Duuu, ndiyo wamekuwa hivyo siku hizi?Siku hizi huku Jf ni kawaida sana unakuta uzi una replies 200 ukija kuufungua unakuta una replies70. Upo uzi mmoja juzi ulivunja records kwa replies 300 kufutwa.
Mdogo mdogo naona huu unaenda na kurudi kama daladala maana na mimi niliweka kakomenti kangu pendwa hapa naona mods wamekanyakua fastaaa.
Brother umepanic kinyama tulia meza mateWewe kwanza jifunze kuandika Kiswahili kabla ya kujadiliana nami.
Inaonekana una utapiamlo wa elimu.
Neno sahihi la Kiswahili ni "furahi" si "fulahi".
Wewe nawe ni country bumpkin usiyejua tofauti ya "r" na "l" kama Magufuli?
Hiyo ndiyo sababu unajishebedua hapa dhidi yangu?
Katika yote umeona hilo nalo ni la muhimu kulikomalia?Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Ulikuwa hujui?Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Kumbe wewe ndio mpumbavu sasa!Kwani hapo nilipopaona hapako kwenye habari? Magufuli hakusema hayo maneno?
Unataka kunichagulia wapi pa kuchangia?
Rais anatakiwa kuwa na maelezo yaliyonyooka pote.
Yeye ni kiongozi wa nchi.
Akisema maneno 99 yaliyonyooka, halafu neno moja la kipumbavu linalochochea ukabila na ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata hela wanawaza kuongeza wake tu, nitaona hilo neno moja aliloharibu ndilo la kumulika.
Mimi niliamua mapema kwamba sitagombea nafasi ya kisiasa, sasa nitamuonea Magufuli wivu kwa lipi wakati yeye si mshindani wangu?
Nitamuonea wivu nini a country bumpkin?
Nikimaliza kumlala mama yako hapa nitakujibuNatumia yako kufikiri
Laizer ni meli kuanzia siku mingi tu, na hako kahela wala hakajamstua ,huyu jamaa shimo lake liko white geti pale mererani!Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni.
Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa kisukuma
Tukio la makabidhiano ya pande hilo kubwa la kihistoria la Tanzanite lilifanyika wilayani Simanjiro na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Madini mh Biteko.
Pia alikuwepo Gavana wa benki kuu Prof. Luoga, Naibu Waziri wa Madini, Naibu Waziri wa Fedha, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na DC wa Simanjiro mh Chaula aliyemwakilisha RC Mnyeti ambaye hakuwepo kwa sababu ya kupata dharura.
Tukio lilirushwa mubashara na TBC.
Pia soma > Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh Bilioni 7.8
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu usione wivu wewe ndio utakuwa mke wa pili wa huyo jamaaMagufuli ni mtu mmoja mshamba limbukeni.
Bado analimbuka.
Watu ambao wana ushamba limbukeni bado, masuala ya kuongezaongeza mke yapo sana mawazoni mwao.
Bado wanalimbuka na some basic things in life.
Hadi huko kijijini kwenu nenda kawaulize wazee wakoDunia nzima ya chato kwa yesu sio
Naona umepanic kweli kwani wewe ndio mke wa huyo jamaa wa madini?Unaweza kuchomekea tu halafu hapi hapo ikazalisha mtoto.
Maneno yanaumba.
Maneno ya rais yanaumba mara milioni na milioni.
Magufuli anaelewa hili?
Watu wanamfuatilia kila analosema, dunia nzima. Wanaandika profile ya nchi kutokana na maneno yake.
Tayari kuna maneni huko kwamba Watanzania ni wavivu, wakevi, wakioata hela wanawaza kuongeza wake tu.
Sasa wanaoeneza maneno haya wanaoata nguvu kwa maneno ya Magufuli. Wanasema "Unaona, hata rais wao kasema hili".
Magufuli anaelewa maneno yake yana uzito sana?
Au anafikiri bado anaongea kwenye vijiwe vya Chato?
kuna watu wanajadili utani wa rais hawataki kukubali kuwa bila juhudi za jiwe iyo tanzanite ingepitia kenya then ingeenda kukatwa IndiaKenya , South Africa na India walinufaika sana na Tanzanite.
Kipindi ya mkwere alipga hela akanunulia mpka mpsh wake mgodin Cruizer LXLaizer ni meli kuanzia siku mingi tu, na hako kahela wala hakajamstua ,huyu jamaa shimo lake liko white geti pale mererani!
Lakini yeye hawamsababishii kulewa mpaka anaanguka kama mwenyekiti wakoHuyu mzee yeye anawaza wanawake tu!
Alimuhonga sababu kuna vitu anampa sasa na wewe kampe uhongwe nyumbaAlimuhonga hawara wake Kabula nyumba ya serikali, wakati Kabula hata hakuwa mfanyakazi stahiki wa serikali.
Siku hizo bado waziri.
Hakuanza leo shobo hizi za kilimbukeni.
Sasa hawa jamaa wanavyotuambia mchimbaji mdogo wakati anamiliki Crushers kibao si wanatuona sie mazwazwa? Usikute kabla hata hajapata ilo jiwe account yake inaweza kuwa na zaidi ya 200m+ halafu wanatuambia mchimbaji mdogo,wachimbaji wadogo ni wale wa geita ambao msukuma aliowapiga maana wanatumia masululu kutafuta mawe.uyo ana miliki makarasha kibao
Huyo jamaa ni Chadema....... Wao hukomalia vitu vidogo vidogo tu!Mkuu we utakuwa na tatizo! Tena kubwa!.. magufuli kalisema hilo kama utani tu then imekuwa ndo mada!!!!!
Ingekuwa kamlazimisha hapo ndio tungesema kakosea lkn kwa hili kweli kazi ipo kuja kumuelewa huyu mtu dah!..
Punguzeni sana kuwa serious kwa kila kitu vitu vyengine ni utani tu wa kikabila.
Umenukuu mtu aliyehusisha ushamba na kabila, ukasema majitu mashamba haya.Umeelewa nilichoandika lakini we mzee ? Wapi nimehusisha kabila zima wewe ?
Bumpkin mkubwa wewe
Una stress sana we mpumbavuNatumia kinyelo cha mama yako kufikiri
Mkuu don't take it serious mh. Rais alikua anachomekea tuKatika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Yana akili za kike hayo majamaakuna watu wanajadili utani wa rais hawataki kukubali kuwa bila juhudi za jiwe iyo tanzanite ingepitia kenya then ingeenda kukatwa India