Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

Polisi wa Tanzania wanafaidika na nini kuchukua taarifa za ajali barabarani na vifo vilivyotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanjo za watoto zipo mpaka leo sio wakati wako tu, hivyo WHO wana msaada mpaka kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Katika paragraph ya kwanza umeongelea uwezo.
Kisa nchi yetu haiwezi kupima wote.. haimaanishi na wao hawawezi.
Tofauti na sisi wao wana rasilimali watu.. wanatengeneza vifaa vyao. Ndio maana husikii wakilalamika kuishiwa chochote.
Kwa sasa wako mil300. Hata hiyo hatua waliyofika sio mbaya japo hawajafika nusu ya lengo.
Wao wana uwezo yes.. watamaliza kupima lakin sio jambo la leo. Ni progressive.
Possibility za mtu kuambukizwa upya zipo.. ndio maana wenzetu wakijisikia vibaya kidogo wana ji isolate wenyewe au wanaenda hospital faster.. ndio maana wao contact tracing ni rahis maana wananchi wako responsible.
 
Wewe ndio huiamini WHO kwa sababu ya ulofa wako, lakini nchi zote zenye akili zinafuata ushauri wa WHO ikiwa ni pamoja na wewe.

1. Nawa mikono kila mara
2. Maintain social distancing
3. Vaa barakoa n.k.


Sent using Jamii Forums mobile app
Akili sijui ni finyu sana...huo utaratibu wa 1-3 ni wa kawaida sana ktk kupunguza maambukizi ya magojwa mbalimbali na ulikuwepo hata kabla ya hiyo WHO kuwepo! Ni malofa tu kama ww ndio unaweza fikiri huo ni ushauri wa WHO! Hata kabla ya kuzaliwa Kristo, huo ulikuwa utaratibu wa kawaida kabisa ktk kuepuka magonjwa ya kuambukiza kama ukoma nk!
Eti mataifa yenye akili, kwako unamaanisha wazungu eeh? Hao wazungu kwa taarifa yako sasa inabidi wajofunze kutoka kwa Tz, kwa Magu! Baada ya kukopi na kupesti anayofanya Magu, ninyi mnaokariri kuwa wazungu na WHO ndio wenye akili mtarudi tena kuunga mkono hoja kwa kuwa imepata 'approval' ya mabwana zenu!
Elimu ya kukariri ni hovyo sana!
 
Na wanapukutika sana ati! Hilo mbona hulisemi! Hivi ingetoka huku kwetu watu kupukutishwa vile ingekuwaje! Let not forget God on this!
 
Mass testing kwa corona ni promo tu! Unajua nilikuwa nimevuta kiti nikae nikitegemea sasa unatoa shule kunishawishi baada ya kuanza kibabe "
 
Baada ya kuwapima wamefaidika na nini...maana ndio vinara wa wahanga wacovid-19 kidunia kwa sasa! Massive testing kuna ipa unnecessary promo corona na kuongea hofu inayoua wengi zaidi kuliko corona yenyewe!
 
Tutatengeneza chanjo wenyewe!
Usipopokea chanjo sawa dunia iko so complicated utajikuta ndio unakuja kutumia dawa zao baadaye.Kwani unafikiria chanjo za TB ,surua kwai zipo kwao sasa si huku kwetu kwa ujinga wetu wa kutojikinga
[/QUOT
 
Safi sana, umejibu kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mass testing kwa corona ni promo tu! Unajua nilikuwa nimevuta kiti nikae nikitegemea sasa unatoa shule kunishawishi baada ya kuanza kibabe "
Mass testing sio promo. Utajuaje behaviour ya ugonjwa bila mass testing, virus strains and different mutations, individual wanao develop anti-bodies? , infection effectiveness..
Mass testing hailengi tu kupata idadi ya watu walio athirika.. but ina mambo mengi ndani yake.
And please. Kwasababu sisi hatufanyi haimaanishi nchi zinazofanya ni wajinga.
 
Tutatengeneza chanjo wenyewe!
For the record ? Unajua maana ya chanjo? Chanjo ipi tumeshawahi kutengeneza tz..? Chanjo ipi ambayo wataalam wetu wameshawahi kaa chini wakatumia utaalam wao kuja na chanjo?
 
Tutatengeneza chanjo wenyewe!
Kwa siasa hizi za kujenga maharaja,barabara,SGR na kutosikiliza wataalam zaidi ya waganga,akina Bashite nk kwa sasa mwanaume.Hata hii leo nikisema nimegundua chanjo serikali haina hizo interest. Emerging kuna watu walikuja na mchanganyiko wao wa lishe, yes NIMR wakaupitisha but still Rais akatuma ndege madagasca badala na yeye ku umarket wakwetu
 
Kawaulize polisi si wapo?!
Huwezi kujibu kwa sababu unajua utakuwa umetoa jibu la kwanini data za Covid-19 ni muhimu.

Kama data za ajali, ukimwi, watoto wanaozaliwa kila mwaka, uzalishaji wa mahindi au za population ya nchi ni muhimu basi hata maambukizi ya Covid-19 ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe akili kubwa ondoka na waondoe nduguzo Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…