Tuna Rais wa ajabu na wa hovyo haijapata kutokea ,aliyetekeleza mamlaka yake vizur hapo ni wazir wa Tamisemi tu,
Infact ,ukiangalia kwa makini Rais hawezi kumfukuza kazi mtumishi wa umma namna ile ,
Nachojua mm ni kuwa zipo idara zingefanya kazi yake kwa kuchunguza na kubaini nn hasa kilipelekea mtumishi kuchana kitabu kitukufu hadharani vile ,je Kama jamaa anamatatizo ya akili ,hvyo ni lazima mamlaka zinazohusika kufanya kazi yake ,zipo idara huko kwenye kila halmashauri ,mfano ni TSC ,ofisi ya idara yake ,ofisi ya mkurugenzi ,mkoa na hatimaye Tamisemi ambayo ipo chini ya Rais ,
Nachojua mm Rais angeshauri tu baada ya hatua hyo ,then wamuhoji kwa undani ili kubaini nn chanzo ,then ndo hatua zaidi zichukuliwe ,nachoona mm ni kuwa Rais alikuwa anatafuta cheap Popularity tu pale hamna kingine ,,
Huu ni ujinga. Unamfukuzaje mtumishi kisa cha mambo ya dini wakati hauamini dini? Bora angefukuzwa kwa kosa lingine lakini sio hili huu ni unafiki
View attachment 1354492
Sent using
Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app