Unaweza kuweka ushahidi wa haya uliyoandika?Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Inashangaza kundi kuubwa lenye Jeshi la Jw,polisi,TTSs,magereza ,uhamiaji....Mahakama na Serikari(beuracracy) wote wanahangaika Mbowe !
mwiso was siku Mbowe atShinda!
Mwamba Ccm wanamshinda akili sana. Hana technique zozote zakukabiliana na changamoto anazopitia .Amekuwa ni mtu wakuamini katika kulalamika sana, kulaumu sana serekali na maamuzi ya jazba na migomo bila kusoma alama za Nyakati. Katika zama hizi kwa wapinzani kwangu ZITTO ni the best than others. Anajua kupiga na ku defence., anajua fight for fitness, anajua kusoma mchezo kadri muda unavyoenda. Me sio mwanasiasa ila Chadema kwa sasa hawana watu wenye akili pevu yakisiasa kama walivyokuwepa wakina Bob Makani.Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Mimi sio bendera fuata upepo bali ni mzalendo na nina angalia kiongozi gani anafaa. Na kipimo cha kiongozi bora ni uadilifu na uzalendo. Masuala ya siasa umeyavamia tu ila hujui, hata hao wazungu walikuwa wazalendo mataifa yao ndio maana walijenga reli ili kuinyonya Tanzania ili mataifa yao yanufaike.Kwa bahati mbaya situmii kilevi chochote. Nina akili timamu. Mimi sio bendera fuata upepo kama ww, na siasa naijua vyema. Kama kujenga ubungo interchange Ni kipimo cha uzalendo, basi wazungu waliojenga reli hapa nchini, walikuwa wazalendo kuliko mtanzania yoyote wa asili.
CCM na Dkt Magufuli kila walichoahidi kimetimia, hivyo mpaka sasa CCM chini ya Dkt Magufuli ina uhakika wa kuongoza nchi mpaka 2100, na 2025 Dkt Magufuli keshapita bila kupingwa. Wapinzani mpaka sasa wameshashindwa, kilichopo kila mpinzani sasa anatafuta namna ya kujitambulisha anajitambulisha kumuunga mkono Dkt Magufuli ili apate kura 2020.Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Kwa bahati mbaya situmii kilevi chochote. Nina akili timamu. Mimi sio bendera fuata upepo kama ww, na siasa naijua vyema. Kama kujenga ubungo interchange Ni kipimo cha uzalendo, basi wazungu waliojenga reli hapa nchini, walikuwa wazalendo kuliko mtanzania yoyote wa asili.
CCM na Dkt Magufuli kila walichoahidi kimetimia, hivyo mpaka sasa CCM chini ya Dkt Magufuli ina uhakika wa kuongoza nchi mpaka 2100, na 2025 Dkt Magufuli keshapita bila kupingwa. Wapinzani mpaka sasa wameshashindwa, kilichopo kila mpinzani sasa anatafuta namna ya kujitambulisha anajitambulisha kumuunga mkono Dkt Magufuli ili apate kura 2020.
Ni yule Mtikila aliyekuwa anapewa hela na RA, The King Maker?Hivi unadhani hata mwamba ana mapenzi ya kweli na cdm? Labda siku na yy akiunga mkono juhudi ndo utajua hata hao unawaamini wote ni mamluki... mpinzani wa kweli nchi hii alikuwa mchungaji Christopher mtikila r.i.p wengine wote wachumia tumbo akiwemo na huyo mwamba
Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Mkuu kwenye ujio wa Lowassa Mbowe alizingua. Ile haikuhitaji intelijensia ya juu kujua kuwa Lowassa alikuwa sio mtu sahihi kwa cdm kwa nafasi hata ya udiwani, achia mbali ya urais.
Mkuu kila siku huwa nasema humu ndani kiongozi mzuri wa kuchaguliwa mwisho ni miaka 10, ukiwa na bahati ya ajabu mwisho ni miaka 15, nje ya hapo ni mauzauza. Hivi majuzi wakati wa uchaguzi mkuu wa cdm nilikuwa wazi kabisa kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena, sio kwakuwa sio kiongozi mzuri, ila aisingweza kuwa na jipya tena. Sababu kubwa ni kuwa kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, na kosa la kipuuzi kabisa la kumchukua Lowassa.
Mbowe na cdm wamejiweka kwenye mazingira ya kushambuliwa kisiasa, na kufanyiwa hujuma za wazi kwa sababu ya Mbowe kung'ang'ania madaraka. Hao wabunge wachache wanaohama na kukichafua chama wanapata nguvu hiyo kwanza kwa kuhongwa, na kisha wanatumia hiyo weakness ya Mbowe kukaa madarakani kuhama na kuichafua cdm. Sikufichi hao, wanaohama na tuhuma wanazotoa hata kama zote sio kweli, lakini zaidi ya asilimia 50 zina ukweli. Sisi tuko humu mitandaoni tunaitetea cdm kama taasisi, maana tunajua umuhimu wa upinzani, lakini hatuna uwezo wa kutetea viongozi ving'ang'anizi wa madaraka. Mbowe ana kipi cha maana ambacho kashindwa kukileta ndani ya cdm kwa hiyo miaka 15,ila ataweza sasa? Tusipokuwa wawazi kwa hawa viongozi wa wanaong'ang'ania madaraka kisa tunaipenda taasisi husika, itakuwa ngumu kuwakemea hawa madictator uchwara. Ukweli ni kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm, vinginevyo tutajua yuko madarakani kulinda hayo anayochafuliwa nayo. Ni vyema Mbowe kama anaipenda cdm, akae pembeni maana miaka 15 inatosha kwa kiongozi muungwana.
Usilegeze sauti hapa! Kinara wa mipango yote ya kumnunua na kupanga vurugu kazikwa juzi na hakuna aliyemkaimisha nafasi yake! Au hukumwona mwenyekiti alivyomlilia wakati wa kuagwa dodoma?
Kwa kifupi ccm shughuli hakuna imebaki yatima!
Na Mbowe anakwenda kuibuka shujaa October!
Unadai kila siku huwa unasema humu ndani na kila siku huwa unakosea, bora uache kusema sasa.Mkuu kwenye ujio wa Lowassa Mbowe alizingua. Ile haikuhitaji intelijensia ya juu kujua kuwa Lowassa alikuwa sio mtu sahihi kwa cdm kwa nafasi hata ya udiwani, achia mbali ya urais.
Mkuu kila siku huwa nasema humu ndani kiongozi mzuri wa kuchaguliwa mwisho ni miaka 10, ukiwa na bahati ya ajabu mwisho ni miaka 15, nje ya hapo ni mauzauza. Hivi majuzi wakati wa uchaguzi mkuu wa cdm nilikuwa wazi kabisa kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena, sio kwakuwa sio kiongozi mzuri, ila aisingweza kuwa na jipya tena. Sababu kubwa ni kuwa kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, na kosa la kipuuzi kabisa la kumchukua Lowassa.
Mbowe na cdm wamejiweka kwenye mazingira ya kushambuliwa kisiasa, na kufanyiwa hujuma za wazi kwa sababu ya Mbowe kung'ang'ania madaraka. Hao wabunge wachache wanaohama na kukichafua chama wanapata nguvu hiyo kwanza kwa kuhongwa, na kisha wanatumia hiyo weakness ya Mbowe kukaa madarakani kuhama na kuichafua cdm. Sikufichi hao, wanaohama na tuhuma wanazotoa hata kama zote sio kweli, lakini zaidi ya asilimia 50 zina ukweli. Sisi tuko humu mitandaoni tunaitetea cdm kama taasisi, maana tunajua umuhimu wa upinzani, lakini hatuna uwezo wa kutetea viongozi ving'ang'anizi wa madaraka. Mbowe ana kipi cha maana ambacho kashindwa kukileta ndani ya cdm kwa hiyo miaka 15,ila ataweza sasa? Tusipokuwa wawazi kwa hawa viongozi wa wanaong'ang'ania madaraka kisa tunaipenda taasisi husika, itakuwa ngumu kuwakemea hawa madictator uchwara. Ukweli ni kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm, vinginevyo tutajua yuko madarakani kulinda hayo anayochafuliwa nayo. Ni vyema Mbowe kama anaipenda cdm, akae pembeni maana miaka 15 inatosha kwa kiongozi muungwana.
Mbowe anajivunia sana kuwa na watu viazi kama wewe! Huyo uliyem quote hujamwelewa kabisa alichoandika
Hii ni kufru,anayestahili kupigiwa magoti ni Mungu pekee.
MkuuMkuu kwenye ujio wa Lowassa Mbowe alizingua. Ile haikuhitaji intelijensia ya juu kujua kuwa Lowassa alikuwa sio mtu sahihi kwa cdm kwa nafasi hata ya udiwani, achia mbali ya urais.
Mkuu kila siku huwa nasema humu ndani kiongozi mzuri wa kuchaguliwa mwisho ni miaka 10, ukiwa na bahati ya ajabu mwisho ni miaka 15, nje ya hapo ni mauzauza. Hivi majuzi wakati wa uchaguzi mkuu wa cdm nilikuwa wazi kabisa kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena, sio kwakuwa sio kiongozi mzuri, ila aisingweza kuwa na jipya tena. Sababu kubwa ni kuwa kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, na kosa la kipuuzi kabisa la kumchukua Lowassa.
Mbowe na cdm wamejiweka kwenye mazingira ya kushambuliwa kisiasa, na kufanyiwa hujuma za wazi kwa sababu ya Mbowe kung'ang'ania madaraka. Hao wabunge wachache wanaohama na kukichafua chama wanapata nguvu hiyo kwanza kwa kuhongwa, na kisha wanatumia hiyo weakness ya Mbowe kukaa madarakani kuhama na kuichafua cdm. Sikufichi hao, wanaohama na tuhuma wanazotoa hata kama zote sio kweli, lakini zaidi ya asilimia 50 zina ukweli. Sisi tuko humu mitandaoni tunaitetea cdm kama taasisi, maana tunajua umuhimu wa upinzani, lakini hatuna uwezo wa kutetea viongozi ving'ang'anizi wa madaraka. Mbowe ana kipi cha maana ambacho kashindwa kukileta ndani ya cdm kwa hiyo miaka 15,ila ataweza sasa? Tusipokuwa wawazi kwa hawa viongozi wa wanaong'ang'ania madaraka kisa tunaipenda taasisi husika, itakuwa ngumu kuwakemea hawa madictator uchwara. Ukweli ni kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm, vinginevyo tutajua yuko madarakani kulinda hayo anayochafuliwa nayo. Ni vyema Mbowe kama anaipenda cdm, akae pembeni maana miaka 15 inatosha kwa kiongozi muungwana.
"Taka usitake" what is this?!Nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na hata mleta uzi nadhani anaweza kushangaa kidogo na hiki nilichoandika. Nimeandika ambacho sina shaka nacho. Sina tatizo na mchango mkubwa wa Mbowe kwenye ujenzi wa cdm na hapa cdm alipoifikisha. Ila taka usitake Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya miaka 15. Cdm ni taasisi na sio Mbowe, kama unaishi kwenye zama za kusujudia watu, huko tulishatoka.
Mzee wa kusubiri thread itokee uvamie Mara moja na kuharisha nakuona!Safari hii Tiss itawaletea membe
Nje ya mada unadhani Mbowe yupo sirias sana?