weka ushahidi hapa biblia imechanwa au kuchomwaIla na hawa ndugu zetu wanadeka sana.
Hapa tumeogopa mengi.
Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.
Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.
Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.
Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.
Naam mkuu
unajua sio mambo yote huwa yanatangazwa.weka ushahidi hapa biblia imechanwa au kuchomwa
Mtumishi wa serikali kawa chizi rais yupo sahihi KumtimuaIla na hawa ndugu zetu wanadeka sana.
Hapa tumeogopa mengi.
Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.
Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.
Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.
Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.
Nabii Tito alikamatwa lakini mkuu sijui kama unakumbuka?unajua sio mambo yote huwa yanatangazwa.
Mara zote inashereheshwa na wale waadhirika wenyewe.
Wakristo huwa hawana shida hata ukisema Yesu si Mungu, ukisema sijui Biblia yenu ni fake au ukisema Dini yenu ni ya uongo, huwa wapo kimya .
Iseme dini hii ya waislamu utapata shida sana.
Kwani hawa wanao tusumbua Kibiti, Tanga na Mtwara/msumbiji ni nani aliyewauudhi kama sio mambo ya kijinga kijinga tu.
Hata kama, ni uamuzi SAHIHI KABISA.Uchaguzi 2020
Anahitaji kura za watoto wa mama mdogo
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mheshimiwa sana rais wa nchi anahalalisha nchi kuendeshwa bila kufata utawala wa sheria/kuvunja katiba ya nchi?Ameogeza "Ashinde kesi asishinde huyo si mfanyakazi wa Serikali....................."
Nabii tito ana matatizo yake binafsi.Nabii Tito alikamatwa lakini mkuu sijui kama unakumbuka?
Nilisikia....nafikiri alichana.....Mimi namfukuza kazi!Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa
Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua hatua ya kumfukuza kazi. Lakini mimi namfukuza moja kwa moja muandikie barua ya kumfukuza moja kwa moja"
Ameogeza "Ashinde kesi asishinde huyo si mfanyakazi wa Serikali. Hatuwezi tukakaa na Wafanyakazi Wapumbavu. Katika Serikali hii."
Umechukua jukumo lako la kumsimamisha kazi mimi namfukuza kabisa. Akitoka huko kutumikia adhabu anende akatafute maisha.
Amemalizia "Hili nilikuwa nachomekea tu....."
Kwa taarifa zaidi, tembelea Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi
Hoja yako bado ina mpa uhalali wa kumfukuza.
Kama hayupo timamu, atafaaje kuwa mtumishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alimuhoji hayo maswali?Nabii tito ana matatizo yake binafsi.
Aliulizwa dini yako inaamini nini akajibu bublia.
Akaambiwa lete biblia .
Tuonyeshe wapi hayo unayosema yameandikwa ?
Akashindwa kutetea hoja akanyamazishwa.
Ila ameanza dini kuichefua serikali.
Si walisema Allah hawezi kujipigania mpaka Jafo ampiganie haya sasa Mzee mzima kaamua aunge juhudi za mashambulizi[emoji23]. Tanzania kama movie vileMmeanza sasa