majutobeach
JF-Expert Member
- Aug 10, 2016
- 212
- 164
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi yule hatofungwa baada ya Kuonekana na matatizo ya akili, sasa vipi kuhusu kurudi kazini?Akil yako. au umekariri msaafu tu.
Mtu yeyote akiwa kichaa, punguani, akilukwa na akili. sheria zinasema nin?
ndio maana mahakama ikidhibitisha mtuhumiwa alikuwa chizi haimfungi kama mfungwa. maana hana kosa kwa maana alitenda akiwa hana uelewa.
Ongeza ufahamu bro.Basi yule hatofungwa baada ya Kuonekana na matatizo ya akili, sasa vipi kuhusu kurudi kazini????
Inamaaana unataka kutuaminisha kwamba serikali bado inapokea watu wenye matatizo ya kulukwa na akili???
MKUU TUMIA UBONGO KUJENGA HOJA, ACHA MIHEMUKO
anatafuta turufu ya 2020Kwa hili nampa pongezi
Toa ushahidi kuonesha kuchanwa kwa biblia ndiyo tuanzie hapo!!!!Ila na hawa ndugu zetu wanadeka sana.
Hapa tumeogopa mengi.
Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.
Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.
Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.
Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.
Hoja yako bado ina mpa uhalali wa kumfukuza.
Kama hayupo timamu, atafaaje kuwa mtumishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa lipi,wale watu ni waungwana sana wanashindana kwa hoja za maandiko, siku mkiwagusa Wasabato ndo kiyama itawakuta,Maana sasa meamuakupigana na Mungu liveNa waziri wa mambo ya ndani naye achunge mdomo wake mambo ya kuita makanisa ya walokole vibanda imani na kuponda imani zao aache.Vinginevyo na yeye atamfuata huyo Afisa biashara
Imani kila mtu ahangaike na yake asiponde ya mwingine .Kama ni.kueleweshana mweleweshe yako usitukane yake.Yake mwachie mwenyewe.Wewe eleza yako akiielewa ataifuta Lakini usiitukane yake
Mwanaume kutukana mke wa mwenzio kuwa Ni Malaya hakumfanyi mke wako ambaye ni malaya kuwa sio malaya
Kila mtu ahubiri chake tu.
Nampongeza Raisi kuanza kukomesha huu upuuzi wa watu kudhalilisha imani za wengine
Wasabato na nyie jipangeni .Vinginevyo yatawakuta waelezeni waumini wenu kuwa makini
Influenza,
Sasa akishinda kesi kwa nini afukuzwe kazi? Kwani hiyo kesi si ya yeye kujitetea kwa nini alichana Quran?
Hivi Raisi wa nchi unawezaje kusimama mbele za watu ukipromote tabia ya utawala usio wa sheria? Kule kuapa ukiwa umeshika katiba ya nchi na kuahidi kuilinda ilikuwa ni vichekesho vya Senga?
unajua sio mambo yote huwa yanatangazwa.
Mara zote inashereheshwa na wale waadhirika wenyewe.
Wakristo huwa hawana shida hata ukisema Yesu si Mungu, ukisema sijui Biblia yenu ni fake au ukisema Dini yenu ni ya uongo, huwa wapo kimya .
Iseme dini hii ya waislamu utapata shida sana.
Kwani hawa wanao tusumbua Kibiti, Tanga na Mtwara/msumbiji ni nani aliyewauudhi kama sio mambo ya kijinga kijinga tu.
Hapa hapa bongo.Eti wakristo hawana shida hata ukisema yesu si mungu .huu unafiki wenu ndio unasababisha mpaka muonekane mna roho mbaya.unazungumzia wakristo wa ulaya au hapa Tanzania.
Alah! Kumbe!??Sababu ni moja ukiwa mkristo ni ngumu kuamini unachokiamini. Sasa kama una akili timamu inabidi tu ukaye kimya
Mfano:
1.kunywa lakini usilewe.
Utajuaje kua umelewa,what about dose tolerated and addiction.
2.kiongozi anayefungisha ndoa na kutatua migogoro ya ndoa ye hana mke.
Haingii akilini.
3.kitabu kimoja,wengine wanakifata na kusema kinaruhusu pombe,wengine wanasema pombe haramu.
Contradiction?
Uislam hata kama madhehebu tofauti. PRINCIPLE na RULES ni zile zile na hapo ndio msimamo unapoanzia kwa waislam. malisoka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti vipimo,jamaa Ana akili timamu yule na anachokifanya anakijua haswa ,read between linesNdio maana nimesema ni hisia,sina uhakika kama ni kweli,ukweli ungejulikana baada ya vipimo na hatua zingine kufuatwa
Sent using Jamii Forums mobile app
...hiyo itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Ongeza ufahamu bro.
Ugonjwa wa akili una dawa na wagonjwa wanapona.