TISS had nothing to do with Lowasa crossing over to Chadema in 2015. FACT.Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Wewe ni kada wa kijani na si mwanachadema, kama unachosema ni kweli, kwanini huoni umuhimu wa mbowe kuendelea kukiongoza chama?
Mkuu hapa duniani hakuna binadamu yeyote awaye kuwa perfect for 100%,
Mh Mbowe naye kama binadamu aliingia kwenye mtego huo mkubwa sana wa Tiss na ukichukulia na pressure kubwa za uchaguzi ilivyo kuwa ndani ya chama.
Jambo la kujivunia ni kwa sasa intelejensia ya cdm imerudi kwenye ubora wake mara baada ya kuvurugwa kwa makusudi na Dr Slaa pale alivyo kihama chama.
TISS had nothing to do with Lowasa crossing over to Chadema in 2015. FACT.
Tanzanians, stop being myopic. msipende kumeza kila kitupwacho vinywani mwenu.
nina uhakika kuna mtu mwingine atakuja kuibuka 2 or 3 years later kutaka kutuaminisha eti CCM kutumia makapi 2020 ilikuwa ni mpango wa TISS kuwafanya Chadema wawe offguard, blah blah blah.... na watu wataamini. nonsense!
Kingine usichokijua au unakijua lkn umeamua kudeal tu na mbowe ni kuwa mbowe hajajiweka kuwa M'kiti, amechaguliwa na wanachama...usimlaumu yy walaumu tuliomchagua cku ile pale mlimani city na kumkataa ndg yko Mwambe...kama umemchoka umemchoka ww siye wengine tunamuona bado anafaa ndo maana tukamchagua tena...na kwa taarifa yko ilikuwa amekataa kugombea lkn watu wenye akili zao wakamuomba atuvushe kipindi hiki kigumu, then baada ya hapo 2024 ana kuja mhe Lissu...nadhani mpk hapo utakuwa umenielewa na utaachana na lawamaUko sahihi kabisa mkuu, na hii ya kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15 ni sehemu ya huo huo udhaifu wa kibinadamu?
Mkuu hapo kwa jiwe ni 1.5 trillion kwa mujibu wa ripoti ya former CAG AssadNDUGAI ARUDISHE BILIONI 12 JIWE ARUDISHE BILIONI 1.5 KINGANGALA BILIONI 2.5 ,LUGOLA BILIONI 5
Uko sahihi kabisa mkuu, na hii ya kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15 ni sehemu ya huo huo udhaifu wa kibinadamu?
Asante kwa ufafanuzi mzr mkuu..Umefafanua vizuri sana kamanda, ila mimi naona kuna mambo kama matatu hivi:-
Mosi..kilichomuweka Mbowe pale ni ukwasi(hana njaa) alionao kwa sababu utakapompa kiongozi njaa uwenyekiti wa taasisi inayowindwa kama CDM ataishia kununuliwa au kukihujumu chama waziwazi au kwa kificho..mf kina Prof Lipumba, leo tunaona CUF iko wapi.
Pili... Umri na ukongwe alionao Mbowe kwenye siasa za TZ ni kigezo muhimu pia katika nafasi ya juu kama hii, sikatai kwamba vijana wanastahili kuaminiwa la hasha! Ila ukiangalia kwa pale CDM ni kijana gani unaweza kumpa madaraka makubwa vile tukitumaini akifikishe chama sehemu sahihi? Mimi nilikuwa namuona Zitto kufaa sana, ila mpaka leo sijui kilitokea nini hadi Bw Kabwe kuvuliwa uanachama
Na hapo nimejaribu kuzingatia mambo kadha wa kadha kama Elimu, uwezo wa kushawishi (diplomasia) ,exposure ya masuala mbalimbali ndani na nje ya nchi, kujenga hoja thabiti sambamba na kutokuwa na JAZBA n.k
Tatu... Title, kiukweli Mbowe ana umaarufu mkubwa sana Tz, Africa na dunia kwa ujumla, kwa hiyo hii pia mimi naiona kama sababu yenye nguvu pia.
N.B....Nitoe rai kwa CDM, yawapasa kukaa na kutulia kwa umakini wa hali ya juu kwa wakati huu mgumu ili kufanya mchujo utakaotupatia viongozi makini wa chama kwa sasa na baadae na siyo mamluki wa aina yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefafanua vizuri sana kamanda, ila mimi naona kuna mambo kama matatu hivi:-

Asante kwa ufafanuzi mzr mkuu..
Mkuu hapo kwa jiwe ni 1.5 trillion kwa mujibu wa ripoti ya former CAG Assad
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine usichokijua au unakijua lkn umeamua kudeal tu na mbowe ni kuwa mbowe hajajiweka kuwa M'kiti, amechaguliwa na wanachama...usimlaumu yy walaumu tuliomchagua cku ile pale mlimani city na kumkataa ndg yko Mwambe...kama umemchoka umemchoka ww siye wengine tunamuona bado anafaa ndo maana tukamchagua tena...na kwa taarifa yko ilikuwa amekataa kugombea lkn watu wenye akili zao wakamuomba atuvushe kipindi hiki kigumu, then baada ya hapo 2024 ana kuja mhe Lissu...nadhani mpk hapo utakuwa umenielewa na utaachana na lawama
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani lakini ktk mazingira yaliyokuwepo wakati wa uchaguzi wao unafikiri ni mtu gani ndani ya Chadema ambaye angeweza kuziba nafasi ya Mbowe.Nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na hata mleta uzi nadhani anaweza kushangaa kidogo na hiki nilichoandika. Nimeandika ambacho sina shaka nacho. Sina tatizo na mchango mkubwa wa Mbowe kwenye ujenzi wa cdm na hapa cdm alipoifikisha. Ila taka usitake Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya miaka 15. Cdm ni taasisi na sio Mbowe, kama unaishi kwenye zama za kusujudia watu, huko tulishatoka.
Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima. bila Mbowe kujua ila badae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea ccm na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa fisadi Lowassa. wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Ambavyo mbowe hafai ndiyo hivyo ivyo na CCM haifai mkuu kuongoza nchiMkuu kwenye ujio wa Lowassa Mbowe alizingua. Ile haikuhitaji intelijensia ya juu kujua kuwa Lowassa alikuwa sio mtu sahihi kwa cdm kwa nafasi hata ya udiwani, achia mbali ya urais.
Mkuu kila siku huwa nasema humu ndani kiongozi mzuri wa kuchaguliwa mwisho ni miaka 10, ukiwa na bahati ya ajabu mwisho ni miaka 15, nje ya hapo ni mauzauza. Hivi majuzi wakati wa uchaguzi mkuu wa cdm nilikuwa wazi kabisa kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena, sio kwakuwa sio kiongozi mzuri, ila aisingweza kuwa na jipya tena. Sababu kubwa ni kuwa kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, na kosa la kipuuzi kabisa la kumchukua Lowassa.
Mbowe na cdm wamejiweka kwenye mazingira ya kushambuliwa kisiasa, na kufanyiwa hujuma za wazi kwa sababu ya Mbowe kung'ang'ania madaraka. Hao wabunge wachache wanaohama na kukichafua chama wanapata nguvu hiyo kwanza kwa kuhongwa, na kisha wanatumia hiyo weakness ya Mbowe kukaa madarakani kuhama na kuichafua cdm. Sikufichi hao, wanaohama na tuhuma wanazotoa hata kama zote sio kweli, lakini zaidi ya asilimia 50 zina ukweli. Sisi tuko humu mitandaoni tunaitetea cdm kama taasisi, maana tunajua umuhimu wa upinzani, lakini hatuna uwezo wa kutetea viongozi ving'ang'anizi wa madaraka. Mbowe ana kipi cha maana ambacho kashindwa kukileta ndani ya cdm kwa hiyo miaka 15,ila ataweza sasa? Tusipokuwa wawazi kwa hawa viongozi wa wanaong'ang'ania madaraka kisa tunaipenda taasisi husika, itakuwa ngumu kuwakemea hawa madictator uchwara. Ukweli ni kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm, vinginevyo tutajua yuko madarakani kulinda hayo anayochafuliwa nayo. Ni vyema Mbowe kama anaipenda cdm, akae pembeni maana miaka 15 inatosha kwa kiongozi muungwana.
[emoji23][emoji23]Hivi unadhani hata mwamba ana mapenzi ya kweli na cdm? Labda siku na yy akiunga mkono juhudi ndo utajua hata hao unawaamini wote ni mamluki... mpinzani wa kweli nchi hii alikuwa mchungaji Christopher mtikila r.i.p wengine wote wachumia tumbo akiwemo na huyo mwamba
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani lakini ktk mazingira yaliyokuwepo wakati wa uchaguzi wao unafikiri ni mtu gani ndani ya Chadema ambaye angeweza kuziba nafasi ya Mbowe.
Kwa huu mkakati wa kufikiana bei na udhaifu walionao watu wengi wa kupenda kuganga njaa ni nani ambaye angepewa uwenyekiti na astahimili vitisho hivi vingi vya Magufuli?
Tofauti na huyo Mbowe ambaye mnamnanga leo ni Lissu tu ndio angeweza kujaza hiyo nafasi ipasavyo lkn kwa bahati mbaya hayupo ila wengine wangejaribu lkn wangefika pahali wangesalimu tu amri kwa udikteta. Believe me.