TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
weka ushahidi hapa biblia imechanwa au kuchomwaIla na hawa ndugu zetu wanadeka sana.
Hapa tumeogopa mengi.
Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.
Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.
Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.
Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app