Rais Magufuli anatengeneza upinzani "Pure" utamsumbua sana

TISS had nothing to do with Lowasa crossing over to Chadema in 2015. FACT.

Tanzanians, stop being myopic. msipende kumeza kila kitupwacho vinywani mwenu.
nina uhakika kuna mtu mwingine atakuja kuibuka 2 or 3 years later kutaka kutuaminisha eti CCM kutumia makapi 2020 ilikuwa ni mpango wa TISS kuwafanya Chadema wawe offguard, blah blah blah.... na watu wataamini. nonsense!
 
Wewe ni kada wa kijani na si mwanachadema, kama unachosema ni kweli, kwanini huoni umuhimu wa mbowe kuendelea kukiongoza chama?

Huwa siamini katika uimara wa mtu bali uimara wa taasisi.
 

Uko sahihi kabisa mkuu, na hii ya kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15 ni sehemu ya huo huo udhaifu wa kibinadamu?
 

Uko sahihi kabisa, hakuna cha Tiss wala nini, huyo Lowassa alikata fungu akapewa nafasi. Kiongozi ukiona umefanya kosa la namna hiyo, unatakiwa ujiuhuzulu sio kuleta porojo.
 
Uko sahihi kabisa mkuu, na hii ya kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15 ni sehemu ya huo huo udhaifu wa kibinadamu?
Kingine usichokijua au unakijua lkn umeamua kudeal tu na mbowe ni kuwa mbowe hajajiweka kuwa M'kiti, amechaguliwa na wanachama...usimlaumu yy walaumu tuliomchagua cku ile pale mlimani city na kumkataa ndg yko Mwambe...kama umemchoka umemchoka ww siye wengine tunamuona bado anafaa ndo maana tukamchagua tena...na kwa taarifa yko ilikuwa amekataa kugombea lkn watu wenye akili zao wakamuomba atuvushe kipindi hiki kigumu, then baada ya hapo 2024 ana kuja mhe Lissu...nadhani mpk hapo utakuwa umenielewa na utaachana na lawama
 
Mkuu tindo Umefafanua vizuri sana kamanda, ila mimi naona kuna mambo kama matatu hivi:-

Mosi..kilichomuweka Mbowe pale ni ukwasi(hana njaa) alionao kwa sababu utakapompa kiongozi njaa uwenyekiti wa taasisi inayowindwa kama CDM ataishia kununuliwa au kukihujumu chama waziwazi au kwa kificho..mf kina Prof Lipumba, leo tunaona CUF iko wapi.

Pili... Umri na ukongwe alionao Mbowe kwenye siasa za TZ ni kigezo muhimu pia katika nafasi ya juu kama hii, sikatai kwamba vijana wanastahili kuaminiwa la hasha! Ila ukiangalia kwa pale CDM ni kijana gani unaweza kumpa madaraka makubwa vile tukitumaini akifikishe chama sehemu sahihi? Mimi nilikuwa namuona Zitto kufaa sana, ila mpaka leo sijui kilitokea nini hadi Bw Kabwe kuvuliwa uanachama
Na hapo nimejaribu kuzingatia mambo kadha wa kadha kama Elimu, uwezo wa kushawishi (diplomasia) ,exposure ya masuala mbalimbali ndani na nje ya nchi, kujenga hoja thabiti sambamba na kutokuwa na JAZBA n.k

Tatu... Title, kiukweli Mbowe ana umaarufu mkubwa sana Tz, Africa na dunia kwa ujumla, kwa hiyo hii pia mimi naiona kama sababu yenye nguvu pia.

N.B....Nitoe rai kwa CDM, yawapasa kukaa na kutulia kwa umakini wa hali ya juu kwa wakati huu mgumu ili kufanya mchujo utakaotupatia viongozi makini wa chama kwa sasa na baadae na siyo mamluki wa aina yoyote ile.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ni mapungufu ya kibinadamu kwani hakuna mtu yeyote yule asiyependa kutawala, hivyo basi ndiyo maana watu kwa kulijuwa hilo waliweka katiba ya chama kuelezea miiko na jinsi ya kumpata kiongozi na ukomo wa utawala.

Unadhani mh Mbowe anavunja katiba ya cdm? Jibu ni hapana maana katiba inamruhusu na hapo sasa ndiyo ubinadamu unapo ingia kwetu sisi wote wana cdm.
Uko sahihi kabisa mkuu, na hii ya kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15 ni sehemu ya huo huo udhaifu wa kibinadamu?
 
Asante kwa ufafanuzi mzr mkuu..
 
Asante sana kwa uchambuzi ulio kamilika
 
Hata mimi nimemjibu hivyo kuwa wakulaumiwa ni sisi wana cdm, kama kutakuwa na ulazima wa kulaumiwa maana mh Mbowe hajavunja katiba ya cdm
 
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani lakini ktk mazingira yaliyokuwepo wakati wa uchaguzi wao unafikiri ni mtu gani ndani ya Chadema ambaye angeweza kuziba nafasi ya Mbowe.

Kwa huu mkakati wa kufikiana bei na udhaifu walionao watu wengi wa kupenda kuganga njaa ni nani ambaye angepewa uwenyekiti na astahimili vitisho hivi vingi vya Magufuli?

Tofauti na huyo Mbowe ambaye mnamnanga leo ni Lissu tu ndio angeweza kujaza hiyo nafasi ipasavyo lkn kwa bahati mbaya hayupo ila wengine wangejaribu lkn wangefika pahali wangesalimu tu amri kwa udikteta. Believe me.
 
Mbowe, Zito Kabwe hao wote siyo wapinzani,ila ngoja tuende hivyo maana bila hivyo wazungu watatulete uasi. ktk Africa hii wala hatuhitaji kitu kinaitwa SIASA NA DEMOKRASIA..tunahitaji kufanya kazi kwa bidii tu,na kwa kua wazungu wanajifanya wajanja kutaka misuguano Africa,ngoja tuwachezeshe wakome
 
Sasa ndugu yangu tindo hiyo taasisi inasimamiwa na robot au binadamu? Vyovyote vile mtu lazima ahusike kwenye uimara wa taasisi.
Huwa siamini katika uimara wa mtu bali uimara wa taasisi.
 
Reactions: F9T
Ambavyo mbowe hafai ndiyo hivyo ivyo na CCM haifai mkuu kuongoza nchi
 
[emoji23][emoji23]
 
Upo sahihi kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…