Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Weee mwenyewe una uchizi wako sema umelala tu bishaBasi yule hatofungwa baada ya Kuonekana na matatizo ya akili, sasa vipi kuhusu kurudi kazini?
Inamaaana unataka kutuaminisha kwamba serikali bado inapokea watu wenye matatizo ya kurukwa na akili?
MKUU TUMIA UBONGO KUJENGA HOJA, ACHA MIHEMUKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Waislamu huwa wanaheshimu imani zingine?Hili nifunzo kwa wanao dhihaki imani za wenzao ,
Kila MTU abaki na iman yake , na ni vyema kila MTU aheshim imani ya mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamnaga uvumilivu wa kiimani hadi uandike "asije kutugombanisha"?safi sanaa.
asije kutugombanisha kwa upumbavu wake.
Waislam na wakristo tu tunaishi kwa upendo na amani pia ni MAJIRANI NA NDUGU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kuchana likitabu kuhatarishe usalama uliopo like seriously?Kitendo alichokifanya huyo jamaa cha kuchana na kudhihaki kitabu cha imani ya Kidini si kitendo chakuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu,
Kitendo hicho kinahatarisha hali ya amani na kumuhatarisha pia muhusika mwenyewe wa hilo tukio,
Kama alikua na matatizo ya akili kwanini hakuchana kitabu cha imani ya dini yake?
Ndivyo ulivyofunzwa kuwa ukiwa na ajira hakuna msoto?
Kwani kaanza leo?Kwahiyo mheshimiwa sana rais wa nchi anahalalisha nchi kuendeshwa bila kufata utawala wa sheria/kuvunja katiba ya nchi?
Maswali yako ni mepesi na yana shahidi kibao, watu wanaajiriwa wakiwa hawana HIV wanaipata wakiwa tayari wameshaajiriwa.Swadakta [emoji23] mi nawashangaa sana wanaojitahidi kumtetea kwa kudai hana akili timamu
Na kama hana akili kwa nini awe mtumishi wa uma? Na kwanini asingechana mafaili ya ofisini kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wewe ni Dhaifu. Unalinganisha uchizi na HIV kweli, Are u okay up stairs au ni chuki zimekujaa?Maswali yako ni mepesi na yana shahidi kibao, watu wanaajiriwa wakiwa hawana HIV wanaipata wakiwa tayari wameshaajiriwa.
Kazi za kijinga jinga kama hiyo waliyomfukuza (i don't offend anybody) frustration ni lazima kwanini usianze umento fresh?
Kachane na wewe ujirecord basi kama huogopi [emoji1][emoji23]Yani kuchana likitabu kuhatarishe usalama uliopo like seriously?
I guess you're whitewashed
Tatizo ni kwamba dini moja ilianza, nyingine ikafuata huku ikiigiza mambo mengi ya dini iliyotangulia!!Sababu ni moja ukiwa mkristo ni ngumu kuamini unachokiamini. Sasa kama una akili timamu inabidi tu ukaye kimya
Mfano:
1.kunywa lakini usilewe.
Utajuaje kua umelewa,what about dose tolerated and addiction.
2.kiongozi anayefungisha ndoa na kutatua migogoro ya ndoa ye hana mke.
Haingii akilini.
3.kitabu kimoja,wengine wanakifata na kusema kinaruhusu pombe,wengine wanasema pombe haramu.
Contradiction?
Uislam hata kama madhehebu tofauti. PRINCIPLE na RULES ni zile zile na hapo ndio msimamo unapoanzia kwa waislam. malisoka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu mtaani lile neno mjiajiri ndio ulithibitishe sasa
Swadakta [emoji23] mi nawashangaa sana wanaojitahidi kumtetea kwa kudai hana akili timamu
Na kama hana akili kwa nini awe mtumishi wa uma? Na kwanini asingechana mafaili ya ofisini kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
You are a sorry excuse for breathing air. Are you really that stupid in real life? Energy is dead? what planet are you from?Aisee wewe ni Dhaifu. Unalinganisha uchizi na HIV kweli, Are u okay up stairs au ni chuki zimekujaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
hili ni swali lako na nikalijibu hiviNa kama hana akili kwa nini awe mtumishi wa uma? Na kwanini asingechana mafaili ya ofisini kwake?
Nikiwa na maana hata huyu huenda kaupata uchizi ambao haujathibitika akiwa tayari kazini idiot!Watu wanaajiriwa wakiwa hawana HIV wanaipata wakiwa tayari wameshaajiriwa.
Kazi za kijinga jinga kama hiyo waliyomfukuza (i don't offend anybody) frustration ni lazima kwanini usianze umento fresh?
I scare no one na nimeshachana sana, na hata nikifanya sasa haitakuwa na madhara yoyote kwa sababu siko ujinga unapofanyikaga