King Adolfo Osaka
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 485
- 440
Yelewiiii!Ni Tanzania tu ambapo kiongozi aliyekuwa kimya mpaka mkataba wa kinyonyaji ukapita anakuja kusema huo mkataba ulikuwa mbovu! Wakati huo huo hata yeye huo Mkataba hataki kuonyesha nini kiko ndani ya huo mkataba alipokubali upite, kisha akaukataa. Kichekesho ni pale rais huyo huyo anapogomea katiba mpya ili mambo yaendeshwe kwa uwazi zaidi na watu wanashangilia na kusema ni kiongozi sahihi!
Unrelated example!Unaelewa fika jinsi katiba ya Tanzania ilivyo na kuwa Rais ndiyo mwisho wa kila kitu, ulitaka Magu kama waziri afanyeje?
Hivi ukimfunamia mzee wako na dada wa kazi utapiga tarumbeta kuwaambia majirani?
Tulimwambia kuhusu utapeli wa Wachina wafia chama wakaja na mapovu naye kwa kukumbwa na pepo wa uongo akawaita marafiki wa kweli wa maendeleo na akasisitiza wao siyo kama Mabeberu. Sasa Leo hawa mitamba(wachina) wamegeuka maksai?Mchina sio mtu wa mchezo mchezo,yaani ukizubaa tu sekunde anakumaliza!
Kiongozi hili linafikirisha sana, ni kweli aliwasifia sasa sijui hakuona, mbaya zaidi alikua katika baraza wakati wanapitishaTulimwambia kuhusu utapeli wa Wachina wafia chama wakaja na mapovu naye kwa kukumbwa na pepo wa uongo akawaita marafiki wa kweli wa maendeleo na akasisitiza wao siyo kama Mabeberu. Sasa Leo hawa mitamba(wachina) wamegeuka maksai?
Hayo ya kuwa kwenye baraza ukiyasema hadharani utapigwa mawe mpaka ufe kama mwanamke aliyefumaniwa Somalia.Kiongozi hili linafikirisha sana, ni kweli aliwasifia sasa sijui hakuona, mbaya zaidi alikua katika baraza wakati wanapitisha
Waliomshabikia Kikwete na mama Makinda siku Ile usiku, mswaada ulipo lazimishwa kupitishwa usiku wa manane ni pamoja na huyu anayelalamika leo. !!!Na katika gesi alichelewa, akakuta maji yameishamwagika.
Halafu unakuta kuna mpumbavu anajisikia vibaya kisa magufuli haongei kiingereza fasaha[emoji16][emoji16][emoji16], hapa ndio utajua kila binaadam ana kipaumbele chake.
Mtoe magu ktka mambo ya kipuuzi kama hayo, labda kama umemjua baada ya kuwa rais 2015.Waliomshabikia Kikwete na mama Makinda siku Ile usiku, mswaada ulipo lazimishwa kupitishwa usiku wa manane ni pamoja na huyu anayelalamika leo. !!!
Ccm wote wanafki. Leo ndiyo wanajifanya wazalendo wa kuionea nchi huruma ?!.
Tatizo la Tz ni katiba. Imewafanya ma Rais mamiungu watu . Na ndiyo chanzo cha kuiuza nchi yetu kwa wanaitwa wawekezaji.
Kwani siku Ile usiku hakuepo ukumbini ?!. Alitoka hata nje kuonyesha hakubaliani na ule mswaada ?!. Hapo siitamki mv darMtoe magu ktka mambo ya kipuuzi kama hayo, labda kama umemjua baada ya kuwa rais 2015.
Huyu mtu mna chuki naye, lakini isiwe sababu ya kumpaka ubaya kwa gharama,
Kwani waliotoka nje ya ukumbi, walibadili nini ktk mipango na ratiba za wapigaji???Kwani siku Ile usiku hakuepo ukumbini ?!. Alitoka hata nje kuonyesha hakubaliani na ule mswaada ?!. Hapo siitamki mv dar
Angalau tuliuona uzalendo wao. Na hakuna sababu ya kuwasimanga.Kwani waliotoka nje ya ukumbi, walibadili nini ktk mipango na ratiba za wapigaji???
Kwahiyo waliobaki ndani wote hawakuwa na uzalendo!!!!Angalau tuliuona uzalendo wao. Na hakuna sababu ya kuwasimanga.
Sasa nini kama si unafki ?! Yule jamaa alikuwa amebakiza miezi miwili tu ofisini astaafu !! Kwanini walikubali gas na mafuta yetu yaende kwa mkwara wa mtu anadondoka ?!. Labda walifikiri kizazi kimekomea kwao ?!Kwahiyo waliobaki ndani wote hawakuwa na uzalendo!!!!
Angetoka na kina halima mdee nje,huwenda leo ungeishamsahau, kwani huwenda hata asingekuwa diwani.Sasa nini kama si unafki ?! Yule jamaa alikuwa amebakiza miezi miwili tu ofisini astaafu !! Kwanini walikubali gas na mafuta yetu yaende kwa mkwara wa mtu anadondoka ?!. Labda walifikiri kizazi kimekomea kwao ?!
Ndipo niliposema tatizo letu ni katiba inayowafanya kuwa mamiunguwatu wasiopingwa.
Arudishe na mafuta na gas yetu waliogawa kinafki [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787]Angetoka na kina halima mdee nje,huwenda leo ungeishamsahau, kwani huwenda hata asingekuwa diwani.
Amekaa ndani ili umuone mnafiki, kusudi aje akataze ujenzi wa bandari leo.
Anaweza muda na saa yoyote.Arudishe na mafuta na gas yetu waliogawa kinafki [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787]
Bila kutuonyesha mkataba uliokataliwa hata akija mungu siamini haya maneno , watuletee mkataba , na tuone basi hata bungeni uende hamna kitu mnatulisha sana matango poriHalafu unakuta jitu Kama Job Ndugai linaongea nini Sijui,
Duh kweli tunafikiria tofauti Sana,