli amekaza ila wanamkubali, kwa ujumla anakubarika sana, amini usiamini ndio hivyo
Yaani umeenda mikoa mingi kudadisi hilo jambo,wewe ni nani?
 
Kumcha Mola, hekima, busara na adabu ni vitu muhumu sana kwa kiongozi yoyote kuwa navyo ili uweze kuwaongoza walio chini yako kwa hekima.
 
Jamaa ana chuki sana na watu wa ukanda huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…