Swali zuri sana,maana Mwambe aligombea baada ya kushindwa akahama,Uko sawa kabisa kwenye maelezo yako ila nadhani swala lipo palepale, kwa uzoefu wako unadhani nani au akina nani wanafaa kuiongoza CDM badala ya Mbowe.
Tangu nimeanza kukufahamu leo umezungumza point tupu naona hata nafasi yako katika hicho kitengo cha propaganda umeiweka rehani!Mkuu kwenye ujio wa Lowassa Mbowe alizingua. Ile haikuhitaji intelijensia ya juu kujua kuwa Lowassa alikuwa sio mtu sahihi kwa cdm kwa nafasi hata ya udiwani, achia mbali ya urais.
Mkuu kila siku huwa nasema humu ndani kiongozi mzuri wa kuchaguliwa mwisho ni miaka 10, ukiwa na bahati ya ajabu mwisho ni miaka 15, nje ya hapo ni mauzauza. Hivi majuzi wakati wa uchaguzi mkuu wa cdm nilikuwa wazi kabisa kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena, sio kwakuwa sio kiongozi mzuri, ila aisingweza kuwa na jipya tena. Sababu kubwa ni kuwa kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, na kosa la kipuuzi kabisa la kumchukua Lowassa.
Mbowe na cdm wamejiweka kwenye mazingira ya kushambuliwa kisiasa, na kufanyiwa hujuma za wazi kwa sababu ya Mbowe kung'ang'ania madaraka. Hao wabunge wachache wanaohama na kukichafua chama wanapata nguvu hiyo kwanza kwa kuhongwa, na kisha wanatumia hiyo weakness ya Mbowe kukaa madarakani kuhama na kuichafua cdm. Sikufichi hao, wanaohama na tuhuma wanazotoa hata kama zote sio kweli, lakini zaidi ya asilimia 50 zina ukweli. Sisi tuko humu mitandaoni tunaitetea cdm kama taasisi, maana tunajua umuhimu wa upinzani, lakini hatuna uwezo wa kutetea viongozi ving'ang'anizi wa madaraka. Mbowe ana kipi cha maana ambacho kashindwa kukileta ndani ya cdm kwa hiyo miaka 15,ila ataweza sasa? Tusipokuwa wawazi kwa hawa viongozi wa wanaong'ang'ania madaraka kisa tunaipenda taasisi husika, itakuwa ngumu kuwakemea hawa madictator uchwara. Ukweli ni kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm, vinginevyo tutajua yuko madarakani kulinda hayo anayochafuliwa nayo. Ni vyema Mbowe kama anaipenda cdm, akae pembeni maana miaka 15 inatosha kwa kiongozi muungwana.
Kwani mbowe ndio mgombea uraisi rasmi!Kama kuna ushindani hakuna cha kushangaza akiwa mbunge, lakini kama uchaguzi ni huu Magufuli anaamua nani atangazwe mshindi, basi Mbowe hatatangazwa mshindi hata ashinde.
Ndoto za muda huu!Thubutu yake ! nakuhakikishia yeye ndio atapiga goti , subiri uone !
Tuanze na zile 1.5 za mwenyekiti wa chama cha kikomunisti kwanzasasa ndo mnakubali kwamba dokta Slaa alisalitiwa na mbowe?
Mbowe ajiuzuru na arudishe bilioni 8.9 alizoiba.
Ukiona hoja ya upinzani iko supported na CCM, ujue hiyo hoja ni fake.Tangu nimeanza kukufahamu leo umezungumza point tupu naona hata nafasi yako katika hicho kitengo cha propaganda umeiweka rehani!
Huo ni mtizamo wako!Ukiona hoja ya upinzani iko supported na CCM, ujue hiyo hoja ni fake.
Duhh! Leo umeongea Jambo mhimu sana!!Mkuu kwenye ujio wa Lowassa Mbowe alizingua. Ile haikuhitaji intelijensia ya juu kujua kuwa Lowassa alikuwa sio mtu sahihi kwa cdm kwa nafasi hata ya udiwani, achia mbali ya urais.
Mkuu kila siku huwa nasema humu ndani kiongozi mzuri wa kuchaguliwa mwisho ni miaka 10, ukiwa na bahati ya ajabu mwisho ni miaka 15, nje ya hapo ni mauzauza. Hivi majuzi wakati wa uchaguzi mkuu wa cdm nilikuwa wazi kabisa kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm tena, sio kwakuwa sio kiongozi mzuri, ila aisingweza kuwa na jipya tena. Sababu kubwa ni kuwa kakaa madarakani zaidi ya miaka 15, na kosa la kipuuzi kabisa la kumchukua Lowassa.
Mbowe na cdm wamejiweka kwenye mazingira ya kushambuliwa kisiasa, na kufanyiwa hujuma za wazi kwa sababu ya Mbowe kung'ang'ania madaraka. Hao wabunge wachache wanaohama na kukichafua chama wanapata nguvu hiyo kwanza kwa kuhongwa, na kisha wanatumia hiyo weakness ya Mbowe kukaa madarakani kuhama na kuichafua cdm. Sikufichi hao, wanaohama na tuhuma wanazotoa hata kama zote sio kweli, lakini zaidi ya asilimia 50 zina ukweli. Sisi tuko humu mitandaoni tunaitetea cdm kama taasisi, maana tunajua umuhimu wa upinzani, lakini hatuna uwezo wa kutetea viongozi ving'ang'anizi wa madaraka. Mbowe ana kipi cha maana ambacho kashindwa kukileta ndani ya cdm kwa hiyo miaka 15,ila ataweza sasa? Tusipokuwa wawazi kwa hawa viongozi wa wanaong'ang'ania madaraka kisa tunaipenda taasisi husika, itakuwa ngumu kuwakemea hawa madictator uchwara. Ukweli ni kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm, vinginevyo tutajua yuko madarakani kulinda hayo anayochafuliwa nayo. Ni vyema Mbowe kama anaipenda cdm, akae pembeni maana miaka 15 inatosha kwa kiongozi muungwana.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Mbowe anaibuka shujaa wa nini [emoji2]
Kaijenga cdm kivipi?Hebu Soma ulichoandika Kama nawe utakielewa! Utopolo mtupu! Huyo magu kaachive Nini ndani ya miaka mitano?
Heri ya Mbowe kaijenga cdm bila dola na fedha za umma.
Kama ccm haimuogopi Mbowe kwanini haimpi nafasi ya kufanya siasa Kama magu et al anavyofanya kwa miaka mitano na hajadeliver lolote kwa wananchi zaidi ya kuwatisha?
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]Mbowe anajivunia sana kuwa na watu viazi kama wewe! Huyo uliyem quote hujamwelewa kabisa alichoandika
Wenye mbwa wanajua kama Mbowe yuko siriasi sana au la!Safari hii Tiss itawaletea membe
Nje ya mada unadhani Mbowe yupo sirias sana?
Kama mpaka leo CDM ipo usiulize tena swali hilo!
Ndio umwambie na tindo ajue hilo.
Hii mizengwe unayoizungumzia ni ipi? hii ambayo umeiita siasa chafu kutoka nje na wale wanaohama uliyokiri kuiogopa au kuna mingine?!
Kuitisha nguvu ya umma ni kupi? kama unazungumzia maandamano lazima upate kibali polisi, unadhani hao polisi wanaweza kutoa hicho kibali ambacho ni haki kisheria? hapa Mbowe unamlaumu vipi?!
Sawa naona cdm Ina wabunge kibao!Kama mpaka leo CDM ipo usiulize tena swali hilo!
Vipi Kama mmefanikiwa mamluki wenu kina mwambe,sumaye wawe wenyekiti si chama kingeshakufa.Siku wanachama wakimchoka ataachia, kwann ccm ndio wawe wamemchoka na sio wanachama wa chama chake
Yes Hadi wanachama watakapoona yatosha, Mandela, Nyerere baada ya takwa la mapambano kutimia waliwaachia wengine so ni subira tuSumu yangu ni wanaccm kupewa madaraka ndani ya cdm. Tafuta popote nilipowahi kuunga mkono hata kwa bahati mbaya mwanaccm yoyote, hasa hawa waliokuja na mafuriko ya Lowassa ikiwemo Lowassa mwenyewe, kupewa hata nafasi ya kugombea udiwani. Point yangu iko wazi wala usinihamishe kwenye kile ninachoamini. Sina shaka na ww kuikubali cdm, bali tofauti yangu na yako iko kwenye kuikubali cdm kama taasisi, na kuikubali cdm kama taasisi lakini lazima Mbowe ndio awe mwenyekiti.