Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

Umeongea vizuri sana kuwa kirusi kina'mutate'! Sasa niambie unafaidika na nini kufanya massive testing kwa nchi nzima, wakati huohuo unajua 'mutation' inaendelea na pia unapomaliza kumpima mtu akiwa -ve leo unampleka mwezini ili asijeambukizwa? Maana wengine wakati zoezi lenyewe la kupimana linaendelea nao wanaambukizwa! Nasapoti kupima wenye dalili na wasafiri cross country! Lakini watu wote, hapana mkuu ni kupanicshana tu!
Polisi wa Tanzania wanafaidika na nini kuchukua taarifa za ajali barabarani na vifo vilivyotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna sababu ya kunidhihaki! WHO ya kipindi hicho siyo hii inayofuata maelekezo ya tajiri Bilgate! Nikueleze tu, hata bila chanjo bado tutatoboa! Hata bila WHO bado tutatoboa tu! Mungu yupo nasi! Ww ambaye imani yako ipo kwa WHO ndio unaweza 'saccumb' na hayo unayoyaogopa! Sisi tutatoboa! Huyo kiumbe aitwae WHO naye pia ni kirus!
Chanjo za watoto zipo mpaka leo sio wakati wako tu, hivyo WHO wana msaada mpaka kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka lilipoingia janga hili raisi alitoa msimamo kuwa watu waendelee ka kazi ila wachukue tahadali kwa kufuata mashrti yaliyowekwa na wizara ya afya.

Pili, akasema hii ni vita hivyo tutmie kila siraha kupambana na huu ugonjwa, tutmie pia maombi na dawa za asili na kupiga nyungu ili kuutokomeza ugonjwa huu.

Nchi jirani na wanasiasa wa hapa kwetu na baadhi ya viongozi wa dini a wanachi pingapinga wakabeza na kufuata ushoshoo wa ulaya kwamba raisi anashauli vitu vya hovyo, visivyo vya kitaalam.

Sasa wale waliokuwa wanashabikia majirani kuwa wanachukua hatua za kufunga baadhi ya maeneo au kuweka lockdown mkamsikilize Uhuru Kenyata, sasa kasalim amri na amewatangazia wanachi kuwa ataondoa masharti yote ya lockdown na watu waendelee kazi zao ila wachukue hatua za kujikinga.

Huku wagonjwa wakiongezeka kila siku na kufikia elfu moja na zaidi, Mamabukizi yanaongezeka masharti yanaondolewa sasa hapo maana yake nini?

Je, hasara kiasi gani wamepata kwa hizo lockdown na ugonjwa bado upo?

Viva Magufuli. Viva Tanzania kwa kupata raisi mwenye maono.
 
Acha kudanganya watu, haiwezekani kupima watu wote. Tambua kila baada ya wiki tatu unatakiwa kupima ukizingatia aliyepima leo anaweza kuambukizwa kesho tu. Hapo hujazingatia
Gharama za kupima
Idadi ya vipimo vinavyohitajika
Rasilimali watu wanaohitajika..
Muda utakaotosha kumaliza mzunguko nk.

Mpaka leo 24 May USA wamepima watu 14ml kati ya 331mls ambayo ni sawa na 4% Tu. Kati ya hao 14mls waliopimwa 1.6mls ndio wameathirika sawa na 11%. Kwa hiyo ni uwiano wa mtu 1 muathirika Kwa kila watu 11 wanaopimwa... tafsiri nyepesi hapo ni kwamba wanapima wale traced contacts.
Katika paragraph ya kwanza umeongelea uwezo.
Kisa nchi yetu haiwezi kupima wote.. haimaanishi na wao hawawezi.
Tofauti na sisi wao wana rasilimali watu.. wanatengeneza vifaa vyao. Ndio maana husikii wakilalamika kuishiwa chochote.
Kwa sasa wako mil300. Hata hiyo hatua waliyofika sio mbaya japo hawajafika nusu ya lengo.
Wao wana uwezo yes.. watamaliza kupima lakin sio jambo la leo. Ni progressive.
Possibility za mtu kuambukizwa upya zipo.. ndio maana wenzetu wakijisikia vibaya kidogo wana ji isolate wenyewe au wanaenda hospital faster.. ndio maana wao contact tracing ni rahis maana wananchi wako responsible.
 
Wewe ndio huiamini WHO kwa sababu ya ulofa wako, lakini nchi zote zenye akili zinafuata ushauri wa WHO ikiwa ni pamoja na wewe.

1. Nawa mikono kila mara
2. Maintain social distancing
3. Vaa barakoa n.k.


Sent using Jamii Forums mobile app
Akili sijui ni finyu sana...huo utaratibu wa 1-3 ni wa kawaida sana ktk kupunguza maambukizi ya magojwa mbalimbali na ulikuwepo hata kabla ya hiyo WHO kuwepo! Ni malofa tu kama ww ndio unaweza fikiri huo ni ushauri wa WHO! Hata kabla ya kuzaliwa Kristo, huo ulikuwa utaratibu wa kawaida kabisa ktk kuepuka magonjwa ya kuambukiza kama ukoma nk!
Eti mataifa yenye akili, kwako unamaanisha wazungu eeh? Hao wazungu kwa taarifa yako sasa inabidi wajofunze kutoka kwa Tz, kwa Magu! Baada ya kukopi na kupesti anayofanya Magu, ninyi mnaokariri kuwa wazungu na WHO ndio wenye akili mtarudi tena kuunga mkono hoja kwa kuwa imepata 'approval' ya mabwana zenu!
Elimu ya kukariri ni hovyo sana!
 
Na wanapukutika sana ati! Hilo mbona hulisemi! Hivi ingetoka huku kwetu watu kupukutishwa vile ingekuwaje! Let not forget God on this!
Katika paragraph ya kwanza umeongelea uwezo.
Kisa nchi yetu haiwezi kupima wote.. haimaanishi na wao hawawezi.
Tofauti na sisi wao wana rasilimali watu.. wanatengeneza vifaa vyao. Ndio maana husikii wakilalamika kuishiwa chochote.
Kwa sasa wako mil300. Hata hiyo hatua waliyofika sio mbaya japo hawajafika nusu ya lengo.
Wao wana uwezo yes.. watamaliza kupima lakin sio jambo la leo. Ni progressive.
Possibility za mtu kuambukizwa upya zipo.. ndio maana wenzetu wakijisikia vibaya kidogo wana ji isolate wenyewe au wanaenda hospital faster.. ndio maana wao contact tracing ni rahis maana wananchi wako responsible.
 
Ili ujue kupima kuna faida kubwa lazima uwe na uwelewa mpana wa kufikiri na kufuatilia mambo mbalimbali yaliyofanywa na baadhi ya nchi zilizofanikiwa kiasi kupunguza maambukizi katika nchi zao.
1. Unapopima cha kwanza utajua ukubwa wa tatizo yaani kiwango cha maambukizi na jamii gani inayoambukizwa zaidi ugonjwa husika.
2. Ni vema pia ukajua kuna timu ya ufuatiliaji (Contact Tracing and Surveillance) ambayo ufuatilia wale contact wote walikuwa karibu na wale wote waliokuwa na majibu ya +ve baada ya kupimwa ili kuwaweka under surveillance kwa kuwa isolated ili kama watakuwa wameambukizwa wasiweze kuambukiza wengine.
Hii nimekupa kwa uchache faida za kufanya mass testing. lakini ukitaka kujua zaidi fuatilia walichokifanya Japan na South Korea hadi kufanikiwa kwani na wao hawakuwa na Lock down lakini maambukizi na vifo waliweza kuvipunguza sana.

Ukiishamaliza kufuatilia tutaomba update ya idadi ya wagonjwa wa Corona kwa sasa Tanzania na ni takwimu za tarehe ngapi.
Mass testing kwa corona ni promo tu! Unajua nilikuwa nimevuta kiti nikae nikitegemea sasa unatoa shule kunishawishi baada ya kuanza kibabe "
Ili ujue kupima kuna faida kubwa lazima uwe na uwelewa mpana wa kufikiri na kufuatilia..." lakini kwa bahati mbaya umeniangusha saana!
Preliminary epidemiology ya corona ilishafanyika na tunatambua infective & fatality rate yake pia, kukimbilia massive testing ni matummizi mabaya ya resource! Kupima wenye dalili na crossborder traveller ndio mpango mzima!
 
Umeshaambiwa kwamba 35℅ ya wahanga wa Corona hawaonyeshi dalili za huo ugonjwa maanake no kwamba ukisubiri mtu mwenye dalili tu ndiye apimwe utakuwa unapililia janga la maambukizi kutoka kwa hao wasioonyesha dalili.
Marekani inaendelea kupima mpaka sasa hivi wameshapima watu 14,472,611
Katika nchi za Afrika Mashariki in Tanzania tu ambayo haina utaratibu wakupima watu wasiokuwa na dalili za Corona maana hata Sudani ya Kusini imeshapima walau watu 284.
Uganda inaongoza kwa kupima watu 84,975 ikifuatiwa na Kenya ambayo imeshapima watu 59,260.
Ni mapema mno kujigamba kuwa tumewazidi wenzetu kupambana na janga ili wakati tunaitegemea mashine moja kupima nchi nzima kupima virusi vya Corona na tuna zaidi ya wiki mbili hatujatoa takwimu zozote kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Corona.
Aidha inaonekana dhahiri kuna usiri mkubwa katika kuelezea swala zima la ugonjwa huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwapima wamefaidika na nini...maana ndio vinara wa wahanga wacovid-19 kidunia kwa sasa! Massive testing kuna ipa unnecessary promo corona na kuongea hofu inayoua wengi zaidi kuliko corona yenyewe!
 
Tutatengeneza chanjo wenyewe!
Usipopokea chanjo sawa dunia iko so complicated utajikuta ndio unakuja kutumia dawa zao baadaye.Kwani unafikiria chanjo za TB ,surua kwai zipo kwao sasa si huku kwetu kwa ujinga wetu wa kutojikinga
[/QUOT
 
Aisee at this level faida ya kupima ipo na ni kubwa sana.
Kupima na ku survive ugonjwa ni vitu viwili tofauti.
Statisticaly majibu yanayopatikana kwenye vipimo yanatoa picha halisi ya behaviour ya virus mwenyewe, kundi gani liko katika hatari zaid, kundi lipi lime develop anti-bodies, pia virus strains maana wana mutate every day.
Hizi taarifa husaidia serikal wajue wapi pa kupeleka nguvu.
Lakin pia husaidia wataalam kujua watatumia mbinu gani kukimaliza kirusi kwa chanjo.. na waitengenezaje.
Safi sana, umejibu kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mass testing kwa corona ni promo tu! Unajua nilikuwa nimevuta kiti nikae nikitegemea sasa unatoa shule kunishawishi baada ya kuanza kibabe "
Mass testing sio promo. Utajuaje behaviour ya ugonjwa bila mass testing, virus strains and different mutations, individual wanao develop anti-bodies? , infection effectiveness..
Mass testing hailengi tu kupata idadi ya watu walio athirika.. but ina mambo mengi ndani yake.
And please. Kwasababu sisi hatufanyi haimaanishi nchi zinazofanya ni wajinga.
 
Tutatengeneza chanjo wenyewe!
For the record ? Unajua maana ya chanjo? Chanjo ipi tumeshawahi kutengeneza tz..? Chanjo ipi ambayo wataalam wetu wameshawahi kaa chini wakatumia utaalam wao kuja na chanjo?
 
Tutatengeneza chanjo wenyewe!
Kwa siasa hizi za kujenga maharaja,barabara,SGR na kutosikiliza wataalam zaidi ya waganga,akina Bashite nk kwa sasa mwanaume.Hata hii leo nikisema nimegundua chanjo serikali haina hizo interest. Emerging kuna watu walikuja na mchanganyiko wao wa lishe, yes NIMR wakaupitisha but still Rais akatuma ndege madagasca badala na yeye ku umarket wakwetu
 
Kawaulize polisi si wapo?!
Huwezi kujibu kwa sababu unajua utakuwa umetoa jibu la kwanini data za Covid-19 ni muhimu.

Kama data za ajali, ukimwi, watoto wanaozaliwa kila mwaka, uzalishaji wa mahindi au za population ya nchi ni muhimu basi hata maambukizi ya Covid-19 ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ni kubwa, Kenya wana data sisi hatuna. Watu wenye akili wataona ni afadhali kwenda Kenya kuliko Tanzania.

Je, umesikia waingereza wamewaondoa raia wao Kenya, na kuna waingereza wengi kuliko Tz, unafikiri kwa nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe akili kubwa ondoka na waondoe nduguzo Tanzania.
 
Back
Top Bottom