Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

kwa utawala uliofitinika kama huu ni lazima ingekuwa hivyo kumpa mtu cheo kikubwa cha aina hiyo wakati hana moral authority kama alichangia kuiba matokeo na kuweka mtu ambaye si chaguo la wananchi sasa ataana kazi ya kuuwa watu wasiomtaka nchi hii tukilegea tumekwisha
 
Usalama wa Taifa?, mtu anatoka kokote kule! Kumbe hata huko Teuzi ni za kisaisa not weledi ..

Ajab la 8, Dunian lipatakikana TZ
Labda alikuwa TISS since the very beginning.. Huna haja ya kustaajabishwa! Idara nyeti hawaendi watu wa kuokota okota!
 
Hee kumbe spymaster namba mmoja kamaliza kazi aliotumwa,lo kafyeka wengi,na labda bora akalie kiti mwenyewe .
 
La
Labda alikuwa TISS since the very beginning.. Huna haja ya kustaajabishwa! Idara nyeti hawaendi watu wa kuokota okota!
Huyu Bwana alikuwa BoT, akakaenda NIDA, leo ndio kaula TISS. Hajawahi kufanya TISS kabla, he has to undergo tranining kabla ya kuchukua kiti
 
Kitu ambacho baadhi yetu tunapaswa kukifahamu ni kwamba nyuma kabisa mashirika na taasisi za umma zilianza kutumia rasilimali vibaya - sasa kitambo kidogo ili kubaini nani wanatapanya resources zetu vibaya ndiyo tiss walipelekwa kule kwanza kusimamia, kudhibiti na kuratibu mambo.

Kwa maneno machache, ni kuwa hawa TISS wako kila kona na kila taasisi na mashirika.
 
Mhm.... huyu si ndio alikuwa Mkurugenzi wa IT tume ya Taifa ya Uchaguzi....
 
Hongera kwa mteuliwa, changamoto za Idara yetu ni nyingi, ila tutumie resources zetu chache kulinda na kujenga Taifa letu.
 
Naam, nayakumbuka maneno ya hivi karibuni ya Mzee Wassira kuhusu sababu za kuzuiwa kwa UKUTA. Je kuna ukweli juu ya zile 62% za Lowassa? Maana nikitizama huu "uoga" (usiniulize wa nani) uliopo, kwa sehemu kubwa nauona kama unasababishwa na kutojiamini.
 
Mbowe ana kazi..?

Au alisha ajiriwa kokote..? Because he has no any professionalism..!! Hana hata cheti cha fani yoyote..!!
R u kidding?
IFM alikua anacheza makidamakida?
Msiwe mnaweweseka ovyo kwa msiyoyajua. Inaelekea kuna watu wanapenda sana kuongea bila kujua kitu. Mimi nimesoma naye so namjua vema.
Kwanza jiulize....hata kama hakusoma kwa mfano....hizo analysis anazofanya basi he is a genius! "Angesoma" tena ingekuwaje?
 
Huyu ni jipu lenye usaha w a kilo mia mtu si msafi kabisa mtuhumiwa kwa kiwango kikubwa kama cha huyu mtu hawezi pewa idara nyeti kama hiyo hana intergrity katuhumiwa kuiba kura katuhumiwa kufanya biashara ovu na akina Lugumi halafu unampa kitengo nyeti kama hicho halafu Magufuli anadanganya umma eti anatetea watu anyone kweli serikali ya CCM ni ya mafisadi mwendo mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…