Rais Magufuli amchenjia Makonda?

ugomvi wa baba na mwanawe kipenzi ni bora kukaa pembeni sisi wa kufukia tunaweza tukatimuliwa nyumbani buree
Ole wake atakayejiingiza kwenye huo ugomvi wa baba na kipenzi chake, ataondoka yeyee! Muulize Nape aliyetaka kuunda tume kuchunguza ujambazi wa Bashite kuvamia studio za Clouds.
 
Kiranga,
Umesahau na kipindi kile alichowapatanisha Ruge na Makonda baada ya Makonda kwenda kwenye studio za Clouds na ma-goons wake wenye silaha za moto?

Badala ya kukemea na kumtumbua Makonda kwa matumizi mabaya ya madaraka yake, eti akawapatanisha jukwaani!

Wangapi kawatumbua on their first strike?

What does Makonda have to do to be let go? Rape someone in broad daylight and stream it on social media?

 
Wana lao jambo hao. Si bure.
 
Ben ndo alitumia hela za TASAF vibaya kumpa jamaa nauli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza hotuba ya makonda (ingawa simpendi) alisema hata yeye alifadhiliwa kama wanaofadhiliwa na TASAF na aliyemfadhili ni Mkapa kumpa fedha ya nauli kwenda Dodoma kugombea umakamu wa UVCCM. Mkapa was so embarrassed na kikwete akaonesha kam huyu sasa anasema nini!!! Zaidi
 
Hanna lolote hapo. Magufuli ni Nduli Iddi Amin na Makonda nii Isaac Maliyamungu.
 
We mzee Wa new jersey
Huyu jamaa ashashindikana
Hagusiki, anaweza fanya atakalo
Unaweza Sema ni "special one"

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu niumbwe nafundishwa na naona nikisoma kuwa
Mji mkuu Tz ni Dodoma
Mji muhimu (mashuhuri) Tz ni Daressalaam
Kama ilivyo kwa Beijing na Hong Kong kule China au
Washington DC na New York kule Marekani
 
Tangu niumbwe nafundishwa na naona nikisoma kuwa
Mji mkuu Tz ni Dodoma
Mji muhimu (mashuhuri) Tz ni Daressalaam
Kama ilivyo kwa Beijing na Hong Kong kule China au
Washington DC na New York kule Marekani
Ni mpuuzi makonda, ingefaa mwenyezi mungu amuondoe duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…