Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mfumo islamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si walisema Allah hawezi kujipigania mpaka Jafo ampiganie haya sasa Mzee mzima kaamua aunge juhudi za mashambulizi[emoji23]. Tanzania kama movie vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Hili nakubali kina mijahidina mmoja alikuwa na biblia akiitumia kwenye mihadhara ile ya kusema Yesu si mungu .Alikuwa akienda nayo .Siku alipofariki baada ya mazishi ndugu zake wakasema hiyo Biblia wao hawaihitaji wakampa kiongozi wa msikiti yeye naye akasema haihitaji warudishieni wakristo wenyewe Wenye kitabu Chao.Waislamu hawana ujinga huo wa kuchoma Biblia.Biblia haijawahi kuchwana wala kuchomwa moto,Waislamu wanaiheshimu Biblia,kuliko unavyofikiria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo alichokifanya huyo jamaa cha kuchana na kudhihaki kitabu cha imani ya Kidini si kitendo chakuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu,
Kitendo hicho kinahatarisha hali ya amani na kumuhatarisha pia muhusika mwenyewe wa hilo tukio,
Kama alikua na matatizo ya akili kwanini hakuchana kitabu cha imani ya dini yake?
Ivi ukichoma au isigina simu yako yenye kitabu kitakatifu ndani kwa kutumia yale yale maneno aliyekua anaongea yule bwana itakuaje!
Make nahisi alinunua kwa hela yake ile Quran.
Ugonjwa wa akili, hautakiwi kazin, hakuna hoja ya kumtetea ktk hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akil yako. au umekariri msaafu tu.Kwa hiyo akiwa na matatizo ya akili ndio yatamrudisha kazini???? MADHARA YA KUKARIRI HAYO
Ni lazima apimwe ni mzima au mwehu!unasililiza nn wakati evidence ya video iko wazi mkuu?