Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Kitendo alichokifanya huyo jamaa cha kuchana na kudhihaki kitabu cha imani ya Kidini si kitendo chakuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu,

Kitendo hicho kinahatarisha hali ya amani na kumuhatarisha pia muhusika mwenyewe wa hilo tukio,
Kama alikua na matatizo ya akili kwanini hakuchana kitabu cha imani ya dini yake?
 
Hapo kura kede kede za wazee wa baraghashia.

Huku Kafir akiendelea kuponda upepo wa magogoni, na washangiliaji wakiendelelea na kashata zao na baghia.

Dini ni mojawapo ya upumbavu uliopandikizwa mwilini mwa watu.
 
Kitendo alichokifanya huyo jamaa cha kuchana na kudhihaki kitabu cha imani ya Kidini si kitendo chakuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu,
Na waziri wa mambo ya ndani naye achunge mdomo wake mambo ya kuita makanisa ya walokole vibanda imani na kuponda imani zao aache.Vinginevyo na yeye atamfuata huyo Afisa biashara

Imani kila mtu ahangaike na yake asiponde ya mwingine .Kama ni.kueleweshana mweleweshe yako usitukane yake.Yake mwachie mwenyewe.Wewe eleza yako akiielewa ataifuta Lakini usiitukane yake

Kila mtu ahubiri chake tu. Nampongeza Raisi kuanza kukomesha huu upuuzi wa watu kudhalilisha imani za wengine

Wasabato na nyie jipangeni .Vinginevyo yatawakuta waelezeni waumini wenu kuwa makini
 
Ndio maana nimesema ni hisia,sina uhakika kama ni kweli,ukweli ungejulikana baada ya vipimo na hatua zingine kufuatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipimo vingesema ni mgonjwa wa akili angetolewa kazini maana kichaaa anapewaje majukum. Vipimo vikionyesha yupo timamu, bado atatolewa tena, ita onyesha bado ni mtu wa ovyo. So katika case zote hizo, bado kufukuzwa ni tokeo la Mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Juzi nilkuwa namsikiliza Waziri Jafo yupo Mtumishi alichana Quran nafurahi umemsimamisha kazi, lakini naagiza afukuzwe moja kwa moja, ashinde kesi asishinde ila aondoke, muandikie barua ya kumfukuza, akitoka huko atajua mwenyewe atakakoyatafuta Maisha”- JPM
 
Hivi ukichoma au isigina simu yako yenye kitabu kitakatifu ndani kwa kutumia yale yale maneno aliyekua anaongea yule bwana itakuaje!

Make nahisi alinunua kwa hela yake ile Quran.
 
Influenza,
Sasa akishinda kesi kwa nini afukuzwe kazi? Kwani hiyo kesi si ya yeye kujitetea kwa nini alichana Quran, au labda hata sio yeye wanamsingizia?

Hivi Raisi wa nchi unawezaje kusimama mbele za watu ukipromote tabia ya utawala usio wa sheria? Kule kuapa ukiwa umeshika katiba ya nchi na kuahidi kuilinda ilikuwa ni vichekesho vya Senga?
 
Back
Top Bottom